Marubani wamelala halafu mambo ya kuumiza vichwa sio vitu vyao wanataka kitu kiwe tayari waishi nachoNilitegemea kwenye huu uzi marubani wasio na leseni na wakamaria wachangamkie fursa.
Mkuu, bila shaka utakuwa unajua hakuna logic inayoweza kutoa “edge ya uhakika” kwenye round inayofuata ikiwa multiplier inatengenezwa kwa mfumo wa random/fairness unaofanya kila round ijitegemee. Bot inaweza kuonekana inafanya vizuri kwenye data za nyuma, lakini hiyo si uthibitisho kwamba inaweza kutabiri round inayofuata.Wakuu Mwenye idea tushirikiane nimefanikiwa kuunda bot ya aviator ambayo inafanya kazi yenyewe Shida ni logic ya kupata Egde ya uhakika kihesabu hapo pamenishinda, kama unaamini una logic bora itakayofanya kazi nicheki Dm tushirikiane.
hehehe nishafanya hizi zote nina database ya zaidi ya rounds 2000,000 ndo ninayoitumia kutafuta logicMkuu, bila shaka utakuwa unajua hakuna logic inayoweza kutoa “edge ya uhakika” kwenye round inayofuata ikiwa multiplier inatengenezwa kwa mfumo wa random/fairness unaofanya kila round ijitegemee. Bot inaweza kuonekana inafanya vizuri kwenye data za nyuma, lakini hiyo si uthibitisho kwamba inaweza kutabiri round inayofuata.
Kile unachoweza kufanya ni kubadilisha lengo kutoka “kutabiri multiplier” kwenda “kupima kama kuna edge halisi.”
Mfano wa framework:
Kusanya rounds nyingi — multiplier, muda, na seed/hash kama mfumo unatoa.
Tengeneza probability distribution ya multipliers.
Kwa target , na kufanya makadirio, unaweza kutumia confidence intervals + out-of-sample testing ili kuzuia bot kujifunza pattern za bahati tu.
Tumia bankroll/risk model tofauti na prediction model.
Kwa mfano, kama probability halisi ya kushinda ni karibu , basi strategy ya “ingia kila round na cashout 2x” haina positive mathematical edge kabla ya house rules/fees. Kuona rounds 10 au 20 zikifanya pattern fulani hakubadilishi probability ya round inayofuata.
Hii kitu unatakiwa ujue unachowaza ama ulichofanya tayari waliotengeneza aviator walishakiwaza kabla na kukifanyia kazi.
Binafsi nilishacheza na hii kitu lakini haikuleta positive outcome mara zote, ni mara chache! Fanya ukifanikiwa leta mrejesho hapa
Nitumie hizi ni Json,csv, Excelhehehe nishafanya hizi zote nina database ya zaidi ya rounds 2000,000 ndo ninayoitumia kutafuta logic
Hii Logic ni moja ya Logic za mwanzo ambazo wengi Hujaribu lakini Hushindikana sababu bookmaker amethibiti hisabati (odds) kuwa sio fair kati yake na wachezaji kwa RTP ya 97% hapo giza ndo linaanza kutanda. Kuanza kutabiri round inayofuata ni Gamblers Fallaccy Unakuwa umeingia kwenye mfumo Wa EV- yakeKutafuta pattern
Tunaweza ku-test kama multiplier ya round inayofuata inategemea chochote kwenye rounds zilizopita.
2M+ rounds, cha maana ni ku-test kama kuna conditional signal yenye stability inayobadilisha EV—si kuamini streaks au gambler’s fallacy.Hii Logic ni moja ya Logic za mwanzo ambazo wengi Hujaribu lakini Hushindikana sababu bookmaker amethibiti hisabati (odds) kuwa sio fair kati yake na wachezaji kwa RTP ya 97% hapo giza ndo linaanza kutanda. Kuanza kutabiri round inayofuata ni Gamblers Fallaccy Unakuwa umeingia kwenye mfumo Wa EV- yake
2M+ rounds tayari ni raw material kubwa. Sasa tunahitaji kuacha mindset ya “predict next multiplier” na kuingia kwenye quantitative research:Ndiyo mkuu hiyo ndo target