bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mambo 12 Ya Msingi Kuhusu Usimamizi Bora Wa Nyumba Za Kupangisha Mwaka 2022

    Maana Ya Usimamizi Bora Wa Nyumba. Usimamizi bora ni hatua pekee za kuhakikisha kuna kipato endelevu, usalama wa uhakika, mahusiano mazuri, kutii sheria na taratibu za mtaa na nchi yako na kukufikisha kwenye uhuru wa kifedha. Hatua hizi zinaweza kufanywa na mmiliki wa mali, au kampuni maalumu...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Nini huathiri ukuaji bora wa ng'ombe wa nyama? Nini kifanyike?

    Habarini ndugu wa JF, Tupeane mawazo hapa kwenye hii mada tafadhali. Kwann jamii zetu nyingi zinashindwa kuzalisha ng'ombe nyama wa kutosha? Je, tuchukue hatua gani maana ng'ombe nyama wanalipa bana kama ukifankiwa kuwakuza.
  3. JamiiForums Tanzania Simba watambulisha jezi zao mpya kwa ajili ya Mapinduzi na Kombe la Shirikisho

    Uzi mpya huu hapa, big yes or big no?
  4. T

    JamiiForums Tanzania Aibu aliyopewa Prof. Jay na CHADEMA ni bora angeachana nayo

    Sijawahi kufanikiwa kuifahamu CHADEMA wala sijawahi kujua ndani ya CHADEMA ni nani anaweza kusaidiwa kwa michango pale anapopatwa tatizo. Nikikumbuka Tundu Lissu alipopatwa na tatizo alisaidiwa na chama chake kwa hali na Mali na hapo hakuwa na cheo chochote ndani ya CHAMA(Naomba kusahihishwa...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa miongoni mwa nchi tano kinara kwa uwekezaji Afrika 2022

    Five African countries for investors to watch in 2022 Investment Monitor's African investor guides identify the five countries on the continent that look set for stellar years in 2022 for FDI. tment Monitor‘s Africa investor guides, covering the north, east, west, centre and southof the...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri wa OR-Menejmenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

    kwako Mheshimiwa Waziri;Jenister Mhagama, Hongera kwa kuendelea kuaminiwa na kushika nyadhifa muhimu katika Kutenda maamuzi muhimu ndani ya serikali yetu ya JMT, dhumuni la Ushauri huu ni kuelezea mambo muhimu ili kuleta ufanisi kwenye utendaji na utoaji wa huduma kwa wananchi pasi na kuweka...
  7. JamiiForums Tanzania Microsoft office ipi ni bora zaidi?

    Wakuu salama? Naomba kujuzwa ni Microsoft office ipi ni bora zaidi? Ikiwezekana nisaidie na link ya kuipata. Shukrani
  8. M

    JamiiForums Tanzania Orodha yangu binafsi ya wachekeshaji bora wa muda wote Tanzania

    Hii ni orodha yangu. Tafadhali iheshimiwe Ubora umepangwa kwa mfuatano wa namba:- 1. King Majuto (Pumzika Kwa Amani) 2. Mpoki 3. Joti. Nimemaliza, prove my list wrong. Orodha tayari Uzi tayari Over & out Bye...
  9. JamiiForums Tanzania Ni ipi program bora ya Uhasibu?

    Habari za masiku ndugu zangu, Kwa wale wataalamu wa software au wenye fani ya uhasibu nilikuwa nahitaji kijua program ipi ambayo naweza kuitumia kutunza kumbukumu zangu za kifedha hasa kutoa mapato na mafumizi ukiachana na Excel
  10. JamiiForums Tanzania Bado kwako elimu ni bora kuliko pesa ?

    Kwa hali ya maisha jinsi tunavyoiona ambapo kila kitu kwasasa bei juu je bado unaamini kwamba elimu ni bora kuliko pesa au ushabadiri mawazo yako ?
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rwandair hujaribu sana, siku zote wapo kwenye kumi bora Afrika, licha ya kainchi kenyewe saizi ya mkoa

    Hapa inabidi kuwasifia Wanyarwanda, kainchi kadogo mithili ya mkoa lakini kanalambisha vumbi majitu makubwa Afrika, Rwandair imeshikilia namba saba, huku Kenya Airways ikiwa namba tatu, Ethiopia wameongoza. =================== Skytrax has revealed the World's Top 100 Airlines for 2021 and...
  12. JamiiForums Tanzania Nikiifikiria dunia, naona bora hata nisingekuwepo tu

    Yaani ukifikiria jinsi mtu unavyo hangaika mpaka jasho la meno Ili upate chappa uishi vizuri. Halafu ufikirie kufa unaona yani kama unapoteza wakati vile maana utavitafuta weee alafu hata hauenjoy yan paaap umedanja wanafaidi wengine jasho lako Huwa inanikata moto yani nikifikiria kufa naona...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya namba tatu Afrika kwenye utayari wa Artificial Intelligence, wabongo hawapo kwenye kumi bora, wenzetu jameni

    Haya madude ya kutumia ubongo huwa tunatusua balaa, tupo nyuma ya Afrika kusini na Mauritius pekee, wengine wote saizi yetu tumepitia juu kwa juu.... Hata Nigeria na Ghana tumetupa kuleeee. Watani ambao hukesha huku wakilia lia kuhusu Kenya naona hata kwenye kumi bora hawapo, wameshindwa hata na...
  14. JamiiForums Tanzania Ipi bora kati ya kuuza movie na nyimbo, vipodozi na kucha au Chips. Mbagala/Gongo la mboto.

    Habari ndugu. Naumiza sana kichwa kwa imani yangu kwamba pesa ipo uswahilini kwenye biashara ndogondogo. Nawaza kwenda sehemu tajwa na kamtaji kidogo ninacho. Naomba mwongozo na ushauri juu ya biashara hizo kwa wanaoishi na wasioishi maeneo hayo. Natazamia kufanya mojawapo kati ya hizo. Naomba...
  15. JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu kuliko kuboresha utekelezaji wa mtaala huu mbovu ni bora mngeelekeza juhudi zenu kuandaa mtaala mpya

    Naendelea kuona jinsi mtaala mbovu unavosababisha janga la ukosefu wa ajira nchini! Kila mwaka graduates wanalundikana mtaani tena wakiwa wamekata tamaa kabisa hata huko kunakoitwa kujiajiri wanashindwa kwa kukosa mitaji ikumbukwe bado Wana deni la bodi ya mikopo!!unaweza vuta picha ya hali ya...
  16. JamiiForums Tanzania INAUZWA Jiunge na Dirm VFD uokoe 50% ya EFD machine, ni bora, salama kisasa zaidi

    HABARI NJEMA... katika kipindi hiki cha kufunga na kuanza mwaka mpya, na kufanyiwa makadilio ya kodi za TRA, ninayo furaha kubwa kukujuza wewe Mfanyabiashara kuwa unaweza kuokoa mpaka 50% ya garama za kununua mashine za EFD endapo utajiunga na mfumo wa Dirm VFD ambao ni mbadala wa EFD machine...
  17. JamiiForums Tanzania "Fei Salum ni kiungo bora Afrika Mashariki" asifananishwe na kina Ndemla, Mkude, Chama, Majogoro nk

    Fei Salum ni level za kina Khama billit,Ngoma au Dieng. Anaweza akacheza kama 8 au 10. Anasifika kwa mashuti ya mbali, dribble na chenga za mauzi. Amezifunga timu nyingi kama Tunisia, Madagascar Simba nk
  18. JamiiForums Tanzania Je, Wajua, Naibu Spika, Chini ya "Bora Spika", Anaweza Kuwa "Spika Bora?". Dr. Tulia, "Ukitulia, Una Fursa ya Kuwa Spika Bora Sana!" Hongera Sana!

    Wanabodi, Hii ni Nipashe ya Leo 23/01/2022 Leo ni mwendelezo wa mada ya wiki iliyopita kuhusu Spika Bora na Bora Spika, Kujiuzulu kwa Ndugai ni Mpango wa Mungu kwa Tanzania ili Tupate Spika Bora. Je CCM Ituteulia Spika Bora, au Bora Spika Kama Kawa?. Isipo...Karma Ita.. ambapo niliwaomba CCM...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa rangi au jinsia sio mzuri

    Ubaguzi ni kitu kibaya pale ambapo jamii moja uamini ni bora kuliko jamii nyingine kama ilivyo kwa mzungu kuamini anastahili kuongoza kila kitu duniani kwani ngozi nyeusi ina laana"wana amini hivyo" Akili hizo zipo pia kwenye jinsia mwanamme anaamini yeye ni bora anayestahili kutawala kila...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mataifa kumi Afrika yenye barabara bora

    Tutafika tu.... Top 10 African countries with quality roads Namibia (score 5.2) world ranking 23 South Africa (score 5.0) world ranking 29 Rwanda (score 5.0) world ranking 31 Cote d’voire (score 4.7) world ranking 42 Mauritius (score 4.7) world ranking 44 Morocco (score 4.4) world ranking 55...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…