boys

A boy is a young male human. The term is usually used for a child or an adolescent. When a male human reaches adulthood, he is described as a man.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    Sharp boys and girls tupeni hizo mbinu za kusurvive mjini jamani

    Sharp boys and girls Tunaomba codeee wakuu Tunaomba michongo ya kusurvive hapa mjini
  2. NGAYANIMO

    Full interview na Afande Sele kuhusu gheto boys & watu pori

    Interview na Afande Sele akizungumzia watu pori na gheto boys akiwa na c.e.o wa ukwaju wa kitambo
  3. K

    Soko la ajira uarabuni ni kuwa Ma-house boys and Ma-house girls

    Soko la ajira uarabuni ni kuwa Ma-house boys and Ma-house girls. Halafu cha ajabu kuna viongozi serikalini wanapiga madongo na kuweka uadui kwa wana diaspora wenye kazi za maana huko USA na EU wenyewe wanatafutia vijana wetu kazi za mahouse girls na wahouse boys. Kazi zinazohitaji elimu unakuta...
  4. ELI COHEN

    Wadada wa Dar baadh wanafurah sana wakiwaona "rent boys" kwenye shughul zao. Wanahakikisha wanapewa airtime

    Na hii airtime wanayopata Mara nyingi sio katika kusheheresha shughuli zao bali kudharalilisha uanaume. Ila siwezi walaumu hawa wadada maana ni watu wa mihemuko na pia hawa vijana hajalazimishwa na mtu yoyote wawe mlenda.
  5. Bosspraise

    Viwanja goba kulangwa karibu na hermab boys school

    Goba kulangwa plots for sale Viwanja hivo vipo karibu na deez pub upande wa kulia unapoenda madale ni mita 500 kutoka barabara ya madale vipo karibu na shule ya herman boys Kila kiwanja kina ukubw wa sqm 600 Unaweza kuunganisha viwanja vyako zaidi ya kimoja kila kiwanja ni...
  6. ngara23

    Football ya wanawake sio lazima wacheze ma tom boys

    Huu ushamba unaenea Tanzania hasa kwenye football ya wanawake, Hawa mabinti wanaocheza Mpira wa miguu hujigeuza ma tom boy Hii tabia inatutia mashaka sisi wazazi kuwaruhusu mabinti zetu wakacheze soccer, tuna wasiwasi kukengeuka kimaadili na kuwa madume jike ( tom boys) Ni tabia ya kipumbavu...
  7. Faana

    Picha: Hivi ndivyo tuliandika tukiwa school boys miaka ya 1970

    CC Pascal Mayalla Mshana Jr Na ndivyo nilivyompata wangu wa moyoni FaizaFoxy
  8. BabaMorgan

    You wanna chill with Big boys?

    1. Che Guevara 2. Osama bin laden 3. Gaddafi 4. Adolf Hitler
  9. Waufukweni

    M23 waliamsha tena DRC, Wauteka mji wa Nyabibwe, Jimbo la Kivu Kusini

    Siku mbili baada ya waasi wa M23 kutangaza kusitisha mapigano dhidi ya vikosi vya serikali ya DRC kwa sababu za kibinadamu, kundi hilo limeuteka Mji wa Nyabibwe, Jimbo la Kivu Kusini. Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters, waasi hao wameudhibiti mji huo uliopo kando ya Ziwa Kivu, takriban...
  10. Pdidy

    Naulizia tu..Pugu Boys...aka pond boys yalee maji ya fungus bado yapo??maana wengine yalututesa sana na kupunguza HATA uzao...

    Wale mliopotia pugu sec myanielewa Wengine waliitea pond boys Wengine fungus boys Yaani baadaeee BAADA ya mateso ya kujikuna SEHEMU za Siri kunywaa madawaaa kibaokoo Badoo wengine Hawakufanikiwa kupata uzaooo Na HATA walee waliopanga watoto wengi wakaishia MMOJA ama wwawililii maana Ile...
  11. DELETED ACCOUNT

    "Ball Boys" ni chaka jipya la kuingiza ushirikina viwanjani

    Kuna jambo limenishangaza jana la kitendo cha ball boys kuiba begi la golikipa wa TP Mazembe na kukimbia nalo. Kilichonishangaza zaidi ni kitendo cha Rais wa Yanga Hersi Said ambaye pia ni kiongozi anayetafuta heshima Afrika akiwa anashikilia cheo cha Mwenyekiti wa Taasisi ya Vilabu kuwapongeza...
  12. BabaMorgan

    Ukipata Fursa ya kwenda Thailand kuwa makini Lady boys is real story

    Hususani wale wazee wa kimasihara unaweza kujiona bonge la mjanja kwa kujiokotea dodo la kula kimasihara kumbe na wewe upo kwenye menu kutesa kwa zamu sasa toto kama hilo juu na lenyewe lina machine. NB. BONGOZOZO alishawahi kumhoji lady boy huko Thailand ukienda kwenye page yake utayaona...
  13. ukwaju_wa_ kitambo

    Philibert Kabago " boys with voice"

    PHILIBERT KABAGO "Philibert kabago ni msanii wa kizazi kipya ambae masikani ama chimbuko lake ni kutokea jiji Mwanza, na ni sehemu ya Group members waliounda Crew ya " Boys with Voice" Crew ya "Boys with Voice " ilianzishwa mwaka 1997,Kundi ambalo lilikuwalinapatikana katika kata ya...
  14. ukwaju_wa_ kitambo

    Sikufichi By Gheto Boys

    CREW YA "GHETO BOYS" KUTOKA MJI KASORO BAHARI.. Wasanii waliounda kundi la ghetto boys... Ok Ghebo boys ilikuwa timu 1 Afande selle 2. kasa boy 3. juma mjivuni 4. mdogo Dito 5. bwana samu & Mc koba Akaongezeka wa 6 Ballet ENJOY.... VERSE YA MSANII "KASA BOY" ngoma inaitwa "sikufichi"...
  15. J

    Mwanafunzi Umbwe boys afariki dunia akifanya mazoezi

    Mwanafunzi wa kidato cha tano, katika Shule ya Wavulana ya Umbwe, iliyopo Kata ya Umbwe Onana, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, Thomas Edward Kogal (19) amefariki dunia wakati akifanya mazoezi shuleni hapo. Mwanafunzi huyo ambaye ni mwenyeji wa Mkoa wa Kigoma, anadaiwa kufariki dunia juzi...
  16. The Dictator

    THE BOYS: Moja ya series zinazohitaji kujitoa akili na ufahamu ili kuiangalia. Bila hivyo haifai hata kidogo (18+)

    THE BOYS drama ya kimarekani inayohusisha masuperheros au (Mashujaa kwa waswahili). Drama hii inaelezea Superheroes wenye ushawishi kwa umma waliyejiwekeza katika (siasa) wanasiasa, na wakati mwingine hata kuheshimiwa kama miungu. Lakini hapohapo kuna kundi la ambao wanatumia nguvu zao kwa...
  17. Cybergates

    S4: The boys

    Kesho saa 4 kamili asubuhi mzingo mpya, episodes 3 za kwanza zinakua liva amazon prime
  18. Carlos The Jackal

    Tamthilia ya SIRI , imekaa kimchongo, ila Inaonyesha namna gan GOOD BOYS ,wakikutana na Wadada wa mjini , wanapelekwa mikono juu mwendo wa mateka 😅

    Hii Tamthiliyaa imekaa kimchongooo, uongo wa waziwazi !!. Sema Kuna huyu HILLARY A.K.A GOOD BOY... na Huyu SYLVIA , MTOTO WA MJINI. Good boy Leo kaambiwa Mimba imetokaaa baby 😅😅.
  19. nzalendo

    Uyui secondary tabora boys 1994....1996

    Bila kuwasahau Tabora girls...wakati wa joint mass.....mikusanyiko ya pamoja Disco la mchana ile saa nane nane kijua.....wapi chuo cha uhazili na Mirambo secondary...ya Kale dhahabu....good sweet memories....Tabora raha saanaaa. Pia ni mkoa uliokuwa na mabinti wazuri.
  20. benzemah

    Rais Samia, Mwinyi Wapokea kwa Shangwe Ushindi wa Karume Boys, Waipongeza kwa Kutwaa Ubingwa wa CECAFA U-15

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi wameipongeza timu ya Taifa ya Zanzibar chini ya miaka 15 (Karume Boys) kwa kutwaa ubingwa wa mashindano ya CECAFA-U15 yaliyofanyika nchini Uganda. Karume Boys...
Back
Top Bottom