bunge

  1. M

    Je, rungu la Spika wa Bunge (Mace) lilikuwepo wakati akina Halima Mdee wanaapishwa

    Ibara ya 68 ya katiba inasema hivi; Kila Mbunge atatakiwa kuapishwa katika Bunge kiapo cha uaminifu kabla hajaanza kushiriki katika shughuli za Bunge; lakini Mbunge aweza kushiriki katika uchaguzi wa Spika hata kabla hajaapishwa. Mamlaka ya Spika ni lile rungu. Bila rungu maana yake bunge...
  2. Je Bunge ni Nini? Bungeni ni Wapi?

    Habarini Wanajanvi Kutokana na mkanganyiko wa mambo ya Kisisa Nchini na hata kusababisha Tafsiri tata kwa baadhi ya mambo tulioyodhani ni ya kawaida na ni mepesi kuyafahamu na kuyajua. Kabla tulijua Bungeni ni sehemu maarumu ambapo shughuri zote zinazohusu Bunge hufanyika. Kabla tulijua Bunge...
  3. J

    Spika Ndugai: Nitawalinda wabunge wa Viti Maalumu CHADEMA kwa nguvu zote, Mnyika akajifunze kwa Dkt. Bashiru kazi za Katibu Mkuu

    Spika Ndugai amesema kanuni za bunge zinamtaka kuwalinda wabunge walio wachache na maslahi yao naye atafanya hivyo kwa nguvu zake zote. Ndugai amesema wabunge 19 wa CHADEMA wameteuliwa kihalali na kama CHADEMA wana matatizo nao walipaswa kuwaita kwa heshima na kuwasikiliza badala ya kuwahukumu...
  4. Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya Wabunge au ukumbi wa Bunge

    Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya wa Wabunge. Bungeni ni kwenye majengo ya Bunge waweza apishwa hata kwenye jiko la Bunge au bafu ya Bunge ili mradi ni Bungeni. Kwa sababu Katiba haijatamka kuwa wataapishwa ukumbi wa Bunge inasema tu Bungeni yaweza kuwa hata viwanja vya...
  5. J

    Hoja ya Mbowe: Je, mbunge anaapa mbele ya Spika au anaapishwa na Spika mbele ya Bunge?

    Kwangu mimi katika yote yaliyozungumzwa kiapo cha mbunge ndio kimenipa tafakuri. Spika Ndugai baada ya kuwaapisha wabunge 19 wa Chadema kwenye viwanja vya bunge alisema kanuni zinamruhusu kumuapisha mbunge mahali popote palipoandaliwa. Cha muhimu ni mbunge kuapa mbele ya Spika. Mbowe ambaye ni...
  6. Bunge Jipya: It will be interesting to watch

    Hello JF, Mwenzenu nahisi Bunge lijalo litakuwa very interesting... Je, watanyamaza kimya pale mambo yatakapokuwa against matarajio yao? Pale je mambo yakifanyika bila kuwashirikisha, watakua na uthubutu wa kuhoji? I'm sure wengine japokua mmebebwa mkapelekwa Bungeni, still kuna some of you...
  7. D

    Chama kikiwafukuza Wabunge Viti Maalum CHADEMA itakuwaje?

    Badala ya kulalamika na kutukana na vilevile waandishi wetu kuogopa na kukaa chini sisi...Tumefanya utafiti mdogo kwanini ghafla Bunge na mfumo mzima wa uongozi wa serkali ya Tanzania ghafla wanawahitaji hao wabunge wa CHADEMA. MASHARTI YA PESA TOKA NJE (DONORS) Kama mnaelewa bunge letu hakuna...
  8. GE2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

    Leo Novemba 25, 2020 katibu mkuu wa CHADEMA amezungumza na vyombo vya habari makao makuu ya chama hicho eneo la Ufipa, Kinondoni mada kuu ikiwa uteuzi wa wabunge wa viti maalum ambapo uapisho wao ulifanyika jana bungeni jijini Dodoma jana. Yafuatayo ni maelezo kwenye mkutano huo kuanzia mwanzo...
  9. B

    Bunge kubadilisha sheria/katiba, mgombea Urais lazima awe amekaa nchini kwa miaka miwili mfululizo kabla ya uchaguzi mkuu

    Kitendo cha Lissu kufanikiwa kuingia nchini na kugombea Urais na kisha kupata uungwaji mkono mkubwa kimegonga nyundo katika bongo za Wanasheria wasiozingatia maadili ya kazi yao na Sasa vijana wa UVCCM wanaandaa mkakati wakumdhibiti asiweze kugombea muhula ujao. Moja ya mkakati uliopo nikuweka...
  10. J

    Spika Ndugai: Siyo lazima mbunge kuapa ndani ya Bunge lililo muhimu ni Mbunge kuapa mbele ya Spika!

    Spika wa bunge la JMT mh Ndugai amesema wananchi wasichanganye kwamba mbunge ni lazima aape akiwa ndani ya bunge, kanuni hazisemi hivyo. Kwa mujibu wa kanuni kama kuna kikao cha bunge kinachoendelea basi wabunge wapya wataapishwa ndani ya ukumbi wa bunge. Endapo mbunge atateuliwa wakati bunge...
  11. M

    Waziri anawaita wabunge wa Bunge la Ulaya "Wahuni wachache"

    Nimeshangaa sana lugha aliyotumia waziri ya kuwaita wahuni wachache wa bunge la ulaya. Naona kama kaharibu zaidi badala ya kurekebisha.
  12. Tanzania ni Taifa imara na tuna Kiongozi imara. Hoja za Bunge la EU zinajibika kwa Hoja

    Salaam wana JF, Nianze andiko hili fupi kwa kusema Tanzania ni taifa imara kwa misingi ya siasa, uchumi, utamaduni na utawala bora, Tanzania kama yalivyo mataifa mengine ulimwengu tunayo misingi na taratibu za ndani za kuendesha shughuli zetu za kiutawala kulingana serikali iliyopo madarakani...
  13. J

    Mwandishi Moses Methew amtaka Dkt. Abbas ajitokeze hadharani kulijibu bunge la EU, adai Balozi hatoshi

    Akizungumza mubashara katika kipindi cha Jicho letu ndani ya habari kinachoongozwa na Nyanda " Mtozi" mwandishi mbobezi Moses Methew amemtaka msemaji mkuu wa serikali Dkt. Abbas atoke hadharani kuelezea sakata la bunge la EU na Tanzania. Moses anasema hakuna sababu ya kulinyamazia swala hili...
  14. Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji kukutana na M/kiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje ya Bunge la EU kutoa ufafanuzi dhidi ya taarifa za upotoshaji

    Katika taarifa ya habari ya Channel 10 ya usiku wa jana tarehe 20 Novemba 2020, Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji na Mwakilishi wa Tanzania kwenye Umoja wa Ulaya Mhe Jestas Abuok Nyamanga ameeleza kuwa siku ya tarehe 19 Nov alimwandikia barua Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje ya...
  15. J

    Hoja za kibunge hujibiwa kibunge, tumwachie Spika Ndugai amalizane na Bunge la EU na sisi wengine tuchape kazi

    Ni kawaida ya CHADEMA kwenda na matukio na wakati mwingine huvamia tu agenda bila ya kuwa na mwelekeo wowote. Hebu tuache hizo hoja za kibunge kutoka kwa hao wabunge kiduchu wa EU zijibiwe na wabobezi kutoka katika kamati yetu ya bunge ya mambo ya nje. Sisi watanzania wengine ukiwemo wewe...
  16. Ubalozi wakanusha habari za uongo zinazodai kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo

    Ubalozi wa Tanzani Ubelgiji umekanusha habari za uongo zinazoenezwa mitandaoni kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo. Ubalozi umeeleza kuwa ni wabunge watano tu kati ya wabunge 71 wa Kamati ya Mambo ya Nje ndiyo walitoa mawazo yao na hakuna...
  17. Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

    Amani iwe nanyi tena wadau! Nimetoka kutazama mjadala mzito unaoihusu Tanzania katika Kamati ya Mambo ya Nje Bunge la EU. Napenda tu kusema yafuatayo 1. Tanzania tuna hali mbaya sana. Wajumbe wa kamati hii wameijadili vibaya sana Tanzania na wengine kupendekeza hatua kali zaidi zichukuliwe...
  18. Dkt. Mashinji: Huwezi ukawatofautisha Serikali, Mahakama na Bunge. Hata Mbinguni kuna Baba, Mwana na roho lakini maamuzi ni yaleyale

    Aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Chama cha demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) na baadae kuhamia CCM, Dkt. Mashinji amesema Tanzania ni nchi changa na haiitaji kuwa na mabadiliko ya haraka ghafla kwa sababu kila mabadiliko yana athari. Amesema yakifanyika mabadiliko na yakaja na athari, bado Tanzania...
  19. S

    Robert Amsterdam: Hali ya kisiasa Tanzania kujadiliwa katika Bunge la Ulaya kesho Alhamisi

    Ameandika hivyo katika akaunti yake ya twitter: Excellent news! The situation in #Tanzania will be discussed in @Europarl_EN on Thursday. Looking forward to the hearing, the world needs to know Tanzania is becoming a dictatorship under Magafuli! The fight for democracy continues. Will share the...
  20. Rais Magufuli kuvaa tai ya rangi NYEKUNDU na BLUU wakati wa kuapishwa na ZAMBARAU wakati wa kufungua bunge, kidiplomasia ina maana gani?

    Na Abbas Mwalimu | Jumamosi tarehe 14 Novemba, 2020 Uwanja wa Diplomasia tumepokea maswali mengi sana kuhusu tai alizovaa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli wakati wa kuapishwa kwake Alhamisi tarehe 5 Novemba, 2020 na siki ya kulifungua Bunge la 12 na Ijumaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…