Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.
Tupo ukimgoni wa mwaka huu uliokuwa na shuruba nzito nzito
Kwa hakika ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu mpaka leo imetukuta tukiwa tunavuta pumzi yake
Hawa ni members bora kabisa kwangu kwa huu mwaka 2025
1. Binti wa zamani at the top
2. Manyanza
3. Sizinga
4. Chief-Mkwawa
5...
Filamu zangu za mwaka ni;
1. Superman(2025)
Wamemuonesha superman kwa usahihi kama alivyo kwenye vitabu. Mpole, anayejali watu na ni ishara ya matumaini.
2. Mickey 17(2025)
Inaelezea vizuri kuhusu thamani ya utu. Inafikirisha kuhusu baadhi ya vitu, inachekesha pia
3. Edge of Tomorrow(2014)...
Hbr wajenzi. Baada ya kumaliza kuchapia/plasta ndani na copro naomba kujua bidhaa gani ni bora kwakuw skimu lakin pia nakarbisha fundi aje inbox tuelewani kazi _ location saiti ilipo ni KIBAHA -kongowe
Coral decor
Wallputy
Gypsum power
Na unazo zijua nyingne, napenda kujua na bei elekezi pia...
Merry Christmas and happy coming new year 2026
Wakuu tukielekea kumaliza mwaka, bado naendelea kufanya research ya simu ya kuichukua, nimekutana na Samsung S25 Fe naona inashawishi kidogo kutokana na features zake sasa nimekuja kwa wataalam, kati ya Samsug S25 Fe vs Xiaomi 15T ipi kali
Leo kuna kijana anataka kwenda south Africa kutafuta maisha alinipigia na yupo mkoa fulani siwezi kutaja.
Kwa tafiti zangu za kuzurura na kutembea sana ila kule sasa sio pakutafuta maisha kwa mtu ambaye shule huna, unakwenda kwa kutumia viza za miezi,huna kibari cha kazi.
Waliofaidi ni wale...
Rais Samia ndiyo Rais bora kuwahi kutokea katika nchi hii huyu ndiyo mimi namuweka namba moja kiukweli kwa haya mambo ambayo amefanya kwa muda mchache sana mambo yameonekana kiukweli Rais Samia ameweza kuunganisha au kuleta umoja wa kitaifa kati ya waislamu na wakristo lakini pia ameweza kuleta...
Utendaji wa sasa wa wafanyakazi wa Tanesco katika kushughulikia dharura za umeme zinapotokea, kwa kweli zinatufurahisha wateja kwani ni za haraka na za ufanisi mno.Sijajaua nani aliyeleta mwamko huu katika shirika hili la umma amblo mwanzoni zilikuwa haziridhishi. Ila kama ni ujio wa mtendaji...
Sina mengi ila nina mfano tu mdogo,
Mtu anakuambia "mpige huyo mtoto mchanga"
Kwa kawaida utashi uliozaliwa utakuambia hii sio vyema kabisa, tafakuri yako itasaidia usute nafsi yako thus utaacha kabisa kumpiga huyo mwana.
Lakini kuna huyu "great thinker" nafsi itamsuta lakini ataanza kwa...
Huyu mwamba katika kipindi kifupi ameweza kuharibu mizizi ya magenge ya uharifu/madawa ya kulevya na uongozi wa ubadhilifu uliokuwa umeikumba nchi hio miongo na miongo.
Habari Tanzania !
Leo hii maisha bora kwa kila Mtanzania imekuwa ndoto na wakati mwingine inaonekana kama ni jambo lisilowezekana na hii ni chanzo cha aina ya watu na uwezo wao wa kufikiria.
1. Ujenzi wa Nyumba na Makazi ya kupanga yamekuwa aghali sana.
Njia: Punguzeni tozo na kodi kubwa...
Habari wakuu? Kama mjuavyo jukwaa letu si la videos Sana Bali maandishi Sana au kusoma Sana nahicho ndicho kilicho nivutia Sana hapa jf
Sasa Basi katika pita pita zangu hapa ndani nilikutana na kitu kinaitwa DARK DAYS 17/03/20...
Aisee kitu kime tulia Sana na naona huenda ukawa ndiyo Uzi Bora...
Demokrasia na haki ni kinyume na mafundisho ya dini ya Uislamu?
Kwa nini masheikh wa BAKWATA na taasisi zao marafiki kama umoja wa wahadhiri hawajihusishi kudai uwepo wa Demokrasia, utawala bora kudumishwa kwa haki sambamba na kupinga matendo maovu ya utekaji, ukandamizaji na uporaji wa haki...
Kwa Karne hii tunategemea tuone wazee wakitoa maonyo maangalizo ya nini tufanya na nn tusifanye ili kulinda uhai wetu ili hatimaye na sisi tuje tuzeeke tukiwa hai kama wao ila hii imekuwa tofauti kwa Hawa wazee wetu wa TEC kwa kweli hawapo katika kujenga, hawana uwezo wa kuonya dhidi ya mambo...
Wakuu Habari zenu?
Bora angeendelea kutawala malikia maana waliochukua nchi na kuona wanaweza kujiongoza mpaka sasa wako kwenye kuangaika na vyoo vya kujisaidia baada ya miaka 64 ya uhuru kwa maana ya kwamba walikuwa hawajui haya mambo yalitakiwa ya fanywe miaka ya 90 huko? Au ndio wanaangaika...
Shalom,
Kati ya Truck Mechanics (ass job) na Electronics ipi bora kwa ngazi ya VETA?
Na ipi inaweza kuwa na muendelezo mzuri hadi kufikia levels za juu? (Specialisation sio lazima diploma ama degree)
Na inawezekana kuhama kutoka Chuo kimoja cha VETA kwenda kingine kwa kozi tofauti? Kwa...
Leo 😄 ni mekumbuka December Maeneo ibro street pale gauteng jozi.
Kipindi cha December ni mwendo wa kupombeka na mziki mkubwa.
Wengi wanaita mwezi wa mapumziko wa kurudi makwao wanarudi kama wa zambabwe,zambia,botswana na malawai.
Ile nchi bora usimuogope mungu maana ukimuogopa utajikuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.