Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.
Ndugu zangu waislam na wakristo
Watu wa mungu hawaogopi kufa wala kutekwa kwasababu ya kusimamia ukweli na hao ndio walio changia nchi kupata uhuru hapo awali.
Mungu ataki waoga anataka mashujaa wenye msimamo wa haki kwenye hali yoyote ile wakati huu nchi inapo pitia majaribu tunapaswa...
Mfano sasa ivi kwenye tamthlia/filamu mmeziondoa au kushindwa kuzibakisha chaneli za muvi za Kinaijeria za AMC chanel na AMC series, Wakati wenzenu DStv wanazo mpaka chanel za tamthlia/muvi za Wasauzi,Ghana na Kenya na za Lugha zao za makabila...
Hivyo kwenye muvi machaguo ni machache, mteja...
Wakuu.
Upi mtazamo wako kwenye bei inapokuja swala la kununua mavazi, nguo au mikoba nk?
Kuna viatu vinauzwa zaidi ya $200 (zaidi ya Tsh 500,000) wakati kiatu iko iko kwa muonekano unakipata Kariakoo kwa Tsh 50,000!
Pia kwa mikoba ya brand maarufu kama LV, Gucci, Hermes nk unakuta unauzwa hadi...
Kama wewe ni mpenzi wa kahawa ya kweli,karibu Brewa. Hatuuzi mazoea, tunauza ubora na ladha halisi inayotoka kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro.
Bidhaa zetu ndizo zinazoongoza kwa mauzo kwa sasa kwa sababu hatuna mpinzani kwenye swala la freshness. Kahawa yetu inakaangwa (roasted) na...
Wanajitahidi sana katika utulivu wa dunia angalau,
Simaanishi wao ni perfect ila anagalau kwa miendendo yao usalama na haki zinafanyika duniani
ebu jaribu kufikiria dunia ilio chini ya urusi, uchina, uturuki, qatar na iran🤢🤮
Muislam hutakiwi kusherekea mwaka mpya. Muislam unatakiwa ujue haya
Kwa Uislamu, miezi mitukufu (Ash-hur al-Hurum) ni miezi minne kati ya miezi kumi na miwili ya kalenda ya Kiislamu ambayo ina heshima maalumu. Miezi hiyo ni:
Dhul-Qa‘dah (ذو القعدة)
Dhul-Hijjah (ذو الحجة)
Muharram (محرم)
Rajab...
Habari zenu wakuu na heri ya mwaka mpya 2026.. ninaomba kupata elimu kidogo kuhusu suala la kulipia vitu mitandaoni, nataman kujua ni njia ipi salama zaidi nitumie kati ya debit card ya benki, prepaid card au card hizi wanatoa mitandao ya simu.. na pia kuhusu prepaid za usd nimeona ni benki...
Sina mengi ya kueleza kila mtu aliona, what he did that strong and patriotic man.
Kwa mtizamo wangu ,the man anastahili kupewa Tunzo ya kupigania Taifa na rasimali zetu, akiwa the best soldier since independence in 1961.
KWA vyombo vya ulinzi na usalama sijawai sikia na kuona Tanzania mjeda...
Habari jf
Nisiwachoshe sana
Mimi ni non-code Developer na hizi hapa ni App zangu zilizokamilika Chini ya 50%. Nilizotengeneza kutoka Loveble
Fanya kupitia Apps hizi na toa ushauri wako
https://linkdash.lovable.app
https://linkinn.lovable.app
https://golink1.lovable.app...
Akitumia ukurasa wake wa X madam president ameandika
Ninaipongeza timu yetu ya Taifa ya mpira wa miguu, Taifa Stars kwa kufuzu hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu.
Heshima hii kubwa kwetu ni matokeo ya maandalizi...
Nauliza waungwana kati ya Angola na Tanzania ipi itafuzu kama best looser?
Tanzania imefugwa magoli 4 na kushinda 3, wakati Angola imefungwa magoli 3 na kushinda 2. Wote tuna points 2.
Ikumbukwe Ureno ilishawahi kufuzu kama best looser kwenye michuano ya Euro na kuwa bingwa.
Pigia kura Member bora wa JF kwa vigezo.
Mimi nimeona tuanzie kuwapigia kura hawa. Pendekeza nan aongezweKwa List
Disclaimer: Haya ni maoni yangu binafsi.
Na pia sio ushindan na hakuna zawad ila ni Kuwapa Motisha kwa kuwatambua na kuthamini michango yao.
Kwangu JF wote ni bora.
Pigia kura Member bora wa JF kwa vigezo.
Mimi nimeona tuanzie kuwapigia kura hawa. Pendekeza nan aongezweKwa List
Disclaimer: Haya ni maoni yangu binafsi.
Na pia sio ushindan na hakuna zawad ila ni Kuwapa Motisha kwa kuwatambua na kuthamini michango yao.
Kwangu JF wote ni bora.
Pigia kura Member bora wa JF kwa vigezo.
Mimi nimeona tuanzie kuwapigia kura hawa. Pendekeza nan aongezweKwa List
Disclaimer: Haya ni maoni yangu binafsi.
Na pia sio ushindan na hakuna zawad ila ni Kuwapa Motisha kwa kuwatambua na kuthamini michango yao.
Kwangu JF wote ni bora.
Pigia kura Member bora wa JF kwa vigezo.
Mimi nimeona tuanzie kuwapigia kura hawa. Pendekeza nan aongezweKwa List
Disclaimer: Haya ni maoni yangu binafsi.
Na pia sio ushindan na hakuna zawad ila ni Kuwapa Motisha kwa kuwatambua na kuthamini michango yao.
Kwangu JF wote ni bora.
Nayib ameweza kushinda mtandao wa unbazilifu, rushwa na magenge uliokuwa unaendesha nchi, ameweza kuitoa el salvador katika list ya nchi hatari duniani kwa kupambana na uharifu vikali.
Trump ameweza kurudisha amani kwa nchi mbali zilizo kuwa na vita, ameirudisha marekani katika kiti uchumi bora...
Rais mstaafu wa awamu ya nne ndugu Jakaya Kikwete ndiye rais bora zaidi kwa hapa nchini kuliko marais wote waliopita na huyu aliyejipa urais kinguvu
Kipindi cha Kikwete maisha yalikuwa poa sana na wengi walitoboa kipindi chake.
Japo ufisadi ulikuwa mkubwa, watumishi hewa lakini pesa mtaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.