bunge

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Bunge la 13, Mkutano wa 2, Kikao cha Pili Januari 28, 2026

    Mkutano wa Pili wa Bunge la 13 unaendelea leo Januari 28, 2026 bungeni jijini Dodoma. Miongoni mwa shughuli za leo ni Waziri Mkuu kuwasilisha Taarifa ya Matoleo ya Gazeti la Serikali pamoja na nyongeza zake yaliyochapishwa tangu mkutano wa Bunge uliopita. Aidha, kutakuwa na kipindi cha maswali...
  2. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Hakuna bunge pale acheni kuleta nyuzi zake hapa JF kujaza server.

    GT Nawashangaa sana ninyi mnaojaza server za JF kwa habari za wahuni wamekaa kumsifia Samuya. Hiyo ndo.kazi ya mbunge? Hilo bunge siyo halali hawatakiwa kupewa airtime hata kidogo.. Maana hakuna hata mbunge mmoja aliyajutia mauaji ya M029 hao ni kuku kabisa achaaneni nao.
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Chalamila atoa taarifa kwa Kamati ya Bunge kuhusu majukumu na muundo wa TAKUKURU

    Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Bw. Crispin Chalamila, Januari 19, 2026, ametoa taarifa kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria kuhusu majukumu, mamlaka na muundo wa Taasisi hiyo, kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti...
  4. funaku

    JamiiForums Tanzania Bunge lijadili na kuja na muundo wa vyama vya siasa nchini

    Ili kuepuka kuundwa kwa vyama mamluki venye kutumikia mataifa ya nje na kuzalisha vibaraka wa mabeberu ni vyema bunge likajadili na kuweka muundo rasmi wa vyama vya siasa nchini ambapo ndani yake kutaruhusu na kurasimisha uwepo wa vyombo vya serikali ndani yake. Hili litaepusha uwepo wa vyama...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Bunge la Khabil na Kabil na wenzake ndilo lilipoteza mwelekeo wa vuguvugu la maandamano yote yaliyobakia

    Hamjambo Wore. 1. Kama nitaulizwa Maswali nini kilifanya maandamano ya D9 yafeli na vuguvugu la maandamano yanayofuata kupoteza momentum ni pamoja na sababu nilizowahi kuzieleza. 2. Lakini sababu hizi Sikuzitaja katika posts zangu. Nazo ni; a) Kudhibitiwa kwa Mange Kimambi. Mpare huyu...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Jonathan L. Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi la Marekani ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Ndogo ya Afrika ya Bunge hilo

    Katika mwendelezo wa mazungumzo na wadau mbalimbali muhimu katika kukuza uhusiano baina ya Tanzania na Marekani, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki alikutana kwa mazungumzo na Mhe. Jonathan L. Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi hili roboti la Bunge lilikwenda wapi?

    Nchi ya maajabu.Leo nimewaza kuhusu wabunge wanavyojipia mapesa tu.
  8. ngara23

    JamiiForums Tanzania Juzi mlitwambia mmealika kamati ya bunge la USA, leo mmewekewa vikwazo vya kuingia USA

    Tuliwaasa acheni proganda zenu za ovyo. Mzungu hasa Marekani hawezi kuwa mnafiki hata siku 1, yaani huyu USA mwenye sauti kwenye taasisi zote za UN aje adanganye Kwa vikao vyenu vya uchochoroni Yaani juzi tu mlikuwa marafiki hadi kualikana taasisi kubwa kama bunge, Leo hamtakiwi kwenda kwao...
  9. Holota

    JamiiForums Tanzania Msaada - interview ofisi ya bunge

    "Habari za kila mtu, naomba msaada wenu. Nimeona mwezi wa 5 kuna watu walifanya usaili wa nafasi ya Afisa Usimamizi wa Fedha Daraja la II kwenye Ofisi ya Bunge. Je, mtu anaweza kunipa ufafanuzi au kushiriki uzoefu wake kuhusu mtindo wa usaili, maswali au maandalizi yanayohitajika? Asanteni mapema!"
  10. funaku

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya lituletee azimio la kulaani vifo wakati wa ukoloni Tanzania

    Tanzania inahitaji fidia kutoka kwa mabeberu yaliyochota mali na kuchukua watu utumwani. Hii ni sambamba na kutoa idadi kamili ya maafa yaani waliouawa kwa mijeledi na kunyongwa nyakati za ukoloni
  11. Inside10

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bunge la Ulaya laishutumu Tanzania kwa machafuko na kukiuka hakika za Binadamu baada ya uchaguzi

    Parliament raises the alarm on human rights in Tanzania 🚨⁣ ⁣ Members of the European Parliament adopted two resolutions on the human rights situation in Tanzania following October’s elections. ⁣ ⁣ • Members condemn the violent post-election crackdown, which left thousands dead or injured, with...
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kwa mambo kama haya maridhiano yatapatikana? Au wamechukia Lissu katajwa na Bunge la EU?

    Hawataki kabisa Lissu atembelewe na makada wa CHADEMA
  13. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Tiktok bunge la wananchi Kuna jamaa anaitwa summer ni mjinga sana

    Huyu Jamaa nasikilizaga live za bunge la wananchi TikTok Kila siku kuanzia saa mbili usiku kusema kweli hastahili kuongoza live sababu anakejeli hasira za ajabu yaani anajiona kama mungu mtu Kisa lipo ulaya halafu likataka kuendesha watu ambao watakua ground Cha ajabu anajiita gen z halafu...
  14. L

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Serikali: Tupo huru na Hatuingiliwi na maamuzi ya Bunge la Ulaya

    Ndugu zangu Watanzania, Soma Serikali ya Tanzania imetoa ufafanuzi kuhusu azimio lililopitishwa na Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) Novemba 26, 2025, ambalo lilizungumzia madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini na kusababisha Kamisheni ya EU kusubirisha kwa muda utiaji saini wa Programu ya...
  15. Heparin

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rasmi, Bunge la Ulaya lapiga kura zote 539 za NDIYO kuzuia misaada Tanzania, wahusika wa kadhia ya Oktoba 29 kuwekewa vikwazo

    Bunge la Ulaya limeitaka Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya kusitisha msaada kwa serikali ya Tanzania na kuwawekea vikwazo wahusika wa ukandamizaji uliofanywa baada ya uchaguzi mkuu. Wabunge wa Ulaya wamelaani vikali vitendo hivyo na kutaka kuachiwa kwa wapinzani waliokamatwa. Wamesisitiza kuwa...
  16. Ileje

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kikao kijacho cha Bunge liazimie tarehe 29 Oktoba kila mwaka iwe kumbukizi ya mauaji ya kimbari yaliyofanywa na Serikali ya Samia kwa Watanganyika

    Ni wazi na ukweli kuwa tarehe 29 Oktoba 2025 itakumbukwa milele kama siku ambayo Watanganyika kwa mamia waliuawa kikatili na utawala wa Samia Suluhu Hassan! Kwa siku tano mfululizo Watanganyika walishuhudia wenzao wakipigwa risasi na polisi kama swala porini! Ni siku ambayo Samia, CDF Mkunda na...
  17. A

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Badala ya kutoa matamko ya ghiliba, waliojisimika na waliosimikwa madarakani kiharamu matamko yao sasa yajibu Maazimio ya Bunge la Ulaya

    Ili kuanza kuitibu nchi majeraha iliyopata kabla ya Uchaguzi na baada ya uchaguzi. Hivyo hizo kauli za wanasiasa na za kisiasa zikome. Sana sasa Makatibu wakuu ndio washughulukie shughuli zote za kiutendaji kuelekea katika kuiponya nchi. Hivyo haya matamko kuanzia aliyesimikwa uwaziri mkuu...
  18. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai: SPIKA ambaye hakukumbukwa na Bunge la kwanza la Mwaka 2025 wakakumbukwa waandamanaji! MLIO hai na mpo bungeni, mu Mavumbi TU

    Kweli Job ndungai SPIKA mtepe mtepe ndiye aliyesaaulika mara hii kwenye Bunge la 2025 hata wabunge mshindwe KUSIMAMIA hata dakika Moja kumwombea Badala yake mliombea waandamanaji walio UAWA? NAWAMBIA nyinyi wabunge MLIO msaau haraka hivyo hata nyinyi mu mtepe mtepe mnaweza saaaulika haraka...
  19. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwananchi: Nina imani na bunge la CCM

    " Nina imani kubwa sana na bunge la sasa hivi jinsi lilivyo. Ni bunge la Chama cha Mapinduzi"- amesema mwananchi Huyu ni mwananchi tena mtu mzima aliyeshuhudia vipindi vingi vya uongozi hapa nchini, naamini anaelewa hasa matukio yanayoendelea lakini bado anashobokea uwepo wa nguvu ya chama...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba sikumuona wakati wa kulivunja bunge na leo wakati wa kulizindua bunge. Kunani?

    Za ndani kabisa, zinasema sura ya mzee Warioba na ile ya mama hazisomani, hivyo mzee kapigwa detention. Ndiyo maana mzee huyu haonekani katika shughuli na hafla zote za serikali. Tarehe 9 .12 tukamboe huyu mzee wetu.
Back
Top Bottom