bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. JamiiForums Tanzania Angalia mwamba alichomfanyia rais wa Mexico, kijana ajaribu kumpiga busu rais hadharani

    ukio lisilotarajiwa limezua gumzo nchini Mexico baada ya video kusambaa ikimuonyesha mwanamume mmoja akijaribu kumbusu Rais wa Mexico, Claudia Sheinbaum, alipokuwa akitembea katikati ya umati jijini Mexico City. Sheinbaum, ambaye ni rais wa kwanza mwanamke katika historia ya taifa hilo, alikuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Bongo Gen Z, kwa kuonesha hasira zetu, tuanze kwa ku-unfollow wafuatao

    Haina haja ya salamu wala maelezo Mengi Milard Ayo Diamond Platnumz Hawa kwa kuanza nao, naagiza akaunt zao zibaki na follwers na subcribers chawa wenzao. Wengine wote tukawa-unfollow na tujiondoe kwenye accont zao za youtube. Haiwezekani tunasema tunamachungu na hasira halafu bado...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasanii wa Bongo Flavour Wakosolewa kwa Kukaa Kimya Kuhusu Mauaji ya raia wasio na hatia

    Wasanii wa Bongo Flavour wameanza kutoa pole kwa familia na watu wote waliopoteza maisha katika maandamano ya kudai haki. Hata hivyo, ninaona ingekuwa vyema kama wasanii hawa wangetumia sauti zao kutoa nyimbo za kulaani vitendo vilivyofanywa na Jeshi la Polisi dhidi ya raia wasiokuwa na hatia...
  4. JamiiForums Tanzania Jamaa yangu huko Bongo ni CCM kindakindaki ila kwa Kenya husifia sana upinzani

    Huwa siwaelewi baadhi ya Watanzania, kuna huyu mshikaji huwa namuona anavyosifia CCM na ni mwanachama kindaki ndaki wa chama tawala, ila humkosi kwenye ufuatiliaji wa kila kinachofanywa na wapinzani Kenya, husifia sana na kushabikia matukio yote ya upinzani ikiwemo ukosoaji wa serikali na hata...
  5. JamiiForums Tanzania Ma-architecture wengi wa bongo wanaringa

    Habari wanajukwaa, Hivi ni mimi pekee au? Unamtafuta architect kwa lengo la kukuchorea ramani lakini hawajibu meseji, hawapokei simu na hata mkiongea hawezi kukwambia mipango inayoeleweka. Sasa kama mtu ni diaspora kweli ufunge safari hadi bongo kisa ramani? Kwani haya mambo hayawezi kumalizika...
  6. JamiiForums Tanzania Jeshi la Madagascar limechukua Uongozi wa nchi! Eti TV za Bongo wanashindwa kutangaza kwamba

    Kuna watu hovyo wamekazana kusimulia nchi jilani zina vita, machafuko, Oooh Kongo wanateseka, nk. Hadithi kama hizo hujitokeza wakati wa uchaguzi. Mbona hata sisi watu wanatekwa na kupotea? Jana jeshi la Madagascar limechukua uongozi wa nchi. kama kawaida ya BBC Swahili ikawa ni habari kuu. Eti...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Je, taifa halina Gen Z kama Kenya na Madascar? Au wao wanadili na Bongo fleva na Simba na Yanga?

    Dunia nzima sasa inaonekana watakaoleta mabadiliko ni Gen Z. Lakini kwa Tanzania wanawaza kujadili Singeli na bongo fleva. Huku Taifa lao likienda mlama kwa ufisadi, upendeleo huku maisha yao yakiwa hovyo kabisa Gen Z wa Tanzania hovyo kabisa kama makamasi ya ndama.
  8. JamiiForums Tanzania Kwa wanawake wa Bongo hiki kitu hakiwezekani

    Mwaka 2014, rapa Gucci Mane alimkabidhi mpenzi wake, Keyshia Ka’oir, dola milioni 2 ambazo ni sawa na (Tsh. Bilioni 5) za mwisho kabla ya kuelekea gerezani. Badala ya kutumia fedha hizo, Keyshia alizigeuza kuwa mtaji, akizalisha biashara na uwekezaji uliomrudishia dola milioni 6 ambazo ni sawa...
  9. JamiiForums Tanzania Winston sigara wamewezaje kukamata soko la bongo ndani ya muda mfupi namna hii?

    Hii kampuni Haina hata miaka SITA sokoni lakini imefanikiwa kuwapoteza wakongwe kama kina sport na embassy na kina safari chap kwa haraka..sawa inawezekana bei ikawa rafiki kwa wengi lakini hata marafiki zangu maboss TU wame switch kutoka sport OG mpaka Winston.
  10. JamiiForums Tanzania Yanayoendelea Marekani ingekuwa bongo watu wengi wangepotea

    Marekani wanabishania budget ambapo imebidi fedha zisitishwe kwa mwaka wa fedha ambao kwao unaanza October 1. Hii ni kufuatia kutokubaliana na ile One big beatiful bill ya Trump. Hii imepelekea balozi nyingi kuacha kutoa huduma kwa kuwa mishahara haitaingia hadi suala hilo la bajeti likifika...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Ila madem wa Bongo si muweke mgomo msiwape Uroda hawa Machawa labda itasaidia

    Huku tukiendelea kukomboa nchi dada wa Bongo mngeunga juhudi zetu muwanyime hawa jamaa Chawa wa mama uroda itasaidia kuspeed up mabadiliko. Au mnasemaje wakuu?
  12. JamiiForums Tanzania Je unadhani huyu dada akitua bongo ni adhabu gani atapewa na mamlaka?

    GT Aisee huyu dada ni hatari. Mi nadhani watangawana juu kwa juu mikono kule kichwa kule yaani ni balaa.
  13. X

    JamiiForums Tanzania Nikki Mbishi ni Mfalme wa Bongo Hip Hop. Unju ni GOAT!

    Nikki Zohan, Baba Malcom, Unju Bin Unuk, naweza kusema ni miongoni mwa marapa zangu bora wa wakati wote. Kuanzia Lyrical ability, Theme, Cohesiveness, Frestyle, Punchline, Skill, Performance, Sound, Rhyme Schemes, Rhyme Patterns, World Play, Strategic Features & Lyrical Content, all on point...
  14. JamiiForums Tanzania Huu mpira wa bongo bana

    Yaani marefa wa leo nikituko tuwaache na kombe lao la ccm Hii ni clear offside kabisa
  15. JamiiForums Tanzania BONGO FLAVOR COIN (BFC) WHITEPAPER: The Rhythm of Revolution: Empowering Africa's Music Ecosystem Through Blockchain

    Version 1.0 Release Date: September 2025 Authors: BFC Core Team Website: www.bongoflavorcoin.com (Placeholder) Contact: info@bongoflavorcoin.com 1. Abstract In the pulsating heart of Africa's music scene, where rhythms like Bongo Flavor echo the continent's spirit, lies an untapped revolution...
  16. JamiiForums Tanzania Chemsha Bongo 001

    My people hope mko poa 1. Ni Sayar gani ambayo siku yake ni ndefu kuliko mwaka wake? 2. Ni Sayar gani ambayo jua linachomoza magharibi na kutua mashariki 3. Ni sayar gani ambayo inazunguka clockwise kinyume na Sayar zote Ni hayo tu!
  17. JamiiForums Tanzania Huyu mwamba ameshinda mbio za kimataifa, we ngoja arudi nyumbani sasa uone mademu wa mitandoni na bongo movie watakavyomganda kupata kiki

    Watamshugulisha wee had magoti yaishe ute ute siku akirudi tena ulimi wote njee aanze kusema walimwibia viatu vyake kama yule wa Tanga. Pia Soma: Tokyo, Japan: Alphonce Simbu ashinda Medali ya Dhahabu ya kwanza kwa kushinda mbio za Dunia za Marathoni
  18. JamiiForums Tanzania Bongo ukiwa mkimya utasemwa na ukiwa muongeaji utasemwa pia

    Maisha ya bongo ni jihadi kwa kweli! Ukiwa mkimya utasemwa unajisikia na ukiwa muongeaji utaitwa mjuaji licha ya haya usiache kuishi kwa namna yako "MTAZAMO WAKO KWANGU NI TASWIRA YAKO" Kuna wakati utagundua ulipoteza muda kuwa na hurka ya kuridhisha watu, ulipoteza muda kuhukumu wasioendana...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 100 nataka nifungue kituo cha tiba(Afya) Tanzania

    Wakuu salaam, Naombeni ushauri kwa wajuzi wa mambo na wenye uzoefu hapo Tanzania nataka nifungue kituo cha Afya kwa Tanzania sasa sijajua na nimeandaa bajeti ya milioni 100 kuanzia manpower,vifaa tiba,majengo na kila kitu na lengo niwasaidie Ndugu zangu waTanzania maana nimewaza kufungua huku...
  20. JamiiForums Tanzania Bongo Movie wana vitu vingi vya kujifunza kupitia Trailer ya Mbosso ya MAD MAX kuliko kukaa kusifia viongozi na CCM

    Steve Nyerere na genge lake la machawa wanabidi watumie muda mwingi kutafuta Maarifa na mbinu nyingi za kutengeneza filamu nzuri kama za enzi za kanumba kuliko kujikita na uchawa tu wa kusifia CCM na viongozi serikalini. Mbosso ambae ni msanii wa mziki kuachia trailer ya MAD MAX iliyofanywa kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…