bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi Hasira zenu za Mayele kukosa Ufungaji Bora msizihamishie katika Tuzo

    Almasi Kassongo ( Boss wa Bodi ya Ligi Kuu ya NBC ) na hilo Bichwa lako Kubwa kama Papai za Mgeta Mkoani Morogoro huo Uyanga wako na hizo Pesa za Kuhongwa na GSM zitakutokea Puani Siku Moja. Bodi ya Ligi ( TPLB ) chini ya Mwenyekiti wake Almasi Kassongo hivi mliwaza nini mpaka mkasena kuwa Tuzo...
  2. A

    JamiiForums Tanzania UDSM, MUHAS & UDOM Vinashika Nafasi Tatu za juu kwa Vyuo Vikuu Kumi Bora Tanzania

    Baada ya kufanya utafiti mdogo kuhusu vyuo kumi bora Tanzania, nimejiridhisha vya kutosha vyuo nitakavyo vitaja hapa ndivyo vyuo kumi bora kwasasa hapa Tanzania. Katika utafiti huu mdogo nimezingatia machapisho ya chuo husika kwenye international journals, tafiti za chuo husika, mchango wa chuo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Maombi ya ushauri wa field ya kufanya

    Wakubwa m ni mwanafunzi wa chuo mwaka kwanza.NAWAOMBENI mnishauri nipigi field kipi ambacho kinasoko la ajira au naweza jiajiri binafsi. 1. Software developer 2. Database administator 3. Network engineering 4. Security analyst 5. Programing Yeyote yule anaweza nisaidia ushauri.
  4. Rangooo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi sahihi wa kuanza nae mahusiano imara na bora

  5. S

    JamiiForums Tanzania Bora Tanzania kuliko Marekani - Wacheni kushobokea majuu

    Inakuwaje linchi likubwa linasifika linajisifia ulimwengu mzima, leo maziwa ya unga ya kopo kwa ajili ya watoto wachanga imekuwa shida ya kufa mtu? Tuagizeni mafuta Urusi yanapatikana kwa bei ya kutupa kabisa.
  6. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Mayele apewe tuzo ya mshangiliaji bora

    Mayele ni moja ya washambuliaji hodari sana kwenye kushangilia duniani, hakika style yake ilibamba sana. Nawaomba shirikisho la mpira wa miguu Tz wampatie japo tuzo ya ushangiliaji bora, maana hii ndio tuzo alikuwa anashahili.
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kikosi changu bora kabisa cha NBC Premier League 2021 / 2022

    1. Djigui Diara ( Yanga SC ) 2. Shaaban Djuma ( Yanga SC ) 3. Mohammed Hussein Tshabalala ( Simba SC ) 4. Dickson Job ( yanga SC ) 5. Henock Inonga ( Simba SC ) 6. Yannick GENTAMYCINE Bangala ( Yanga SC ) 7. Edmund Godfrey ( Geita Gold FC ) 8. Khalid GENTAMYCINE Aucho ( Yanga SC ) 9. Fiston...
  8. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Mchezaji wako bora wa Msimu wa NBC PL ni nani?

    Mimi nafikiri Fiston Kalala Mayele. Wewe je?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Taja Wabunge 10 bora katika Bunge la Bajeti 2022, waliobeba hoja nzito za Wananchi

    Bunge la Bajeti liko ukingoni kumalizika ni wabunge gani tunawapa nafasi kumi bora kwa kuwakilisha vema na kubeba hoja zenye maslahi mapana kwa taifa letu
  10. Rangooo

    JamiiForums Tanzania Ni benki ipi bora kwa ajili ya savings (yenye makato madogo na urahisi wa upatikanaji n.k) hapa nchini?

    Habari wana JF, Natumai wazima ndugu zangu nimekuja kuomba ushauri kuhusu bank gan hapa nchini yenye makato nafuu kwa mwezi, na pia wakati wa utoaji, na ipi yenye huduma bora sana, na yenye internet banking bora. Pia yenye urahis wa kupatikana namaanisha ATM's nyingi. Na je what if mtu akitaka...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dunia hii ya sayansi na teknolojia Kiongozi wa chama form 4, katibu form 6 mtatoboa kweli? Wanachama si ndio itakuwa bora liende? Fanyeni mabadiliko

    Fanyeni mabadiliko maana hata siasa ni sayansi. Mnatakiwa kwenda na sayansi na teknolojia. Siasa pia ni Sayansi inayohitaji elimu ili kujua mahitaji ya wakati. Sijui tu wanachama wenu wako vipi kama viongozi ndio wako namna hiyo.
  12. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Mungu ni muandaaji na muongozaji bora wa filamu za maisha yetu

    Leo 12:15hrs 19/06/2022 Maisha ya mwanadamu ni filamu "movie" ambayo Mungu ameiandaa na anaiongoza mpaka mwisho wake,binafsi naifurahia na naendelea kuifurahia filamu ya maisha yangu hadi hapo mwisho, naamini mmewahi kuangalia filamu "movie" fulani mkavutiwa nayo na mkapenda kujua muongozaji...
  13. Slowly

    JamiiForums Tanzania Siwajui majina Yao Ila nafkri hii ndo commedy Bora kabisa Kwa Afrika Kwa sasa

    Hawa jamaa ni amsha, ni kwere, ubunifu wa Hali ya juu, sifurahii camera wanayotumia Ila action zao ni za kiwango cha standard gauge. Kitu Kingine kizuri kwao, ni kuwa hawatumii sauti , na hii inafanya mtu yeyote duniani anaweza kuwaelewa ,...wabongo tunakwama wapi aisee, jamaa naona wanazidi...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Silaha za Urusi ni bora kuliko za Marekani, ni kimbilio la mataifa mengi kuanzia sasa

    Vita ya Syria na Ukraine imeonyesha kuwa Silaha za magharibi (NATO) zimeonyesha uwezo mdogo sana dhidi ya zile za nchi za Magharibi. Nchi nyingi sasa zinawaza kwenda kununua silaha na mifumo ya ulinzi ya Urusi zenye ufanisi mkubwa kwenye uwanja wa vita kuliko zile za NATO. NATO sasa inawaza...
  15. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Serikali kuwawekea mazingira bora ya biashara Machinga

    Serikali kuwasaidia Wamachinga wawe na mazingira bora ya kufanyia biashara zao, Aidha Serikali kuwakutaisha Wajasirimali wadogo( Machinga) na Taasisi za mikopo.
  16. CCM MKAMBARANI

    JamiiForums Tanzania Tutorial Assistant: Nafasi bora ya kazi isiyojadiliwa

    Habarini za wakati huu? Kutokana na wadau wa jukwaa hili uwa bize na upendo wa baadhi ya kazi zinazotafsiriwa kama zenye kipato uzuri na kwa kiwango iubwa wadau na watafutaji wamekuwa hawaipi nafasi kazi ya ukufunzi au Tutorial Assistant. Historia inaonesha kuwa wale wote waliokuwa maprofesa...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Ni bora wanyama wauzwe wote ili wenzetu wamasai wawe salama!

    Kuna faida gani sisi kuwa na wanyama pori ambapo wanasababisha mateso na hata vifo Kwa binadamu wenzetu? Tunaiomba wizara husika, iendelee na mpango wa kuwauza na kusafirisha wanyama wetu kwenda huko wanakohitajika ili tu sisi tuwe salama! Kwanza, tangu nimezaliwa sijawahi hata Kuonja utamu wa...
  18. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Kina dada kuweni makini si kila mwanaume ni bora wa kuishi naye

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro ameendelea kukemea na kulaani vitendo vya mauaji vinavyotokana na wivu wa mapenzi ambavyo vimekuwa vikitekelezwa na baadhi ya watu kwenye jamii, jambo ambalo ni kinyume na sheria za nchi. “Ukiona mwanamke amekuzingua si unaachanana naye tu, kina...
  19. astalavista

    JamiiForums Tanzania Vibao vya Makazi vingekuwa aina moja nchini, Masasi DC ni aibu nyingine

    Nimeona na baadhi ya maeneo uwekaji wa vibao vya barabara na mitaa namna ambavyo imeacha maswali kwa wananchi, binafsi nimeyakuta haya Masasi hasa vijiji vya Masasi Dc. Wakati zoezi linaanza nilifikiri pengine utaratibu mpya wa kupata majina na vibao elekezi vya mitaa na barabara lingefanyika...
  20. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Wimbo bora wa mwaka 2022

Back
Top Bottom