bunge

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania DR Congo: Bunge lapiga kura ya kumtimua Waziri wa Uchumi

    Bunge la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Jumatano limepiga kura ya kumuondoa kwenye wadhifa wake waziri wa uchumi Jean Marie Kalumba, likimshtumu kwa mfumuko wa bei ya bidhaa muhimu na uratibu mbovu wa sekta ya uvuvi, kati ya masuala mengine. Waziri huyo amepewa saa 48 ili awe amekwisha...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli Serikali na Bunge hazikuona upungufu wa kuondoa Tozo ya Mafuta? Hakika Pengo la Tundu Lissu halijazibwa

    Jaribu kufikiria, Waziri wa fedha anapeleka mswada wa Tozo ya mafuta bungeni na bunge zima linapitisha. Baadae Waziri wa Nishati anatangaza kuziondoa Tozo hizo ili kuwapa wananchi unafuu wa bei lakini halihusishi bunge. Wabunge wote wanapata taarifa kwa sababu wote wana magari ya mkopo na...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape Nnauye akutana na kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) akiwasilisha taarifa ya utekelezaji ya Wizara hiyo ya mwaka wa fedha 2021/2022 na bajeti ya mwaka wa fedha 2022/2023 kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kwenye ukumbi wa Bunge jijini Dodoma leo...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Bunge la Pakistan kupiga kura ya kutokuwa na imani Waziri Mkuu Imran Khan

    Bunge la Pakistan linatarajiwa kukutana Ijumaa kwa lengo la kushiriki zoezi la kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Imran Khan, katika kile kinachotazamwa kuwa ni wakati mgumu kwake tangu aingie madarakani 2018. Mapema mwezi huu muungano wa vyama vya upinzani nchini humo uliwasilisha...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Turudi nyuma kidogo, ilikuwaje CHADEMA wakasusa katikati ya bunge la katiba?

    Kama kumbukumbu zangu ziko sawa CHADEMA chini ya mwamvuli wa UKAWA walisusia bunge la katiba likiwa katikati ya majadiliano na likiwa ktk hatua nzuri ya kupata katiba nzuri ya wananchi. Sababu kubwa ya kususa ilikuwa ni kutokubaliana na CCM juu ya muundo wa Mungano, wakati CHADEMA wakitaka...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge: Uongozi wa Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE), Jikite kutangaza fursa za Shahada za Umahiri

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mhe. Stanslaus Nyongo (Mb) ameushauri uongozi wa Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) kujikita kutangaza fursa hasa za Shahada za Umahirii ili kuongeza mapato ya ndani ya chuo hicho. Ameyasema hayo mkoani Iringa mara...
  7. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya kupiga Kura kuhusu matumizi ya Bitcoin

    Leo Jumatatu bunge la Ulaya litapiga kura kuhusu matumizi ya bitcoin na sarafu nyingine. Matokeo ya kura hiyo yataamua kuhusu matokeo ya baadae ya bitcoin. Wanatumia kigezo cha mazingira kwakuwa uchimbaji wa bitcoin unatumia nishati kubwa ambayo uzalishaji wake unachafua mazingira. Hii kura...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge Ardhi, Maliasili na Utalii

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt. Angelina Mabula na Naibu Waziri wake Mhe. Ridhiwani Kikwete watafanya ziara kwenye Mikoa ya Singida, Mwanza na Mara kuanzia tarehe 15 Machi 2022 hadi 19 Machi 2022 Hii ni kwa ajili ya kufanya shughuli 3 za Kukagua Mpango wa Matumizi ya...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Bunge la umma la China Una umuhimu kwa Afrika

    Na Tom Wanjala Ikiwa nchi ya pili kwa ukubwa wa uchumi duniani, China husaidia kutunga sera na kutoa ajenda ambazo zimechangia kutoa mwelekeo wa masuala mbalimbali. Mkutano wa Bunge la Umma la China ulioanza tarehe tano mwezi Machi na kumalizika tarehe 11 mwezi Machi mwaka huu, ulifuatiliwa kwa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya: Kutegemea Gesi na Mafuta kutoka Russia ni Utumwa, tuanze kutengeneza Nishati mbadala

    Rais wa Umoja wa Ulaya amezitaka nchi wanachama kuangalia namna ya kutengeneza Nishati mbadala itakayokuwa rafiki wa mazingira na yenye gharama ya kuridhisha. Kutegemea Gesi na Mafuta ya Russia ni Utumwa, amesisitiza. Source: Al jazeera Maendeleo hayana vyama!
  11. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa timu ya Chelsea na Bilionea wenu Roman Abromavich mnachangia mgogoro wa Ukraine. Bunge la Uingereza lataka mali za bilionea huyo zikamatwe

    Wapenzi wa timu ya Chelsea na Bilionea Tajiri wenu Roman Abromavich mnachangia mgogoro wa Ukraine bunge uingereza lataka mali za bilionea huyo zikamatwe na anyanganywe timu ya Chelsea kwa sababu yeye rafiki mkubwa wa Putin na ana uhusiano na biashara zake na Russia zinazotakiwa kuwa freezed za...
  12. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Bunge la Urusi lamruhusu Rais kupeleka majeshi mahala popote Duniani

    Bunge la Urusi limempa Rais wa n hi hiyo nguvu ya kupeleka majeshi yake mahala popote Duniani pale itakapo hitajika. Bunge hilo limefikia uamuazi wake Leo 22.02.22 siku moja mara baada ya Urusi kuyatambua majimbo yaliyokua yanapigania kujitenga na Ukraine. Kwa mtazamo wangu hii nayo ni moja ya...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Bunge la Mali limeidhinisha Utawala wa Jeshi wa miaka mitano

    Wabunge wa Mali leo Jumatatu wameidhinisha mpango wa kuruhusu utawala wa kijeshi kutawala kwa hadi miaka mitano. Kwa mujibu wa waandishi wa habari wa AFP hatua hii inajiri licha ya uwepo wa vikwazo vya kikanda vilivyowekwa nchini Mali kutokana na kucheleweshwa kwa uchaguzi. Wabunge 120 wa...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Spika Dkt. Tulia awatahadharisha Wenyeviti wa Kamati za kudumu za Bunge kutoshawishiwa na asasi za kiraia

    Spika wa Bunge la Tanzania, Dk Tulia Ackson amewataka wenyeviti wa kamati za kudumu za Bunge kuwa makini kuepuka kuingizwa kwenye mitego ya kudanganywa na asasi za kiraia zinapotaka ushawishi wa chombo hicho kupitisha ajenda fulani kwa utashi na maslahi yao. “Bunge huwa ni chombo ha ushawishi...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Suala la vikao vya Bunge kurushwa live ni kazi ya Serikali au maamuzi ya Bunge?

    1. Vyombo vya Habari ni Mali ya serikali au Mali ya wananchi na Umma Kwa ujumla? 2. Bunge kurusha matangazo live linategemea kibali cha Serikali au Bunge linapaswa kujiamulia lenyewe? 3. Mahakama kuruhusu vyombo vya habari kurusha mwendo wa kesi live inahitaji kuomba kibali cha Serikali au...
  16. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye kuhusu Bunge Live: Wabunge wakipigana haileti picha nzuri

    Nape Nnauye, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kuhusu bunge live, anafafanua: "Spika wa Bunge, Tulia Ackson alisema hili jambo linazungumzika na tutajadiliana na Serikali tuone namna ya kulifanya liende. “Studio ya bunge ndiyo inaamua warushe vipi matangazo najua kwa mfano...
  17. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Bunge: Wafanyakazi hewa wamerudi, mamilioni yalipwa

    Dodoma. Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (LAAC) imebaini viashiria vya kuibuka tena kwa mishahara hewa Serikali baada ya kiasi cha mishahara kutoka Hazina kutofautiana na mahitaji halisi ya mishahara katika mfumo wa Lawson. Hayo yamesemwa leo Alhamis Februari 17, 2022 na Mwenyekiti wa...
  18. beth

    JamiiForums Tanzania PAC: ATCL ilipata hasara ya Bilioni 60.24 kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020

    Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imebaini kuwa Shirika la Ndege (ATCL) lilipata hasara ya Sh60.24 bilioni kwa mwaka wa fedha 2019 /2020. Mwenyekiti wa PAC, Naghenjwa Kaboyoka ameyasema hayo leo Alhamis Februari 17, 2022 wakati akiwasilisha taarifa ya shughuli za kamati kwa kipindi...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya kifupisho cha 'ndc' mbele ya jina la Nenelwa J. Mwihambi Katibu wa Bunge

    Wakuu nawasilimuni, Nimebaini kwamba baada ya jina la Katibu wa Bunge wa sasa Mh. Nenelwa J. Mwihambi kumekuwa na kifupisho cha 'ndc'. Napenda kufahamu nini maana ya kifupisho hicho? Shukrani!
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Zungu achaguliwa kuwa Naibu Spika wa Bunge kwa 98.33% ya Kura

    Mgombea pekee wa nafasi ya Unaibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu (Mbunge wa Ilala) amepata 98.33% ya Kura zilizopigwa Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema kati ya Wabunge 301 waliopiga Kura, 296 wamepiga Kura za Ndiyo, 3 wamepiga Kura ya Hapana na Kura mbili zimeharibika...
Back
Top Bottom