bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt Stergomena akabidhi zawadi za Wafanyakazi Bora kwa watumishi wa Wizara ya Ulinzi na JKT

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), amewataka watumishi wa Wizara ya Ulinzi na JKT kuendeleza utii, weledi na uaminifu katika utekelezaji wa majukumu yao ya kazi, na kuepuka migogoro mahali pa kazi. “Pamoja na kuwa sina mashaka kuhusu nidhamu mliyonayo...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Visa card for Vodacom Vs Mater Card ya airtel, Ipi bora??

    Wadau, nataka kupata uzoefu wenu ,, ni card ipi ya online unawezaitumia kulipia huduma mbalimbali za mitandaion. Mfano unataka kulipia kwa dolla ila umeweka hera kwa Tsh etc, je usalama wake.. Naomba wazoefu wasaidie kushare uzoefu.
  3. JamiiForums Tanzania Vimto kutoka Saudia ni kinywaji bora kama utaweza jaribu kunywa hutajuta

    Asili ya kinywaji hiki kilitengenezs mwa kwanza Manchester Uingereza miaka ya 1800+. Ni mchanganyiko wa berries na zabibu zilizosagwa pamoja na viasilia vingine. Kinywaji hiki kilitumiwa sana na wanajeshi wakati wa WWI, walifungiwa mabox ya Vimto na kuoekekewa huko mstari wa mbele. Miaka ya...
  4. JamiiForums Tanzania Hakuna wa kunishawishi: Hayati Magufuli ni Rais bora wa awamu zote

    Japo amesha lala usingizi wa mauti lakini kaacha watu wanaweweseka tu kila siku wanajaribu kuonesha kuwa hakuna alichofanya lakini wakigeuka huku wanaona midege ya ATCL huku wanaona hospitali za Kanda, za rufaa, vituo vya afya na zahanati kule wanaona mradi wa SGR, mara mradi wa Stglers, mara...
  5. JamiiForums Tanzania Shule iliyonufaika na fedha za Uviko-19 yaingia 10 bora

    Ilikua vigumu sana kwa watu wengi kuelewa uamuzi uliochukuliwa na Rais Samia Suluhu juu ya fedha za mkopo zilizotolewa na IMF za mapambano dhidi ya Uviko-19 baada ya kuzipeleka kwenye ujenzi wa miradi mbalimbali nchini badala ya kununua vifaa vya kujikinga na janga hilo. Fedha hizo shilingi...
  6. JamiiForums Tanzania U-Live ya U-FM: Kipindi bora cha michezo kuliko vyote

    Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza. U-live kuna watangazaji wastaarabu. Wachambuzi bora kabisa. Na habari zao ni za uhakika. Wana programs zimetulia, wameweka standards zao za sponsors wa kipindi chao. Matangazo hayaboi ni machache lakini hayaharibu ladha ya kipindi.
  7. JamiiForums Tanzania Wasichana kuwaburuza kaka zao ktk 10 bora za matokeo ya NECTA ni uwezo wao, wanawezeshwa kijinsia au wavulana wamepunguza bidii

    Orodha hiiya matokeo ya leo kuna wavulana watatu pekee 𝐖𝐚𝐧𝐚𝐟𝐮𝐧𝐳𝐢 𝟏𝟎 𝐛𝐨𝐫𝐚 𝐤𝐢𝐭𝐚𝐢𝐟𝐚 𝟐𝟎𝟐𝟐 𝐤𝐢𝐝𝐚𝐭𝐨 𝐜𝐡𝐚 𝐬𝐢𝐭𝐚 1. Catherine Alphonse Mwakasege (PCB) – St. Mary’s Mazinde Juu Tanga. 2. Lucy Magashi (PCB) Shule ya St. Mary’s Mazinde Juu Tanga. 3. Mhewa Charles Kamando (PCB) – Tabora Boys 4. Minaeli...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu chanzo cha ufaulu bora

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Leo Baraza la Mitihani Taifa limetangaza matokeo ya kidato cha 6 na kwenye orodha ya shule 10 bora kuna shule takribani 3 za serikali zimeingia kwenye orodha hii. Wote sisi ni mashahidi wa namna ambavyo Rais Samia Suluhu alivyoipa sekta ya elimu...
  9. JamiiForums Tanzania Yule Mzee akaniuliza; Kipi Bora, Nchi kupelekwa kuzimu au kurudishwa shimoni?

    Kwema Wakuu! Leo nilikutana na Mzee mkongwe ambaye mara ya mwisho kuonana ilikuwa 2017, aliponiona akanichangamkia Sana huku akatabasamu, nami nilifurahi Sana Kwa maana huyu Mzee licha ya umri kusonga lakini akili yake bado ilikuwa na nguvu, baada ya kusalimiana Stori za hapa na pale zikaanza...
  10. JamiiForums Tanzania Bora wazee waliobadilishana almasi kwa shanga na vikombe sisi leo mahindi/mazao kwa makaratasi meupe!

    Yas kama bei ya karatasi [hizi rimu/ream sijui] imefikia sijui 20,000s, na gharamagharama sijui thelathini naa huoni kama ni yaleyale. Ya kutoa dhahabu na kupewa kioo!! Tunapewa kakitu kadogo tusichozalisha kwa bei kubwa na ili kupata fedha za kununulia huto tuvitu tunauza chakula chetu cha...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Hongera ALI KAMWE Kwa Kampeni ya kumpongeza Mfugaji bora wa ligu kuu NBC

    Nianze kwa kumpongeza Bw. mdogo (Ali Kamwe) kwa kazi nzuri ya uchambuzi wa soka hasa ligi ya ndani ambayo amakekuwa akiifanya kwa usanifu wa hali ya juu kupitia kituo cha AZAM TV. Pamoja na umri wake kuwa mdogo, Bw mdogo ameonyesha sio tu ukomavu mkubwa wa akili anapochambua soka letu bali pia...
  12. JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi Hasira zenu za Mayele kukosa Ufungaji Bora msizihamishie katika Tuzo

    Almasi Kassongo ( Boss wa Bodi ya Ligi Kuu ya NBC ) na hilo Bichwa lako Kubwa kama Papai za Mgeta Mkoani Morogoro huo Uyanga wako na hizo Pesa za Kuhongwa na GSM zitakutokea Puani Siku Moja. Bodi ya Ligi ( TPLB ) chini ya Mwenyekiti wake Almasi Kassongo hivi mliwaza nini mpaka mkasena kuwa Tuzo...
  13. A

    JamiiForums Tanzania UDSM, MUHAS & UDOM Vinashika Nafasi Tatu za juu kwa Vyuo Vikuu Kumi Bora Tanzania

    Baada ya kufanya utafiti mdogo kuhusu vyuo kumi bora Tanzania, nimejiridhisha vya kutosha vyuo nitakavyo vitaja hapa ndivyo vyuo kumi bora kwasasa hapa Tanzania. Katika utafiti huu mdogo nimezingatia machapisho ya chuo husika kwenye international journals, tafiti za chuo husika, mchango wa chuo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Maombi ya ushauri wa field ya kufanya

    Wakubwa m ni mwanafunzi wa chuo mwaka kwanza.NAWAOMBENI mnishauri nipigi field kipi ambacho kinasoko la ajira au naweza jiajiri binafsi. 1. Software developer 2. Database administator 3. Network engineering 4. Security analyst 5. Programing Yeyote yule anaweza nisaidia ushauri.
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi sahihi wa kuanza nae mahusiano imara na bora

  16. S

    JamiiForums Tanzania Bora Tanzania kuliko Marekani - Wacheni kushobokea majuu

    Inakuwaje linchi likubwa linasifika linajisifia ulimwengu mzima, leo maziwa ya unga ya kopo kwa ajili ya watoto wachanga imekuwa shida ya kufa mtu? Tuagizeni mafuta Urusi yanapatikana kwa bei ya kutupa kabisa.
  17. JamiiForums Tanzania Mayele apewe tuzo ya mshangiliaji bora

    Mayele ni moja ya washambuliaji hodari sana kwenye kushangilia duniani, hakika style yake ilibamba sana. Nawaomba shirikisho la mpira wa miguu Tz wampatie japo tuzo ya ushangiliaji bora, maana hii ndio tuzo alikuwa anashahili.
  18. JamiiForums Tanzania Kikosi changu bora kabisa cha NBC Premier League 2021 / 2022

    1. Djigui Diara ( Yanga SC ) 2. Shaaban Djuma ( Yanga SC ) 3. Mohammed Hussein Tshabalala ( Simba SC ) 4. Dickson Job ( yanga SC ) 5. Henock Inonga ( Simba SC ) 6. Yannick GENTAMYCINE Bangala ( Yanga SC ) 7. Edmund Godfrey ( Geita Gold FC ) 8. Khalid GENTAMYCINE Aucho ( Yanga SC ) 9. Fiston...
  19. JamiiForums Tanzania Mchezaji wako bora wa Msimu wa NBC PL ni nani?

    Mimi nafikiri Fiston Kalala Mayele. Wewe je?
  20. K

    JamiiForums Tanzania Taja Wabunge 10 bora katika Bunge la Bajeti 2022, waliobeba hoja nzito za Wananchi

    Bunge la Bajeti liko ukingoni kumalizika ni wabunge gani tunawapa nafasi kumi bora kwa kuwakilisha vema na kubeba hoja zenye maslahi mapana kwa taifa letu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…