bunge

  1. Vedastus Manyinyi: Wananchi hawataki kikokotoo cha sasa, kwanini Serikali inalazimisha?

    Fuatilia kinachojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 5, leo Aprili 8, 2024 jijini Dodoma. https://www.youtube.com/watch?v=RWUrwI58Nt4 Mbunge wa Musoma Mjini (CCM) Vedastus Manyinyi amesema Serikali inapaswa kusikiliza kilio cha wananchi kuhusu kikokotoo kwani wao wanataka wapatiwe...
  2. S

    Serikali itufafanulie "hatua za mwisho" maana yake nini badala ya kutufanya kama watoto wadogo wa kudanganywa kwa majibu ya rejareja

    Mwaka jana, June 2023, wakati waziri wa mambo ya nje akiwa Dr Tax, serikali ilitoa hili tamko pale Bungeni Leo April 2024, serikali imetoa tena tamko hilo hilo pale pale Bungeni mbunge wa viti maalumu Suma Fyandomo alipouliza swali kuhusu uraia pacha. Sasa nakumbuka tumekuwa na matamko kama...
  3. Je, wajua kuwa Rais wa JMT ndie Serikali, Bunge na Mahakama? Yuko juu ya Mihimili yote 3. Je, kuna uwezekano Rais wa JMT pia yuko juu Katiba?

    Wanabodi, Hii ni makala kwenye gazeti la Mwananchi la Jumatano. Kwa wasomaji wapya, naendelea na makala zangu elimishi, kutoa elimu ya katiba, sheria, haki na wajibu, ili kutoa darasa kwa Watanzania kuijua katiba yao ya JMT ya mwaka 1977, kwa jicho la Mtunga Katiba, kwa mimi kuvaa viatu vya...
  4. Bunge la 12: Serikali yasema Wakazi wa Dar watasambaziwa huduma ya mabomba ya gesi

    Fuatilia kinachojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 3, leo Aprili 4, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=fQ35KHplqx4 NAIBU WAZIRI: SERIKALI INA MKAKATI WA KUPELEKA GESI KATIKA NYUMBA 10,000 ZA DAR DODOMA: Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali inatarajia...
  5. B

    Afrika Kusini: Spika wa Bunge ajiuzulu kufuatia tuhuma za rushwa

    Update: Aliyekuwa Spika wa Bunge la Afrika Kusini Nosiviwe Mapisa-Nqakula (67) amejisalimisha kwa Polisi ambapo anatarajiwa kufikishwa Mahakamani siku moja baada ya kujiuzulu Nafasi ya Uspika pamoja na Kiti cha Ubunge kutokana na tuhuma za ufisadi ......... Spika wa bunge la Afrika Kusini...
  6. B

    Bunge la Wananchi CHADEMA wamhoji Kitila Mkumbo ''mnatoa wapi izo data zenu jamani''?

    02 April 2024 https://m.youtube.com/watch?v=Eib1-kDDAlQ Wahoji mantiki ya Profesa Kitila Mkumbo kuondoa fedha ktk mzunguko wa fedha ili kupunguza mfumuko wa bei, wakati bei ya bidhaa zinaongezeka kutokana na upungufu wa bidhaa siyo serikali inavyofikiri watu wanapesa nyingi mifukoni ndiyo...
  7. Serikali kupitia Bunge iongeze adhabu kwa walimu wanaobaka na kulawiti!

    Kumekuwa na wimbi la walimu kulawiti watoto na kubaka kitendo ambacho huwa kinaleta picha mbaya zaid kuliko hata wabakaji wa mtaani! Shuleni tunategemea malezi yawe yenye umakini. Na ya kimaadili! Shule iwe ya madrasa, sjui mafundisho makanisani, au shule za masomo ya elimu ya msingi...
  8. R

    Ushauri: Rangi za Bendera ya Taifa zifutwe katika sakafu za ndani ya Bunge

    Salaam,Shalom. Mimi ni Mtanzania mzalendo wa Nchi yangu nzuri Tanzania, naijua thamani ya Bendera ya Taifa LANGU. Bendera yetu ya Taifa Ina RANGI kuu nne, Bluu, Njano, Kijani na Nyeusi. RANGI hizo za Bendera ya Taifa naziona katika sakafu za ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  9. M

    Taarifa ya Mbowe pamoja na ya Bunge hakuna aliye mkweli

    Juzi mwenyekiti wa chadema Taifa freeman Mbowe alisema kwamba wabunge wamejiongezea mshahara kutoka M13 hadi M18 pasipo kuweka ushahidi wowote ule,Taarifa hiyo ilikanushwa na Bunge kwamba sio kweli kwamba wabunge wamejiongezea mishahara na taarifa hiyo ipuuzwe. Aliyetoa taarifa ya kukanusha...
  10. Bunge lakanusha Kauli ya Mbowe kuwa Mshahara wa Wabunge umepanda kutoka Tsh Milioni 13 hadi 18

    Maneno ya kukana hoja Hizo yametolewa na Kitengo cha mawasiliano na uhusiano wa kimataifa Bungeni.. Jana Ijumaa tarehe 22 Machi, 2024 alipokuwa anahutubia mkutano wa hadhara Mjini Babati Mkoa wa Manyara na kisha Video yake kusambaa kwenye Mitandao ya Kijamii Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia...
  11. Kamati ya Bunge yatembelea ujenzi wa jengo jipya la DAWASA Yetu lililogharimu shilingi bilioni 48.9

    KAMATI YA BUNGE YAFANYA UKAGUZI JENGO LA DAWASA YETU Kamati ya Kudumu ya Bunge Uwekezaji na Mitaji ya Umma imekagua na kufurahishwa na maendeleo ya Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu ya Mamlaka ya Maji Safi na Majitaka Dar Es Salaam (DAWASA) katika eneo la Ubungo Maji Mkoani Dar es Salaam...
  12. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama yatembelea maghala ya jeshi na chuo cha taifa cha ulinzi

    KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA YATEMBELEA MAGHALA YA JESHI NA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI NA KUFURAHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI HIYO Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Tax, machi 16, 2024 ameshiriki katika ziara ya kikazi ya Kamati ya...
  13. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na masuala ya UKIMWI Wilayani Chato

    KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA AFYA NA MASUALA YA UKIMWI WILAYANI CHATO. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI wakiongozwa na Mwenyekiti Mhe. Stanslaus Nyongo leo tarehe 16 Machi, 2024 wamezuru kaburi la aliyekuwa Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt...
  14. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Yasisitiza Wakandarasi Wazawa Kupewa Kipaumbele

    KAMATI YA MIUNDOMBINU YASISITIZA WAKANDARASI WAZAWA KUPEWA KIPAUMBELE Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeisisitiza Serikali kutoa kipaumbele kwa Wakandarasi wazawa katika utekelezaji wa miradi na kuendelea kutafuta ufumbuzi wa changamoto za Wakandarasi hao ili kutoa fursa ya ushindani...
  15. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Yataka Maeneo ya Viwanja vya Ndege Yawe na Hatimiliki

    KAMATI YATAKA MAENEO YA VIWANJA VYA NDGE YAWE NA HATIMILIKI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imeitaka Serikali kuhakikisha inasimamia upatikanaji wa hatimiliki za maeneo ya Viwanja vya Ndege vyote nchini ili kudhibiti uvamizi katika maeneo hayo na kupelekea ucheleweshaji wa utekelezaji...
  16. Bunge la Kenya lapokea Muswada unapendekeza Maafisa wa Tume watakaochelewesha Matokeo kufungwa Miaka 5 jela

    KENYA: Bunge limepokea Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Makosa ya Uchaguzi wa mwaka 2024 ambao unapendekeza kuwekwa Kifungo cha Miaka 5 jela kwa Maafisa wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) watakaochelewesha kutangaza Matokeo . Muswada huo unasomeka "Itakuwa ni makosa kwa Wajumbe na...
  17. Bunge la Marekani lapitisha Muswada wa Sheria ya kuifungia TikTok

    Bunge la Marekani limepitisha Muswada wa Sheria itakayoruhusu kufungiwa kwa TikTok, mtandao wenye Watumiaji Wamarekani takriban Milioni 170, kama haitatengana umiliki wake na kampuni ya ByteDance yenye asili ya China. Wakitoa maoni ya kupitisha Muswada huo, Wabunge wamesema TikTok inahatarisha...
  18. Kamati ya Bunge ya Miundombinu Yakagua Barabara ya Noranga - Itigi

    KAMATI YA MIUNDOMBINU YAKAGUA BARABARA YA NORANGA- ITIGI, YAAGIZA MRADI UKAMILIKE KWA WAKATI. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeiagiza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS) kumsimamia mkandarasi kampuni ya CHICO anayetekeleza ujenzi wa barabara ya Noranga-Itigi (km...
  19. L

    Wataalamu wa habari wa Tanzania waona maamuzi yanayotolewa katika Bunge la Umma la China yanaleta athari za moja kwa moja duniani

    Wakati Mikutano miwili mikubwa inayofanyika kila mwaka hapa nchini China yaani Bunge la Umma (NPC) na Baraza la Mashauriano ya Kisiasa, ikiwa imefunguliwa na kuendelea kufanyika katika Jumba la Mikutano ya Umma hapa Beijing, nchi mbalimbali duniani zimeanza kufuatilia kwa karibu zaidi mwenendo...
  20. Historia ya Elimu ya Chenge kwenye website ya bunge ina walakini

    Andrew Chenge ni mzee anayefahamika kwa wanaofuatilia siasa nchini. Video yake ya hivi karibuni ambayo alikuwa anamuuliza kijana mmoja kama amesoma imenifanya nimtafute huko bungeni ana elimu. Elimu yake imeanza kwa kuweka elimu ya msingi (CPEE) ila ghafla imeenda kwenye elimu ya sekondary ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…