MAJUTO NI MJUKUU
Dada zangu kuna kitu cha kujifunza hapa
Niliolewa na mwanaume mpole sanaaaaaa miaka mitano iliyopita, yani nikisema mpole ni mpole mno, hakunifatilia hata siku moja, hakuniuliza nini wala nini, alinpa uhuru wa kutosha, nikiaga naenda mahali anasema nenda, hata kama narudi saa...