bot

A board of directors is a group of people who jointly supervise the activities of an organization, which can be either a for-profit or a nonprofit organization such as a business, nonprofit organization, or a government agency.
The powers, duties, and responsibilities of a board of directors are determined by government regulations (including the jurisdiction's corporate law) and the organization's own constitution and bylaws. These authorities may specify the number of members of the board, how they are to be chosen, and how often they are to meet.
In an organization with voting members, the board is accountable to, and may be subordinate to, the organization's full membership, which usually elect the members of the board. In a stock corporation, non-executive directors are elected by the shareholders, and the board has ultimate responsibility for the management of the corporation. In nations with codetermination (such as Germany and Sweden), the workers of a corporation elect a set fraction of the board's members.
The board of directors appoints the chief executive officer of the corporation and sets out the overall strategic direction. In corporations with dispersed ownership, the identification and nomination of directors (that shareholders vote for or against) are often done by the board itself, leading to a high degree of self-perpetuation. In a non-stock corporation with no general voting membership, the board is the supreme governing body of the institution, and its members are sometimes chosen by the board itself.

View More On Wikipedia.org
  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania BoT tupeni majibu sarafu ya Tsh 100 imetoweka mtaani

    Kutoweka Kwa sarafu ya sh 100 kama ilivyo ya sh 50 hii ni hatari kiuchumi Hizi sarafu mnazitoa kwenye mzunguko makusudi ili iweje Kenya Kwa sarafu ya KSH 20 unanunua mkate wa familia vocha n.k ila huku tushasahau BOT tupeni majibu Tsh 50, 100, 200 hazionekano kwenye mzunguko
  2. OLS

    JamiiForums Tanzania BoT kushinda award ya Global inclusion ni sahihi au ni uchawa wa kimataifa?

    Benki Kuu ya Tanzania imeshinda Global Award of Financial Inclusion. Ikumbukwe Tanzania sio nchi inayoongoza kwa unafuu wa Financial Inclusion tozo nyingi, na namna ambazo zinazidi kufanya watu wasipende kutumia namna za kidigitali za kutuma fedha. Haya mambo haya yananistaajabishaga sana basi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa sasa una originate 'juu' ndo mana ni ngumu kufahamu. BOT, Mwigulu, wana siri nzito

    Kiuhalisia Ufisadi huu wa Leo unaoibuliwa na Mange Kimambi, Kuna uwezekano Mkubwa chimbuko lake ni Ikulu, na wahusika wa Karibu ni Waziri wa fedha na Governor wa BOT, na Kwa kiasi kikubwa Wafanyabiashara wakubwa wanahusika Kwa kukwepa Kodi kupitia Ikulu na vyombo vyake, mtu kama GSM ana tabia ya...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa BOT thamani ya Shilingi ya Tanzania imeimarika

    Kwa miezi miwli sasa thamani ya shillingi ya Tanzania imekuwa imara(stable) kulinganisha na fedha za nchi mbalimbali. Ninaomba juhudi iendelee kufanyika ili shillingi ya Tanzania iendelee kuimarika kuliko hivi sasa.
  5. B

    JamiiForums Tanzania BOT: Tunageukia kutoa elimu fedha kwa kilimo cha mbogamboga na nafaka

    01 August 2025 BOT ACADEMY, WFP KUSHIRIKIANA KUTOA ELIMU YA FEDHA KWA VIJANA https://m.youtube.com/watch?v=WugyiK5DhAY A big step for Tanzanian youths in agri-finance Hon. Gov. Emmanuel Tutuba and WFP’s Christine Mendes launch the Certified Financial Educators Initiative — empowering 150...
  6. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Changia maboresho ya huduma Za BOT kwa kujaza Dodoso la Kuridhika kwa Wadau kwa mwaka 2024/2025

    Changia maboresho ya huduma zetu kwa kujaza Dodoso la Kuridhika kwa Wadau kwa mwaka 2024/2025 kupitia link hii Welcome to BoT Stakeholders' Satisfaction Survey Bank of Tanzania (BoT) is conducting survey to assess levels of stakeholder’s satisfaction on its undertakings. This will enable the...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Benki Kuu (BoT) kwa kupunguza riba za mikopo kwa watu binafsi na watumishi wa umma.

    Kwa mara ya kwanza Gavana wa BOT aamuru Mabenki yanayo toa mikopo kwa wananchi na haswa watumishi wa umma kushusha riba hadi kufikia asilimia kumi 4. Hakiki kupunguzwa kwa riba kutarahisosha ukali wa maisha kwa wananchi wengi. Benki ya NMB ambayo ndio inaongoza kutoa mikopo yenye riba kali kwa...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania BoT yasisitiza ni marufuku kutumia fedha za kigeni kufanya miamala ya bidhaa na huduma nchini

    Mkurugenzi wa Masoko ya Fedha Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Akaro akizungumza katika semina ya Waandishi wa habari iliyofanyika tarehe 20 Mei 2025 katika ofisi za Benki Kuu jijini Dar es Salaam, kuhusu Kanuni za Matumizi ya Fedha za Kigeni za Mwaka 2025. Kwa mujibu wa Kanuni hizo, bei...
  9. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania BOT iondoe sifuri moja kwenye noti za Tanzania kama walivyfanya Zambia mwaka 2012

    Punguza sifuri moja kwenye noti za Tanzanian kuna athari kadhaa za kifedha na kiuchumi, ambazo ni pamoja na: 1. Kuhifadhi Thamani na Usahihi wa Bei: Kupunguza sifuri moja kwenye noti kunaweza kusaidia kuboresha usahihi wa bei na kupunguza mkanganyiko wakati wa kujumuisha au kuhesabu bei kubwa...
  10. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu (BoT) yaendelea kusisitiza kuwa malipo ya huduma zote ndani ya nchi yanapaswa kufanyika kwa Shilingi ya Tanzania

    KATAZO LA MATUMIZI YA FEDHA ZA KIGENI KATIKA KUFANYA MIAMALA YA NCHINI/MALIPO NDANI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuutaarifu umma kwamba, kulingana na matakwa ya Kifungu cha 26 cha Sheria ya Benki Kuu ya mwaka 2006, Serikali imetoa Kanuni za Matumizi ya Fedha...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hii inamaana BOT huandaa serial number na kuiambia kampuni ichapishe fedha kulingana na serial number iliyopewa

    Ndiyo, uko sahihi kabisa — Benki Kuu ya Tanzania (BoT) huamua na kupanga serial numbers, halafu huiagiza kampuni ya uchapishaji kuchapisha fedha kulingana na mpango huo. Hii hapa ni namna mchakato unavyokwenda kwa kawaida: --- 1. BoT huamua kiasi cha fedha kinachohitajika Hufanyika tathmini...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Tanzania (BoT): Uchumi wa Tanzania unatarajiwa kuendelea kukua kwa kasi ya 6.1% na 6.5% mtawalia

    BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imetangaza kuwa uchumi wa Tanzania Bara na Zanzibar unatarajiwa kuendelea kukua kwa kasi ya kuridhisha katika robo ya pili ya mwaka 2025, kwa asilimia 6.1 na 6.5 mtawalia, huku mfumuko wa bei ukitarajiwa kubaki tulivu kwa asilimia 3.2. Akizungumza jijini Dar es...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Huduma za manunuzi ya umeme (Luku) zarejea kwa ukamilifu

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa changamoto iliyojitokeza leo asubuhi katika njia za manunuzi ya umeme (LUKU) imefanyiwa kazi. Kwa sasa wateja wetu wanaweza kufanya manunuzi ya umeme kupitia njia zote za mawakala, mitandao ya simu na njia za kibenki. Shirika...
  14. S

    JamiiForums Tanzania BoT yatoa ufafanuzi kuhusu taharuki ya noti za Shilingi 10,000 na 5,000 toleo la 2003

    Benki Kuu ya Tanzania inapenda kutoa ufafanuzi kwa umma kuhusu taharuki iliyojitokeza kuhusiana na noti za shilingi 10,000 na 5,000 toleo la 2003 zinazopaswa kuondolewa kwenye mzunguko zinazofananishwa na noti za thamani hiyo toleo la 2010 zinazoendelea kutumika. Zoezi la kubadilisha noti hizo...
  15. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Wizara na BoT Tuwekeeni Upembuzi unaoonesha kila awamu ilikopa Jumla ya shilingi ngapi !?

    Ukiangalia line progressive ya deni, ndani ya miaka 4 Samia ameweza kukopa fedha nyingi kuliko awamu zote. Over 50% as last update of march 2021 Viongozi wa CCM, machawa wa CCM. na Vijana futureless wa CCM wamekuwa na majibu ya jumla jumla miaka yote kwa kupamba awamu husika kuwa deni la...
  16. M

    JamiiForums Tanzania BoT: Ufafanuzi kuhusu mwenendo wa Shilingi ya Tanzania dhidi ya Dola ya Marekani

    TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI KUHUSU MWENENDO WA SHILINGI YA TANZAΝΙΑ DHIDI YA DOLA YA MAREKANI Benki Kuu ya Tanzania inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa potofu iliyosambaa katika vyombo mbalimbali vya habari. Taarifa hiyo, iliyochapishwa tarehe 19 Machi 2025, ilidai kuwa Shilingi ya Tanzania...
  17. S

    JamiiForums Tanzania BOT acheni majibu ya kisiasa kwa Watanzania; kuna tofauti kati ya uchumi kukua na shilingi kuporomoka, na vyote vinaweza kutokea kwa wakati mmoja

    BOT wamejibu tuhuma kwamba shilingi ya Tanzania imekuwa ikiporomoka kwa kasi ambayo inaifanya mbaya kuliko nchi zote duniani. Sasa BOT wamekuja na majbu kama vile yameandaliwa kutoka makao makuu ya chama tawala na sio wachumi wanaojisifia kuwa na degree za first class za Economics. Jibu la BOT...
  18. R

    JamiiForums Tanzania BOT nawashitakia huduma za mabenki warekebishe vikasoro vidogo hivi

    1. Almost all banks haziweki "wazi" gharama za kufanya miamala kutoka benki akaunti kwenda kwenye mitandao ya simu and vice versa. Inabidi gharama hizi ziwe wazi na si za kutafuta kama sindano. Kwanini zisiwekwe kwenye website zao? Wanaficha nini? 2. ATM mara nyingi zinakuwa hazina risiti...
  19. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Mchina wa boat za Azam anayejinengua kwa miondoko ya Kike analeta tafsiri gani? Je anaburudisha au anakosea?

    Mchina wa boat za Azam anayejinengua kwa miondoko ya Kike analeta tafsiri gani? Je anaburudisha ama anakosea? Tazama Video👇
  20. P

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya umizi au kausha damu inawaumiza sana wananchi maskini. Je, serikali wamekuja na njia ipi ya kumkomboa maskini?

    Ni kiri kuwa mikopo ya umizi au kausha damu inawaumiza sana wananchi maskini. Hili ni tatizo kubwa na hata serikali wanalijua. Cha kusikitisha ni kwamba serikali wamekuja na njia ipi ya kumkomboa maskini ili aondokane na mikopo umiza? Nadhani tukubaliane kuwa ni vyema kuja na suluhisho ya...
Back
Top Bottom