bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia angekuwa anakubali kukosolewa na wale anaodhani wanamchukia na kutoukubali mtandao wa Machawa unaommiliki huenda angekuwa Rais bora Afrika

    Na kama kuna BOMU KUBWA na la HATARI ambalo Rais Samia ANALIMILIKI bila ya Yeye kujua ni la kukubali KUTAWALIWA na MACHAWA wa ndani na nje ya Chama Cha Mapinduzi pamoja na wale alionao SERIKALINI Kwake hasa Mawaziri wake Waandamizi Watatu (nawahifadhi) ambao kutwa WANAMHARIBIA huku Yeye...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Trump anadai kumiliki anga la Iran, kasema hakuna nchini yenye vifaa bora vya ulinzi kama Marekani

    Siku kadhaa baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump kuwaonya raia wa Iran waliopo mji wa Tehran kuhama mara moja kuwa kutakuwa na mashambulizi yanayoweza kufanyika katika eneo hilo amedai kuwa ba udhibiti wa anga la Iran Kupitia mtandao wa Truth Social Trump ameandika kuwa “Marekani sasa...
  3. JamiiForums Tanzania PICHA: Je, DC bora ni huyu?

    == Nimekutana na hii taarifa kwenye group songezi la Whatsapp Kwa ruhusa yenu naomba tuijadili Kwa uwazi na haki, Mimi mleta mada Kwa namna bwana huyu alivyoituliza Kilosa naona kama nafasi aliyonayo huyu DC Kwa sasa inambana sana atafutiwe nafasi nyingine ya juu saizi yake ili Taifa liweze...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba kuipeleka timu uwanjani tar 25 ni kuidhalilisha club kubwa na bora barani Afrika dhidi ya club kubwa kisiasa Tanzania

    Hapo vip! Simba ni club kubwa na bora barani Afrika na ni ya tano sasa kwa ukubwa barani Afrika.Hivyo ni club kubwa na bora no.1 Tanzania,Afrika mashariki na kati. Ni aibu kwa club ndogo kama yanga kutumia siasa kuharibu mpira Tanzania. Nb: Tukumbuke yanga tokea Dunia kuubwa na kuanzishwa kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi jamii ya sasa ya Tanzania kuna watu wana maadili, malezi bora, Imani na lugha za staha?

    Maadili ni neno pana ila linaloeleweka kiasi kwamba ukizungumza kuhusu maadili kikawaida mtu atafikiria moja kwa moja matendo mema Katika jamii ya sasa ya kitanzania sijui kama kuna watu wema wenye matendo mema, lugha za staha, malezi bora na mavazi ya heshima kama wapo ni asilimia chache sana...
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simu bora

    Mnaojua simu kampuni ya Sonny zina weakness gani? Nahofia kuingia mkenge maana pesa zenyewe za kutafuta kwa tochi
  7. Q

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT na Operation LINDA KURA wakati umesaini 'Ukishapiga Kura Nenda Nyumbani Kalale'

    Kwa mujibu wa kanuni za maadili ya uchaguzi ambazo ACT Wazalendo wamesaini na kuridhia ni kuwa, ukishapiga kura rudi nyumbani kasubiri matokeo, na hata wakala wako haruhusiwi kuingia na simu kukujulisha kinachoendelea hata kama mabox ya kura feki yanaingizwa, sasa utalindaje kura ukiwa chumbani...
  8. JamiiForums Tanzania Mkomunisti aliyechukia umasikini na kuupenda utajiri aliifufua China toka kuzimu [ Dikteta bora wa Kiasia mzaliwa wa China Deng Xiaoping ]

    Si mwingine bali ni mtu mfupi wa kimo bali mrefu wa maarifa na kuona mbali kuhusu kesho ya taifa lake Deng Xiaoping Mkomunisti na dikteta bora wa kichina aliye iokoa chini yake kutumbukia shimoni mwa umasikini uliotopea na mvurugano mkubwa wa kisiasa. Deng Xiaoping alinusurika kuuwawa na...
  9. JamiiForums Tanzania VPN 3 Bora za Kutumia Twitter na Telegram Tanzania (2025)

    Katika kipindi ambacho baadhi ya mitandao kama Twitter na Telegram hupata vikwazo vya upatikanaji nchini Tanzania, kutumia VPN (Virtual Private Network) ni suluhisho la haraka, rahisi na salama. VPN huficha anwani yako ya mtandao (IP address) na kukupa uhuru wa kutumia mtandao kama uko nchi...
  10. JamiiForums Tanzania Dikteta bora Park Chung Hee former South Korea Military General

    Dikteta bora Park Chung Hee former South Korea Military General. Rais wa Korea kusini 1963-1979. Dikteta aliye itoa Korea Kusini kwenye matope na umasikini uliotopea kwa mkono wa Chuma. Bintiye alikuja kuwa Rais wa Korea Kusini akaishia jela. Toka harakati za uhuru Asia imewahi kubahatika...
  11. JamiiForums Tanzania Unatafuta Logo bora kwa bei ya tzs 15,000 tu?

    Tunatengeneza LOGO za kisasa, zenye mvuto wa kipekee kwa ajili ya biashara yako, tovuti, apps au mitandao ya kijamii kwa bei nafuu ya TZS 15,000 tu! ✅ Design 3–5 tofauti za kuchagua ✅ Format zote: PNG, JPG, na PDF ✅ Marekebisho bure hadi uridhike ✅ Tunakutumia ndani ya masaa 24 ✅ Inafaa kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Sera ya Kilimo Bora cha Parachichi, Mbunge Ndaisaba Ruhoro Aiwasilisha Bungeni

    SERA YA KILIMO BORA CHA PARACHICHI MBUNGE RUHORO AIWASILISHA BUNGENI. BUNGENI - DODOMA 11/06/2025. Mhe. Ndaisaba G Ruhoro Mbunge wa Ngara ameiuliza Wizara ya kilimo kuhusu mkakati bora wa kukuza kilimo Cha zao la Parachichi Jimboni Ngara. Mhe. David Silinde Naibu Waziri Wizara ya Kilimo...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Vyuo bora vya Pharmacy Tanzania

    Kama una mpango wa kuomba kusoma pharmacy,omba vyuo vifuatavyo: 1. Muhimbili ( Muhas) 2. Bugando ( Cuhas) cha wakatoliki 3. Bugando ( Mwachas) cha serikali 4. KSP kipo KCMC Moshi 5. Udom 6. Mtwara Cohas 7. Tabora Cohas Vyuo vingine go at your own risk! Utahangaika sana hasa utakapokuja kufanya...
  14. JamiiForums Tanzania Kama uchaguzi Oktoba 2025 ukipelekwa 2027 , kipi bora Reforms za uchaguzi au Rais Mama Samia atupe katiba Mpya ?

    Kwa Maslahi Mapana ya Taifa kwa sasa hakuna haja ya ku tick 2025 .kiuzalendo zaidi tunahitaji mabadiliko makubwa sana katika mfumo wa uchaguzi na katiba kwa ujumla. Binafsi naamini kama Mama akikubali kwamba kwa sasa tunahitaji mabadiliko kwanini katika hii miaka miwili tukatafuta katiba Mpya...
  15. 0

    JamiiForums Tanzania Je, Kipi bora? Unachopenda au chenye Maslahi??

    Habari za muda huu wanajamii forum! Mimi ni form four leaver 2024 napenda kusomea engineering atah selection nmepangiwa PCM ila sijui Kama mbele itakuwa na maslahi MAKUBWA🤔🤔 Ila nafikuria kusoma diploma ya radiology ambayo ajira yake ni uhakika Kwa upande wangu pia maslahi yake ni mazuri...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kati ya PF3 na uhai wa mtu kipi bora?

    Habari zenu? Swali hili nalielekeza kwa Wana-taaluma wa afya Madaktari, Manesi.... Je, uhai na PF3 kipi kina umuhimu zaidi, kuna case mbalimbali ambazo waliokumbwa na kadhia za ajali kuchelewesha huduma, na wengine kupoteza maisha kabisa kwa kigezo cha kuhitajika PF3 kwanza. Kingine nawachana...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NI BORA HIYO mechi namba 184 kati ya Simba na Yanga. Ni BORA IFUTWE KULINGANA NA KANUNI...

    Ukizingatia wenye mamlaka Wana assets zao , ukizingatia historia ya nchi ilivyo na inavyohusisha timu hizo mbili... Na ukizingatia yoyote Yale NI BORA IFUTWE TUUUU ILI KU BALANCE MZANI WA TIMU HIZI......LIGI IISHE TIMU MBILI ZINA PUNGUFU YA MECHI 1 WENGINGE 14 WAKO SAWA.... ASANTENI..
  18. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi Selemani Mwalimu ni bora kuliko Kibu D na Feisal Salum!!

    Inakuaje yeye acheze kwenye timu yenye mpunga mrefu na ambayo ni rahisi kuonekana zaidi kwenye soko , halafu eti Feisal Salum na Kibu Denis wabaki kwenye ligi hii iliyojaa ubabaishaji. Kwa mtazamo wangu ninaona Feisal Salum na Kibu Denis ni wachezaji wakubwa zaidi ya Selemani Mwalimu. Hivi...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Hii Ndio Picha Bora Ya Siku iliyoteka Mitandaoni na anga la Siasa Za Tanzania. Inatembea mitandaoni kama Upepo wa Baharini

    Ndugu zangu Watanzania, Ni raha na kuna raha kubwa sana pale unapoishi mioyoni mwa watu,pale unapoleta furaha na tabasamu machoni na mioyoni mwa watu,pale unapoonekana tumaini la watu,pale unapoonekana jawabu la matatizo ya watu,pale unapoonekana faraja kwa Maisha ya watu,pale unapoonekana...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wapenda mpira kipindi mnangoja bonanza la trh 15 uefa wanakupa bidhaa Bora kabisa kesho

    Mpira ulizaliwa ulaya na umeendelea kutunzwa na kuhifadhiwa na wazungu wenyewe huku wakiangalia vituko na maigizo kutoka pande zingine za dunia Hapo kesho Portugal ya Ronaldo itataka kumpa heshima huyu mwamba wa soka pale watakapopambana na Spain iliyo mabegani kwa kijana mdogo Lamin Yamal...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…