bunge

  1. Sumaye: Tusifurahie Bunge la chama kimoja

    Baada ya Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuonyesha 'madudu' ya ubadhirifu wa fedha kwenye maeneo mbalimbali, Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, ameibuka akisema Bunge linapaswa kuwa kali katika kuisimamia na kuishauri Serikali. Sumaye aliyekuwa Waziri Mkuu kwa...
  2. Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson amesema serikali haitalazimika kujibu hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)

    SPIKA wa Bunge Dk. Tulia Ackson amesema serikali haitalazimika kujibu hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) wakati wa Mkutano wa Bajeti unaoendelea na kwamba Bunge halitachukua hoja zitakazochangiwa na Mbunge kuhusu ripoti ya CAG kwa sababu Mkutano wa sasa wa Bunge ni wa...
  3. Algeria: Bunge lapitisha sheria ya kubana uhuru wa vyombo vya habari

    Sheria zinazolalamikiwa ni zile zinazoweka mazingira magumu ya wazawa kumiliki vyombo vya habari na inayaolazimisha kufichua chanzo cha habari. Sheria inapiga marufuku vyombo vya habari vya ndani kupokea ufadhili au msaada wa nyenzo za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja kutoka nje ya...
  4. Kuwepo na Bunge la kujadili ufanisi wa bajeti iliyopita Kabla ya kuanza kujadili nyingine

    Hoja ya Dkt. Tulia kusema hili ni bunge la bajeti na siyo la kujadili report ya CAG lipo sahihi, lakini kwa nini report ya CAG ijadiliwe baada ya kupitisha bajeti nyingine ilihali iliyopita ufanisi wake ni sufurisufuri. Kwanini tisingeanza kujadili madudu ya bajeti iliyopita badala ya kuendelea...
  5. J

    Dkt. Tulia: Ripoti ya CAG itajadiliwa kwenye Mkutano Novemba, 2023

    Spika Tulia amesema Ripoti ya CAG itajadiliwa kwenye Mkutano wa mwezi November 2023 Huyo ni baada ya Kamati za Bunge kuwa zimeshakamilisha wajibu wake wa kisheria. ========== Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka...
  6. Bunge la Nigeria lajadili wizi mkubwa sana wa mafuta uliofanywa na China

    Hii China ambayo huonwa kama kimbilio la Afrika, kila mnapoisuta Marekani lazima mtaje China kama mbadala. Nigerian lawmakers have begun a probe into the sale of stolen 48 million barrels of crude oil to China. “It is quite alarming that illegal deals with China cost Nigeria $2.4 billion...
  7. K

    Wabunge wanaotaka kuangaliwa Ushoga watambue hakuna vifaa Maalum vya Uchunguzi

    Kama kweli hawa wabunge wanataka wabunge wote waangaliwe ushoga basi waite Daktari na wajue hakuna vifaa maalumu vya kuangalia. Madaktari wanatumia kidole cha katikati na kuvaa gloves kupima misuli hiyo. Tunawatakia afya njema na tuanze kujadili ripoti ya CAG na sio wapenda vidole na wabunge...
  8. Hoja ya Simba kuitwa Bob Jr, Serikali yasema ‘Simba akiitwa jina la Masanja hakuna atakayemjua’

    Serikali imesema majina maarufu yanapotumika katika masuala ya utalii mfano kwa Wanyama kama ilivyokuwa Simba aliyejulikana kwa jina la Bob Jr na mwanaye Rihanna ni sehemu ya kujitangaza kimataifa. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja amesema “Tunapotumia majina maarufu...
  9. Bunge la 12: Mkutano wa 11, Kikao cha 5 leo April 12, 2023

    Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Aprili 12 kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 5 - Maswali na Majibu, Mjadala Bajeti ya Waziri Mkuu
  10. Zitto Kabwe: Bunge lisizuie mjadala, acha Watu waongelee hoja za CAG, huo ndio mchakato wenyewe

    Ameandika Zitto Kabwe, kiongozi wa ACT Wazalendo: CAG akishatoa ripoti yake AMEMALIZA. Ripoti yake ni ya mwisho. Ni FINAL. Kazi inayofuata ni ya Bunge. Umma ujue kwamba, kabla CAG hajatoa ripoti yake Serikali hupewa nafasi ya kujibu hoja za Ukaguzi. Baada ya Ripoti kutoka majibu sio kwa...
  11. Bunge la Iran lapendekeza adhabu kali kwa wahusika wa ukatili dhidi ya wanawake

    Bunge la Iran limeidhinisha mapendekezo ya kutoa adhabu kali kwa wahusika wa ukatili dhidi ya wanawake, mapendekezo ambayo yanaweza kupitishwa na kuwa sheria ndani ya miezi michache. Yakianzishwa zaidi ya miaka 10 iliyopita, majadaliano bungeni yalipelekea kupitishwa siku ya Jumapili kwa kanuni...
  12. Bunge lingekuwa na akina Luhaga Mpina japo 50 tu, nchi ingepiga hatua kubwa sana

    Kinachotuponza sisi watanzania wengi ni unafiki na ukigeugeu Nashukuru Mpina toka awe mbunge ana msimamo usiobadilika. Huyu bwana anatimiza wajibu wa bunge kusimamia serikali. kwelikweli Sijaanza kumsikia leo toka Enzo Za JK huyu bwana Yupo straight hamung'unyi maneno. .Pamoja na Chuki na...
  13. Zitto Kabwe: Serikali ilikopa zaidi ya kiwango kilichoidhinishwa na Bunge

    ACTWazalendo imesema Deni la Taifa liliongezeka kwa 11% kutoka Tsh. Trilioni 64.5 mwaka 2020/21 hadi kufikia Tsh. Trilioni 71 Juni 30, 2022 ambapo Serikali ilichukua Mikopo kwa 30% zaidi ya idhini ya Bunge. Vile vile Mikopo ya Nje yenye masharti nafuu iliyochukuliwa na Serikali ilikuwa 33%...
  14. Wabunge wa bunge la Tanzania wanajua wajibu wao?

    WABUNGE WA TANZANIA WANAWAJIBIKA KWA NANI? Juzi kulikuwa ni kikao cha bunge kilichobeba azimio la kumpongeza Rais Samia. Sina shaka na pongezi za rais lakini shaka ni aina ya ajenda na walioamua kuibeba ajenda. Matatizo ya kujadili kama WABUNGE wanaowakilisha wananchi zaidi ya milioni 60 ni...
  15. K

    Bunge la sasa TZ haliendani na mahitaji ya nchi

    Nimefuatilia sana Bunge hili na kugundua lipo nyuma sana kwa mahitaji ya sasa. Serikali imejitahidi sana kubadilisha mambo mengi kuanzia mazingira ya biashara, utalii, miradi, Kilimo, siasa na mahusiano ya nchi za nje. Lkaini Bunge ni kama vile halijitambui . Kwanza Spika hajiamini na hana...
  16. R

    Bunge linazidi kujifia taratibu

    Bunge letu lipo ICU, wamepoteana; spika Hana taarifa kamati zilikwenda kukagua nini ila aliwawezesha. It sounds like fedha za matembezi zilitoka. Wabunge wameacha kusimamia serikali wanatetea serikali kwamba wao wanataka kutuambia Mawaziri wote wapo vizuri ila watumishi WA umma ni vichomi...
  17. Rais Ruto: Hakutakuwa na hand shake safari hii kila kitu kichukue nafasi kwenye bunge na mabaraza ya wawakilishi

  18. Kihenzile, Sillo & Najma: Wenyeviti Wapya Watatu wa Bunge Waliochaguliwa

    KIHENZILE, SILLO & NAJMA - WENYEVITI WATATU WA BUNGE WALIOCHAGULIWA Bunge limewachagua Wenyeviti watatu wa Bunge ambao watasaidia katika kuongoza vikao vya Bunge kwa maelekezo ya Spika wa Bunge au Naibu Spika kwa mujibu wa Kanuni za Kudumu za Bunge. Waliothibitishwa na Waheshimiwa Wabunge kuwa...
  19. Daniel Sillo achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Bunge

    Mbunge wa Babati Vijijini, Mhe. Daniel Sillo amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Bunge na kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Mhe. Mussa Zungu aliyechaguliwa kuwa Naibu Spika wa Bunge. Leo Jumanne April 4, 2023 Bunge kwa kauli moja limewapitisha Mhe. Najma Giga (Viti Maalum), Mhe. David Kihenzile...
  20. F

    Spika wa Bunge Tulia Akson asema Ripoti ya CAG haijafika Bungeni Bado

    Asema Ripoti ya CAG haikufika Bungeni na watu wawe watulivu. Amedai baada ya Ripoti kusomwa taarifa huwa inaletwa Bungeni na kujadiliwa na maazimio ya Ripoti kutolewa na Bunge. Ameendelea kusema mambo ya serikali hayaendi kinyemela ila ni kwa sheria na kanuni. Hivyo Ripoti ya CAG ipo jikoni na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…