Kwanini Max Mpia Nzengeli ni Bora kuliko Elie Mpanzu Kibisawala

Kwanini Max Mpia Nzengeli ni Bora kuliko Elie Mpanzu Kibisawala

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,831
Reaction score
5,975
Ndio, hata kama hamtaki lazima tukubali kuwa kuna baadhi ya wachezaji ni wazuri sana kwenye aspect ya dribbling lakini sehemu nyingine si wazuri sana, ndio mana hata kwasasa Mzee wa uwalaza Mutale anaonekana anafanya vizuri kuliko mkimbiaji na dribbler Kibisawala kwasababu ukitoa dribbling kwa kibisawala basi hakuna kingine cha maana anacho offer kuliko mutale MGR. mfano wa mchezaji wa ulaya kama Kibisawala ni Ben afra, dos santos, etc

Turudi kwenye mada haraka haraka, Mimi na makocha wengine na wachambuzi wa mpira baadhi tunaona kuwa Winga wa yanga max nzengeli ni bora zaidi na effective kuliko Elie mpanzu Kibisawala, na hizi ni sababu

1. Scoring Ability : Max ni Good Scorer , au kwa kiswahili max ni mfungaji mzuri zaidi wa magoli kuliko kibisawala namba zinaongea

2. Creative sense : Max ni mtengenezaji mzuri wa nafasi za kufunga magoli kuliko kibisawala , na hii inaoneshwa kwa takwimu zao wote wawili,

3. Max ni mkabaji kweli kweli , defensive aspect : max anaisaidia sana timu kwenye kukaba kuliko alivyo mpanzu kwani , max anakuwa kila sehemu ya uwanja kuliko kibisawala ambaye yeye timu ikiwa haina mpira anakuwa anatembea tu uwanjani.

4. Versatility : max anaweza kucheza right back, central midifield, right/left midifield, number 10 lakini kibisawala anaweza kucheza number 10, right/left winger tu.

5. Max ni kijana kuliko Mpanzu : Max ana umri wa miaka 25 tu wakati mpanzu anaonekana ni mtu mwenye miaka 30-32 , kwani alienda nje alifeli majaribio baada ya kufeli kipimo cha umri kwa kutumia mri/city scan , ila haikutangazwa kwa ajili ya confidentiality ya taarifa za wachezaji katika proffesional clubs.

6. Max ni big match player kuliko Mpanzu kibisawala (Huyu ndo kiboko ya Simba, kila wakikutana anawatoboa)

No. 7. Namalizia hata Hivyo, Katika sifa moja kubwa ambayo mpanzu yupo juu ya max ni katika dribbling , kiukweli mpanzu ni best dribbler katika nchi hii kuliko almost mchezaji yoyote lakini max pia ni dribbler mzuri lakini c levo ya mpanzu.

Kutokana na Maelezo hapo juu Nakiri mbele yenu kuwa overall Max nzengeli ni Bora kuliko mpanzu. Japo mashabiki wa Simba hawatakubali
 
Max Nzengeli ana shughuli nyingi awapo uwanjani. Ni kiungo mkabaji, ni kiungo mshambuliaji wa kati, ni beki, ni kiungo mshambuliaji wa upande wa kushoto na kulia, ni mshambuliaji wa kati, ni muongoza maombi, ni baba mchungaji!!

Walau angefananishwa na pacha mwenzake Pacome Zouazoua ndiyo ushindani ungeonekana.
 
Kikubwa tunachomshukiri Elie Mpanzu ametupeleka fainali,tena Kwa njia ngumu sio unacheza na team leo imeshuka daraja,mara kwao kuna vita mechi zote wachezee tanzanai
Mashindano ya Shirikisho msimu huu yamekosa mvuto, hayana timu zilizokuwa zinatokea club bingwa tofauti na miaka mingine. Kwa sasa haya mashindano ni ya vibonde mwanzo, mwisho.
 
Mashindano ya Shirikisho msimu huu yamekosa mvuto, hayana timu zilizokuwa zinatokea club bingwa tofauti na miaka mingine. Kwa sasa haya mashindano ni ya vibonde mwanzo, mwisho.
Huo ni wivu tu, league ya Morroco ambayo ni Moja ya league bora Africa tena bingwa wa msimu huu ndiyo yupo final na mpinzani wake Simba ambaye bado yupo kwenye mbio za ubingwa NBC league ya nne Kwa ubora Africa nae yupo final,tunaongea Kwa evidence,timu zote zilizoingia final ni team nzuri kwaiyo lazima final nayo iwe nzuri
 
Huo ni wivu tu, league ya Morroco ambayo ni Moja ya league bora Africa tena bingwa wa msimu huu ndiyo yupo final na mpinzani wake Simba ambaye bado yupo kwenye mbio za ubingwa NBC league ya nne Kwa ubora Africa nae yupo final,tunaongea Kwa evidence,timu zote zilizoingia final ni team nzuri kwaiyo lazima final nayo iwe nzuri
Simba sio bingwa , bali ubingwa ni wa Yanga, nyie penalt FC hamna Kitu, hamna chenu
 
Back
Top Bottom