bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, umeshawahi kutoa rushwa kwakuwa hakuna uwajibishwaji wa watoa na wapokea Rushwa?

    Rushwa, iwe ya kiwango kidogo au kikubwa, inakatiza na kuzuia utawala wa sheria kutekelezwa ipasavyo. Ni kikwazo kikubwa katika utawala bora kwani huathiri sekta ya umma na binafsi na kusababisha watu kushindwa kufikia maendeleo stahiki na huduma bora za kijamii. Vitendo vya Rushwa vina athari...
  2. JamiiForums Tanzania Maisha tuliyoishi na Telephone Operators

    Ninakumbuka zile enzi za kusubiri line, line ikipatikana unakuta namba iko engaged. Sisi tuliokulia vijijini simu ilikua inaunganishwa na operator Wilayani. Zile familia maarufu hata habari walipata kutoka kwa operator. Ilikua ni rahisi kumpata operator na kumpa taarifa za kifo, uzazi au...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Maoni Yangu: Lema Mwanasiasa bora Afrika

    Habari ndugu wanajamii forums Nimekuwa nikifuatilia siasa za Tanzania na Afrika kwa muda mrefu takribani miaka 20. Kinachonifurahisha kwa mwanasiasa yoyote ni uwezo wa kujenga hoja. Ukiangalia wanasiasa wengi hapa TZ kuanzia mwalimu Nyerere na uwezo wao wa kujenga hoja utaona ni kama mtu...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba: Kama hali imeboreka semeni kwamba sasa hivi ni bora kuliko ilivyokuwa, mkisema sio tunanyong'onyea

    Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema kazi inafanyika na dhamira nzuri ipo na anachoomba uelewa na uwepo wa subira pamoja na kutiwa moyo. "Kazi inafanyika na dhamira nzuri ipo tunachoomba ni uelewa na subira tunaomba kutiwa moyo kama hali imeboreka semeni kwamba Sasa hivi ni bora kuliko...
  5. JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu bora ni ipi?

    Utangulizi. Elimu kwa maana pana ni tendo au uzoefu wenye athari ya kujenga akili, tabia ama uwezo wa kimaumbile wa mtu binafsi. Katika dhana ya kiufundi, elimu ni njia ambayo hutumiwa makusudi na jamii kupitisha maarifa, ujuzi na maadili kutoka kwa kizazi kimoja hadi kingine (Wikipedia). Elimu...
  6. JamiiForums Tanzania SoC02 Bora sisi kuliko wao, Kama vipi, vipi tu

     Katika mazingira ya kawaida tunayoishi katika jamii yetu Kuna dhana ambayo imejengeka kila kizazi kujiona bora kuliko kizazi kingine hapa nazungumzia kizazi Cha zamani kinachoishi mpaka Sasa na hiki Cha Sasa ambacho kinajiita Cha kidigitali. Kizazi Cha zama za nyuma kinajivunia kwa kusema kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania SoC02 Namna bora ya kutumia rasilimali watu kuchochea maendeleo kupitia rasilimali zilizopo eneo husika

    UTANGULIZI. Rasilimali ni nyenzo ya muhimu ambayo huleta faida kwa kurahisisha maisha ya mwanadamu kulingana na mahitaji yake. Rasilimali inaweza kuwa ni ya asili au si ya asili kwa mfano vyanzo vya maji, misitu na hata vivutio vya kitalii kama mlima Kilimanjaro ni rasilimali ipatikanayo...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Niko nasikiliza nyimbo zao bora zilizowatambulisha nimegundua kuna tofauti kubwa mno; Sijui kiliwakumba nini vichwani hawa waimbaji siyo bure

    Niko hapa nasikiliza nyimbo mbalimbali za kidunia na kidini! Aisee nyimbo kama za Twenty percent ukisikiliza una feel kabisa ubunifu waziwazi, pia nyimbo kama za prof. J, Wagosi wa kaya, Mwinjuma muumini na wasanij wengine wengi unaona kabisa kuna kitu kilifanyika! (Wasanii na maproducer)...
  9. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nguvu inayotumika kuingiza bodaboda nchini iwekezwe kwenye uingizaji wa zana bora za kilimo

    Ndani ya kipindi cha miaka kumi (10), usafiri wa kutumia pikipiki ulionekana kama mkombozi wa maisha ya vijana katika kuisaka ridhiki. Lakini kadri siku zinavyozidi kusogea mbele usafiri huu umegeuka kuwa tishio kwa usalama wa vijana kiafya, kimaadili na kiuchumi pia. Baada ya kuporomoka kwa...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumi bora yangu ya wakati wote ya nyimbo kali za muziki wa Congo

    Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa. Kabla sijataja kumi bora yangu ya nyimbo za muziki wa Congo (Kinshasa & Brazaville) ni lazima tukubali tu kwamba bado rhumba na dansi ni miziki inayopendwa toka rohoni kabisa ila media zinatulazimisha tuone ni miziki iliyopitwa na wakati. Hadi leo hii Club...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CEO Barbara: Tumepokea simu nyingi baada ya Tuzo ya goli bora la CAF, klabu kadhaa zikimuhitaji Sakho

    Klabu ya Simba kupitia kwa Mtendaji Mkuu wao (CEO) Barbara Gonzalez, amethibitisha kuwa hadi kufikia sasa wamepokea simu nyingi sana kutoka klabu kadhaa zikiwemo vigogo wa Afrika Wydad na Raja, zikimuhitaji nyota Pape Ousmane Sakho ambaye jana usiku alitwaa Tuzo ya goli bora la CAF 2022...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aziz Ki alivyompoteza SAKHO kwenye magoli ya CAF Confederation Cup

    Ukizungumzia magoli ya CAF CC Aziz Ki ana magoli mengi kuliko SAKHO na yumo kwenye orodha ya wafungaji bora amefunga 3 sawa na nusu ya magoli 6 aliiyonayo Adebayor mfungaji bora. Mfungaji bora hupatikana kwa takwimu tofauti na goal of the year awards ambalo hutokana na maoni tu ya followers wa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Bila U-Sri Lanka ama kuchapana kamwe Katiba Mpya iliyo bora haitapatikana

    Katiba bora ni ile inayotoa fursa sawa kwa vyama vya siasa na raia wake kwa ujumla na yenye kumuwajibisha kila anayeikiuka. Hapa nchini kuna vuguvugu la kutaka kuandikwa kwa katiba mpya. Lakini katiba itakayoandikwa kwa mazingira na mwenendo tulionao sasa itakuwa siyo bora. Itakuwa siyo bora...
  14. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Goodnews: Pape Sakho apenya 3 bora nominees goal bora

    Baada ya mchujo mkali hawa ndiyo watakaotengewa meza zao siku ya sherehe hapo morroco,may God bless POS abebe hii tuzo
  15. JamiiForums Tanzania Nashukuru Chuo Kikuu changu bora Tanzania nzima cha 'SAUT Mwanza' ndicho hakina 'Upuuzi' huu

    SERIKALI imevitilia shaka baadhi ya vyuo vikuu ikisema vinatumia vibaya muundo wa wastani wa alama katika ufaulu (GPA) ili vipate wanafunzi wengi. - Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda alisema hayo kwenye sherehe za siku ya Chuo Kikuu cha Iringa (IUCo) zilizohusisha...
  16. JamiiForums Tanzania SoC02 Fumbo na jawabu la Utawala Bora

    Kwanza kabisa nipende kumshukuru mungu kwa nafasi hii, Natumai sote tuwazima. Wenye maradhi na shida mbalimbali mungu awaongoze na awasaidie. UTANGULIZI . Nini maana ya utawala ? Utawala ni Hali ya kuwa na mamlaka na haki ya kuongoza. Dhana hii ya utawala ndio itakae tupeleka katika...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Kigezo cha mendeleo ya nchi ni maisha bora ya mwananchi wa kawaida

    Pili Mwinyi Hivi majuzi katika pekuapekua zangu kwenye mitandao ya kijamii nilikutana na msemo mmoja ambao ulinifanya nitulie kwanza na kuutafakari kwa kina. Msemo huu umeshiba busara na hekima kubwa kama utauangalia kwa jicho linaloona, na hata kwa wale ambao msemo huu unawagusa moja kwa moja...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunahitaji Rais ambae ni Mwanasiasa Bora au Mzalendo?

    Habari JF ,Kiuhalisia unapozungumzia sifa NZURI za kiongozi hasa kwa Ngazi ya Urais huwa Hatuna kiongozi Bora ila tuna Mwanasiasa Bora au Kiongozi Mzalendo. Kiongozi bora maana yake ni Mwanasiasa Bora na ni Mzalendo pia kupata mtu mwenye sifa hizi Mbili ni Ngumu sana kwa hiyo ni either utapata...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipi ni bora - Useja au kuoa/kuolewa?

    *USEJA - hii ni ile hali ya mtu kuishi bila ndoa. Swali: Kwa dunia ya Sasa na maisha ya sasa yalivyo kipi ni bora kuishi maisha ya useja au kukubali kuoa/kuolewa? - Kwangu Mimi maisha yaliyo bora ni kuishi kwenye useja. - Vipi kwenu nyie wanajamii majibu yenu ni yapi [ useja au kuoa/kuolewa ].
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Radio ya gari (Android radio), brand gani ni bora?

    Wakuu, salaam Kwa wataalaamu na wajuvi wa android radio za magari, ni brand gani ambayo ni the best in terms of durability and display quality? N.B: Exclude Chinese brands! Hizi zinalalamikiwa kuharibika mapema sana. Gari ni Toyota ist (old model).
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…