Ibara ya 65 (2) inatanabaisha kuwa uhai wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huwa unaanza pale pale wabunge waliochaguliwa baada uchaguzi mkuu kukutana kwa mara ya kwanza hadi litakapovunjwa na Rais wa kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao.
Juzi tumesikia rais akiahirisha shughuli za Bunge...
Zipo tetesi zinazagaa Kwa mtandandao eti wale mabaka wanamtaka mzalendo ndio atie Nia ya kugombea kiti kizito!Na jicho lao lipo kwa mwenza eti yeye ni mzalendo haswaaa!!
Sasa je Alie tia Nia tayari atakubali kumpisha mgombea mwenza!!?
Je tetesi hizo ni za kweli!!?
Nasikia ndio maana vikao vya...
Jana nimemsikia Samia akisema anasitisha shughuli za bunge tarehe 27 /6/2025 ila Bunge litavunjwa Tarehe 3/8/2025 nimesoma katiba yetu kwanza Ibara ya 65 ambayo inasema. Ninainukuu
" 65.-(1) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, maisha ya kila Bunge yatakuwa ni muda wa miaka...
Habari zenu wakali, kichwa cha habari chajieleza ningependa kujuzwa bunge la 12 la jamhuri ya muungano wa TZ lilipangwa kuvunjwa tarehe 27/6/2025 lakini mwenye mamlaka kikatiba kuvunja bunge Rais ametangaza kuhairisha shughuli za bunge na kusema kuwa bunge litavunjwa rasmi 3/8/2025.
Je...
Anaandika Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi:
"Katika historia ya taifa letu, tangu kuzaliwa kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 1964, na hususan tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, Bunge la Kumi na Mbili (2020–2025) ndilo Bunge dhaifu...
Katika hotuba hiyo kuna mambo nilitarajia yatapata maelezo lakini hayakutokea. Lakini pia kuna yaliyoniacha nikitafakari.
1. Ujenzi wa uwanja wa ndege wa mwanza haukutajwa lakini nimesikia vingine kadhaa vikitajwa kama msalato na songwe.
2. Mv Mwanza imeishia wapi?
3.ujenzi wa barabara za...
Siasa za nchi zinachekesha. Kwa mara ya kwanza toka mfumo wa vyama vingi Baraza la wawakilishi na Bunge la Tanzania hayajavunjwa. Zanzibar Baraza la wawakilishi litavunjwa August 13. Wakati Bunge la muungano litavunjwa August 03. This means there's something behind the scenes.
Cha kushangaza...
Wanajf. Mimi Sijaelewa. Naomba kueleweshwa! Kuuliza si ujinga! msaada tutani.
Kuna msamiati ambao Leo umetumika wa kufunga Bunge na siyo Kuahirisha Bunge Wala siyo Kuvunja Bunge.
Nini tofauti kati ya Kuahirisha Bunge, Kufunga Bunge na Kuvunja Bunge?
Nina Swali Moja tu.
Je, hii siyo kusema...
Salaam!
Bunge halijavunjwa, limeahirishwa tu,
Sasa Nini kimelengwa hapo?
Ni kudhibiti wahamaji au ni mpango wa reforms kupata tume huru ya uchaguzi?
Karibuni 🙏
Kwa mujibu wa taratib naomba kujua ukomo wa ubunge, ni baada ya kuvunjwa bunge. Mtu anakuwa sio mbunge tena, je uwaziri unakaa pembeni? Tukumbushane wajuz wa mambo.
Mama leo hii na muda huu anafunga Bunge lake. Ni Bunge la Chama kimoja ni Bunge la kibabe na Bunge lisilotambua Vyama vingi!!
Ndo maana hata Spika wakti anatambulisha wageni sijasikia Kiongozi wa Kambi ya Upinzani kutajwa. Hakuna Covid-19, hakuna CHADEMA, hakuna ACT Wazalendo hakuna chochote...
Kwa upande wa Zanzibar tayari Mheshimiwa Hussein Mwinyi aliahirisha kuvunja Baraza la wawakilishi Zanzibar mnamo tarehe 23 Juni Kama ilivyokuwa imepangwa na badala yake akaongeza uhai wa Baraza la wawakilishi Zanzibar mpaka tarehe 13 August 2025.
Rais Hussein Mwinyi aliahirisha kuvunja Baraza...
Hellow!
Hawakuwa na chama, lakini walikuwemo bungeni,
Leo bunge linavunjwa rasmi,
Je, wao wataendelea kuwa wabunge?
Maana hata baada ya CHADEMA kuzuia kufanya shughhuli za kisiasa, wao waliendelea kuwa wabunge!
Karibuni 🙏
🏛️ 1. Kujiuzulu kwa Spika Job Ndugai
Mnamo Januari 2022, Spika wa Bunge, Job Ndugai, alijiuzulu kufuatia kauli tata kuhusu mikopo ya nje. Nafasi yake ilichukuliwa na Dk. Tulia Ackson, ambaye alikua mwanamke wa pili kushika wadhifa huo baada ya Anne Makinda.
👩💼 2. Uteuzi wa Katibu wa Bunge...
BUNGE linavunjwa rasmi leo ni Mbunge gani ungetamani sana arudi Bungeni tena katika Bunge lijalo la Novemba? Mimi ninao wachache
1. Ndugai
2.Simbachawene
3.Mkumbo
Askofu Mkuu Baba wa Imani Dr Gwajima PhD - Mwangalizi wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima duniani. Anatajwa kuhudhuria Bungeni ambapo litavunjwa rasmi tayari kwa uchaguzi.
***Tumtakie matashi MEMA Baba Askofu Mkuu na Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Kawe (CCM). Ulikua wakati mwema kuwa Mbunge wetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.