bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora Ni Muhimu kwa Maendeleo ya Tanzania

    Uwajibikaji na utawala bora ni muhimu kwa maendeleo ya Tanzania. Bila uwajibikaji na utawala bora, ni vigumu kwa nchi kufikia malengo yake ya maendeleo. Uwajibikaji ni hali ya kuwajibika kwa matendo yako. Utawala bora ni mfumo wa utawala ambao unazingatia kanuni za uwazi, uwajibikaji, na...
  2. JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora katika Sekta ya Madini nchini Tanzania

    Sekta ya madini nchini Tanzania ni moja ya sekta muhimu zaidi za uchumi. Sekta hii inachangia takriban asilimia 10 ya pato la taifa na inatoa ajira kwa mamilioni ya Watanzania. Hata hivyo, sekta ya madini pia imekuwa ikikabiliwa na matatizo kadhaa, ikiwa ni pamoja na ukosefu wa uwajibikaji na...
  3. JamiiForums Tanzania Wanasiasa bora wa muda wote toka upinzani

    Nionavyo mimi wafuatao ni wanasiasa bora wa muda wote kwa upande wa upinzani. Orodha hii itaanza na yule bora zaidi kushuka chini. 1. Hayati Maalim Seif Kila mmoja anakumbuka vizuri balaa la Maalim Seif kwenye siasa za nchi hii kutokea upinzani. Huwa najiuliza huyu dingi aliwapaga nini wazenji...
  4. JamiiForums Tanzania SoC03 Ushirikiano wa Serikali na Jamii katika Usimamizi Bora wa Maliasili za Nchi

    Mada: Ushirikiano wa Serikali na Jamii katika Usimamizi Bora wa Maliasili za Nchi Imeandikwa na: MwlRCT 1. Utangulizi Tanzania ina utajiri mkubwa wa maliasili za nchi, kama vile madini, mafuta, gesi, misitu na wanyamapori. Maliasili hizi zina faida nyingi kwa uchumi, maisha, utalii, tiba...
  5. JamiiForums Tanzania Bora niinjoi: Shetani yupo kazini

    Huu wimbo mzuri sana kusikiliza. Tatizo ukija kwenye ujumbe ndio tatizo. Unapinga mahusiano. Tujiunge na Jux na Diamond kwenye upweke na ukapela tukanywe na tucheze juu ya meza. Nawashauri wasanii wetu hawa wazuri kwamba watengeneze version nyingine ya huu wimbo kwa ajili ya kupalilia mapenzi...
  6. JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora: Muhimu katika maendeleo ya uchumi

    Uwajibikaji na utawala bora ni muhimu kwa ajili ya maendeleo ya uchumi na uwekezaji. Uwajibikaji husaidia kuhakikisha kwamba serikali inatumia rasilimali zake kwa ufanisi na kwa manufaa ya umma. Utawala bora husaidia kuhakikisha kwamba serikali ni wazi na inawajibika kwa matendo yake. Kuna njia...
  7. JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora: Kuleta Mabadiliko ya Kweli

    -------------------------------------- Utawala bora na uwajibikaji ni misingi muhimu katika kukuza maendeleo na ustawi wa jamii. Nyanja mbalimbali za maisha yetu yanahitaji kuwa na uwajibikaji na utawala bora ili kuleta mabadiliko chanya. Katika makala hii, tutachunguza umuhimu wa uwajibikaji...
  8. JamiiForums Tanzania SoC03 Utamaduni wa Kujiuzulu ni Uungwana na Njia Bora ya Uwajibikaji

    Utangulizi Katika mambo magumu katika nchi nyingi zinazoendelea hasa za Bara la Afrika, ni kujiuzulu au kwa maneno mengine, kuachia ngazi kwa viongozi katika nafasi wanazozishikilia pale ambapo mambo yanaharibika katika taasisi wanazoziongoza. Ninapozungumzia juu ya kujiuzuli au kuachia ngazi...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sasa Tanzania tumeuza (Bandari), wale jirani wamekimbilia kule kufanya nini?

    Rais Samia akihutubia wakati wa uapisho wa viongozi, akizungumzia kuhusu Wizara mpya ya Mipango na Uwekezaji ameonesha namna ya kuweza kuzitambua fursa mbalimbali na kuzifanyia kazi kama nchi ili zisipotee. Akitolea mfano sakata la sasa la fursa ya uwekezaji kwenye bandari zetu amesema haya...
  10. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliona bora awavalie miwani ya mbao afanye kazi, wapinzani wakamuita ni dikteta, Rais Samia piga kazi tusizidi kuchelewa

    Friends and Enemies, JPM Marehem, alikuwa ana Msemo wake pendwa ''Turichereweshwa Sana'' na hawa wanaojiita wanademokrasia na watetezi wa Haki za binadamu,nakumbuka pia katika suala la mradi wa bwawa la Nyerere alizungumza pia kuwananga wale waliokawa wanampinga katika mradi ule Kwa hoja ya...
  11. JamiiForums Tanzania Msanii Bora wa Amapiano East Africa Chino Wan Man

    Mwamba kajitafuta Chino Kidd katika ubora wake, Amapiano Tanzania to Kimataifa (International).
  12. JamiiForums Tanzania SoC03 Uongozi Bora: Kazi ya Moyo Inayogusa Roho za Watu na Kuendeleza Taifa

    UONGOZI BORA: KAZI YA MOYO INAYOGUSA ROHO ZA WATU NA KUENDELEZA TAIFA Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Uongozi bora ni kazi ya moyo inayogusa roho za watu na kuendeleza taifa. Uongozi bora unahitaji kuweka maslahi ya watu na maendeleo ya taifa mbele katika maamuzi na hatua zake. Uongozi bora...
  13. JamiiForums Tanzania Nahitaji darubini (binoculars) mwenye ujuzi wake juu ya specifications bora na bei

    Wandugu nahitaji kununua darubini kionambali naomba kama kuna anayejua aina zake ubora wake bei zake na mahali zinapopatikana hapa tanzania. Na je sheria hazina tatizo juu ya umiliki wa darubini? Wajeda hawawezi sumbua nikiwa nayo? Asanteni
  14. JamiiForums Tanzania Dogo Edu wa Tamthilia ya Pazia ndiye muigizaji Bora kijana atakayekuja kushika Bongomovie

    Habari Wakuu! Leo Kwa habari za Burudani na Sanaa, nimekuwa nikifuatilia Tamthilia za hapa na pale za bongo kama sehemu ya kusapoti na kuona kile wakifanyacho wenzetu katika Tasnia hiyo. Nikakutana na Dogo mmoja hivi ambaye ameigiza kwenye Tamthilia ya Pazia, namfahamu Kwa jina moja "EDU"...
  15. JamiiForums Tanzania Tanga: Wenye Mabusha wakataa Kutibiwa na Wataalamu wa Kike, Wasema bora Wafe

    Baadhi ya Wazee wenye ugonjwa wa Ngirimaji unaosababisha korodani kujaa maji (Mabusha) Wilayani Pangani Mkoani Tanga wamemuomba Mkuu wa Wilaya hiyo Zainab Abdallah @zainababdallah93 kuangalia uwezekano wa kubadilishwa kwa Watoa huduma wa afya wanaowatibu ili wawe Wanaume na sio Wanawake huku...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Ili maji ya kunywa yawe bora, yanatakiwa kuwa na viwango gani vya madini?

    Naomba kuuliza ni kiwango gani cha madini kinachotakiwa kuwekwa kwenye maji ya kunywa? MFANO: Hill>> Chloride 16 Magnesium 1.8 Nitrate 0.43 Potassium 0.1 PH 7.0 TDS 40 Uhai>> Chloride 9.4 Magnesium 1.5 Sulphate 2.3 Potassium 2.6 pH 7.3 TDS 40 Calcium 4.0 Fluoride 0.2 Sodium 14.5 Afya>> TDS 40...
  17. JamiiForums Tanzania Bi. Khadija MKE wa Mtume Muhammad ndio Sampuli ya Mke Bora ambaye unaweza kufanya naye Maisha

    Bi. KHADIJA MKE WA MTUME MUHAMMAD NDIO SAMPULI YA MKE BORA AMBAYE UNAWEZA KUFANYA NAYE MAISHA. Anaandika, Robert Heriel Kuhani. Ukisikia msemo usemao Nyuma ya kila mwanaume mwenye Mafanikio kuna Mwanamke, elewa kuwa Mwanamke anayetajwa hapo sio Mwanamke Kupe Nyonyaji, mbinafsi na goigoi au...
  18. JamiiForums Tanzania Bila uchawa awamu ya sita ingekuwa ngumu sana kutawala

    Ni wazi kuwa Awamu ya nne itabaki kuwa Awamu pekee ya kidemokrasia. Tunadiliki kusema Kikwete ni baba wa Demokrasia. Hongera sana JK Mungu akutunze. Ni Awamu pekee watu walipingana kwa hoja ndani na nje ya CCM na Bado walibaki pamoja. Hali haikuwa hivyo katika Awamu ya Tano. Ilikua Awamu ya...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Kuliko kununua gari used Bongo bora usubiri uagize tu used Japan

    Kwa muda nimejaribu kutafuta hivi vigari vidogo kama IST, Vits , Allex nk Vingi madalali wanauza Mil 10 mpaka 13 almost bei ya kuagiza mil 14 - 16 Japani. Hapo ukishanunua Bongo jiandae tena na mil 2 za kurekebisha gari angalau uweze kutembelea. Kwa ushauri tu usikimbilie kununua gari used...
  20. JamiiForums Tanzania Adv Mwambukusi: Watanzania bora mumwamini shetani na siyo Waziri Mkuu

    Nukuu: Ndungu zangu Watanzania bora mumwamini shetani na siyo waziri mkuu. Waziri mkuu ametundanganya kwa mengi ikiwamo kifo cha Magufuli! Na hii ni mara ya tano anaudanganya umma bila fact. Mwambukusi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…