bunge

  1. W

    JamiiForums Tanzania William Lukuvi akanusha uvumi ulioenea mitandaoni kuwa aligombea nafasi ya Spika wa Bunge

    Mbunge mteule wa Isimani (CCM), Mkoa wa Iringa, William Lukuvi amekanusha uvumi ulioenea mitandaoni kuwa aligombea nafasi ya Spika wa Bunge. Lukuvi ametoa kauli hiyo leo Jumanne Novemba 11, 2025 wakati akitoa maelezo baada ya kuteuliwa kuongoza uchaguzi wa Spika wa Bunge nafasi aliyoipata...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ndonge Said Ndonge: Nikipata ridhaa ya kuwa Spika wa bunge nitainua vipato vya wabunge

    Mgombea nafasi ya Spika wa bunge la Jamuhuri la Muungano wa Tanzania, Ndonge Said Ndonge kutoka chama cha Alliance for African Farms Party (AAFP) akizungumza leo Novemba 11, 2025 kuomba ridhaa ya wabunge kumuunga mkono na kumchagua katika nafasi hiyo amewahaidi kuongeza vipato vya wabunge...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mkutano wa Kwanza Bunge la 13 November 11, 2025

    Leo, Novemba 11, 2025, Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaanza rasmi vikao vyake kwa kufanyika kwa kikao cha kwanza cha mkutano wa kwanza wa Bunge hilo. Kazi kubwa inayotarajiwa kufanyika leo ni uchaguzi wa Spika wa Bunge, ambapo vyama Sita vimewasilisha wagombea huku mgombea wa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mgombea Uspika wa bunge, Veronica Tyeah: Nampongeza Rais Samia kuwa role model wa wanawake amechaguliwa kwa kura nyingi na kishindo

    Mgombea nafasi ya Uspika wa Bunge la Jamuhuri la Muungano wa Tanzania, Veronica Charles Tyeah kutoka chama cha National Reconstruction Alliance (NRA) akizungumza kuomba ridhaa kutoka kwa wabunge kumuunga mkono kupata nafasi hiyo leo Novemba 11, 2025 amempongeza Rais Samia kuwa Mwanamke kinara na...
  5. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania CCM sikio la Kufa Zungu Hawezi kuendesha bunge la kuisimamia Serikali sahau

    GT Nadhani kwa sasa mnaona wote jinsi serikali ilivyoanza na uhuni bungeni. Zungu ni team msoga genge la wahuni hawezi kuruhusu mjadala wowote wa maana wenye tija kwa taifa. Amewekwa pale kulinda maslahi ya mafisadi hakuna jingine tumwombe tu mungu afanye yake mapema
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Bunge latangaza nafasi 28 za ajira

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limetangaza nafasi za ajira katika kada tofauti likiwaalika Watanzania wenye sifa stahiki kutuma maombi yao. Lengo ni kuongeza nguvu kazi na kuboresha utendaji wa sekretarieti ya Bunge. Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa jana Jumatano, Novemba 5, 2025...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Demokrasia itaanza na wajasiriamali siyo Wanasiasa

    Ameandika ndugu mmoja muathirika wa udikteta wa Belarus kuwa, Kwa miongo kadhaa nchini Belarus, kulikuwa na kauli ya kwamba: “Usiguse mamlaka — na mamlaka haitagusa biashara yako.” Lakini baada ya mwaka 2020, maelfu ya wajasiriamali waligundua kuwa hali ya kutokujihusisha kisiasa haipo tena...
  8. TODAYS

    JamiiForums Tanzania WAJUZI: Huyu Dada ana Cheo Gani Hapa?

  9. PAYE

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Spika wa Bunge na uthibitisho wa Waziri Mkuu mpya kufanyika Novemba 11, 2025

    Kufuatia Tangazo la Rais la kuitisha Bunge lililotolewa kwenye Gazeti la Serikali, Toleo Maalum Na. 11 (Special Supplement) la tarehe 4 Novemba, 2025 Tangazo Na. 647A Wabunge Wateule wote wanafahamishwa kwamba shughuli za usajili na taratibu nyingine za kiutawala zitafanyika Ofisi ya Bunge...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Bunge la Djibouti lapiga Kura kuondoa kizingiti cha Umri wa Urais

    Bunge la Djibouti limepiga kura kwa kauli moja kuondoa kizuizi cha umri wa kugombea urais, hatua inayomruhusu Rais Ismail Omar Guelleh kugombea muhula wa sita madarakani Guelleh, anayejulikana pia kama IOG, amekuwa madarakani tangu mwaka 1999 akiongoza taifa hilo dogo lililoko Pembe ya Afrika...
  11. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani kulihutubia Bunge la Israel Khenesst

    Spika wa bunge la Israel Knesset amemwalika rasmi rais Trump kuhutubia bunge la Knesset. "Ni heshima yangu kuu na pendeleo kubwa kualika rasmi rafiki mkubwa na mshirika wa Wayahudi katika historia ya kisasa."
  12. C

    JamiiForums Tanzania Bunge lilipovunjwa Spika, Mawaziri akiwemo Waziri Mkuu walipoteza vyeo vyao vilivyotokana na Ubunge

    Mara tu ya Bunge kuvunjwa rasmi Agosti 2025, Mawaziri wote pamoja na Spika walipoteza vyeo vyao vilivyotokana na Ubunge. Hii ya watu kukiita Spika, Waziri Mkuu, Naibu Waziri Mkuu, Waziri Mkuu mpaka Oktoba 2025 imekaaje. Serikali mpya itaundwa baada ya uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025. Ambapo Rais...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Rais wa CHAD kuongoza kwa kipindi kisichokuwa na ukomo

    Bunge la Chad limepitisha marekebisho ya katiba yatakayomruhusu Rais kuongeza muda wa kukaa madarakani kutoka miaka 5 hadi 7 bila kikomo cha mihula, hatua iliyopigiwa kura na wabunge 171 na sasa inasubiri kuidhinishwa na Seneti. Kwa mujibu wa taarifa ya Radio France Internationale (RFI)...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Rais wa Nepal avunja bunge, atangaza tarehe ya uchaguzi

    Rais wa Nepal, Ramchandra Poudel, amelivunja bunge na kuitisha uchaguzi mpya utakaofanyika ifikapo Machi 5, 2026. Hatua hiyo imekuja baada ya wiki moja ya machafuko makubwa yaliyosababishwa na maandamano ya vijana. Uamuzi huo ulitangazwa jana Ijumaa, saa chache baada ya Rais Poudel kumteua na...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Gen Z waandamanaji Nepal wachoma Bunge

    Waandamanaji kuvamia na kuchoma jengo la bunge jijini Kathmandu. Vijana wengi wamejitokeza mitaani wakisukumwa na hasira dhidi ya ufisadi na kile wanachokiita “nepo kids” watoto wa wakubwa wanaopewa upendeleo serikalini. Wachambuzi wanasema haya ndiyo machafuko makubwa zaidi kushuhudiwa nchini...
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania GE2025 MWABUKUSI nenda bungeni zinakotungwa sheria, kelele za nje ya Bunge ni too late

    Sheria ni sheria hata kama ni sheria mbaya. Uchaguzi huu unaendeshwa kwa mujibu wa sheria zetu hadi hapo sheria itakaposema vinginevyo. Kelele zinazosikika za akina MWABUKUSI na wengine ni kelele za kutaka watu wapindishe sheria ili kuwaridhisha watu wasioipenda sheria husika. Katiba hii ni...
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchimbi Muongo sana, Eti Waloongoza wapewe Kipaumbele! CCM wanamtandao wameamua Kujichagulia Bunge lao

    Nyinyi tuunganisheni Nguvu wote na Kanisa, Tuwafurumushe Hawa wahuni Fikiria wewe ni mwanaCCM, umepiga kura, Mgombea wako kashinda Kwa Kura nyingi Alafu Wanamtandao kutoka Halmashauri Kuu ,Wanampiga chini wanawaletea Chaguo namba tatu. Kwa haraka haraka, huyu Anakua hakubaliki . FUNZO ...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenendo huu!! Kweli tunahitaji bunge la wawakililishi na bunge la maseneta

    Wana bodi sasa ifike Mwisho!! Nchi inapaswa kubadilika katika mfumo wa bunge ili kuwe na watu mahiri na werevu na wenye elimu ya kung’amua mambo mazito ya kuendesha Nchi. Sikatai Wananchi kumchagua mgombea kama Baba level, Msukuma na wengine kama akina Tabasamu na Shigongo kuwa wawakilishi...
  19. Griss

    JamiiForums Tanzania Huu ni mwandiko wa Mbunge wa bunge la Tanzania!

    Mtunga Sheria? Mtu anayetakiwa kusimamia serikali bungeni?!! TISS mpo, tume ya uchaguzi mpo, CCM mpo? Je huyu anajua kusoma na kuandika ?
  20. J

    JamiiForums Tanzania Uhalali wa Baraza la Mawaziri baada ya Bunge kuvunjwa ukoje?

    Naombeni kujua mwenye ufahamu atufahamishe inakuwaje hawa mawaziri wa Rais Samia mpaka sasa wako Ofisini wakati Bunge limeshavunjwa. Inavyoeleweka kikatiba Waziri hutokana na Mbunge, Mbunge anapo poteza haki ya kuwa Mbunge automatically anapoteza hadhi ya kuwa Waziri. Na iko wazi ki Katiba...
Back
Top Bottom