bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. JamiiForums Tanzania Ila hii bongo🤔, kila uchao unakutana na influencer anasema watu hawajui kuajiriwa ni utumwa, sasa unajiuliza kuna mahala pa kuokota pesa ukawekeze?

    Tusipende kuchukulia poa maisha tena maisha haya yakibongo kisa tu mshangazi wako au sponsor wako umekula hela zake wee sasa umejipatia platform na mic ya kuzungumza ndio uanze kuropoka ropoka. Tusipende kuona kwamba kujiajiri ni kitu ambacho sio process, sio gharama na sio kigumu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuna gari za kuanzia mwaka 2013 hadi 2020 kwa bajeti zisizozidi milioni 28 zenye urahisi wa kuzitunza na matengenezo pamoja na ulaji mzuri wa mafuta?

    Gari itatumika mazingira ya Tanga, matumizi ya lami na barabara za vumbi kidogo Engine iwe inasifika kwa uimara na ikipata hitilafu mafundi wameizoea Iwe na mifumo mingine ambayo imezoeleka na mafundi, sio kufunga safari hadi Dar au Kenya kurekebisha Isizidi cc 2000 Ulaji mzuri wa mafuta Umbo...
  3. JamiiForums Tanzania Porojo za bongo

    Nikiwa napitia kitabu chenye jina la kiongozi, ambacho kinajulikana kihistoria kama The Prince, kilichoandikwa na Niccolò Machiavelli mnamo karne ya 16, nilikutana na hoja zilizofanya nianze kutafakari kwa undani hali ya uongozi na mabadiliko ya mamlaka. Kitabu hiki ni miongoni mwa kazi muhimu...
  4. JamiiForums Tanzania Bongo swala sio kutapeliwa ila unaweza kutapeliwa mara mbili ndani ya siku moja

    Bongo swala sio kutapeliwa ila unaweza kutapeliwa mara mbili ndani ya siku hiyohiyo ukiwa na wenge.
  5. JamiiForums Tanzania Bongo zozo: Napinga utekaji hadi nitekwe mimi halafu nitaendelea kupinga!

    Kutoka mtandaoni bongo zozo amepost video ya pole pole aliyetekwa na watu watu wanaozaniwa ni polisi akiandika na maneno mafupi. "Sikukuu tukumbuke waliopotezwa. Tukae tufikiria inakuwaje watu walivyokosa ndugu zao kwenye pilau ya sikukuu. Bila kujua hali zao. MATESO HAYO. NAPINGA UTEKAJI...
  6. JamiiForums Tanzania Kati ya Samuya, Kikwete, na Abdulii, nani anaongoza Bongo?

    Tangu yatokee maandamano yaliyosababisha mauaji ambayo Bongo hatujawahi shuhudia, kumekuwako na minong'ono juu ya ni nani anatawala Bongo yetu na bongo zetu. Kila usomapo, usikia majina matatau, yaani hayo hapo juu. Wa kwanza, wote tunamjua kama mkuu wa kaya. Pia, tunajua kuwa ana washirika...
  7. JamiiForums Tanzania Je wajua kuwa Pweza wana mioyo mitatu, bongo tisa na damu ya rangi ya bluu?

    Ukweli ambao watu wengi hawaujui kuhusu Pweza ni kwamba ni kiumbe pekee cha majini chenye mioyo mitatu. Mioyo miwili husukuma damu kwenda kwenye mapafu ya baharini (gills), na moyo mmoja husukuma damu kwenda sehemu nyingine za mwili. Damu yake ina rangi ya bluu kwa sababu hutumia madini ya shaba...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi mapenzi huwa yanahitaji nini? Mtu atulie au mapenzi India bongo biashara

    Ngoja Leo niwape kisa kimoja Cha mshikaji wangu Fulani, tumuite diko. Diko ni house keeping pale hotelini, Yani watu wa usafi Kipindi na hustle huku na HUKO kutafuta riziki. Nikapata kazi ya ulinzi kwenye hoteli MOJA kubwa. Nikiwa pale hotelini sababu ya uchangamfu wangu, nilijikuta...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna kila namna muziki/wasanii wa Kenya wanatumia mbinu za kushusha wasanii wa bongo ili kukuza mziki wao ulio mbilikimo

    Ni kweli kuwa kwa miaka Mingi Tanzania ndio grant wa muziki kwa Afrika mashariki, muziki wetu na wasanii wetu umekuwa mkubwa na kushika soko la Afrika Mashariki kwa kasi,wasanii wa hapa nyumbani kwa sasa hulipwa pesa nyingi na kupata mialiko kwenye matamasha makubwa nchini Kenya na kuzua maneno...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi ni SUVs zipi za kuzikwepa hapa bongo na hasa sisi wenye vipato vidogo na kati?

    KUTOKANA na ukweli kwamba siku hizi kuna make na model tofauti tofauti, tunahitaji kushauriana ni magari yapi ya kuyakwepa kwa maana ugumu wa kuishi nayo hasa gharama za maitenance, uwezo kuhumiri hali ya barabara ,zetu n.k. Nimetokea kuipenda Mitsubishi Outlander, na mitsubish IO na...
  11. JamiiForums Tanzania Bongo zozo: Disemba 9 naombeni bakieni nyumbani, sipendi kuona vijana wangu muuawe

    Neno langu la Disemba 9 naombeni bakieni nyumbani, mimi sitaki kuvunjiwa moyo tena sipendi kuona vijana wangu muwawe. Nipo upande wenu Gen Z wa Tanzania tena sana ila njia za mabadiliko bora ni njia za kidemokrasia Bongo zozo
  12. JamiiForums Tanzania Serikali ya India imezilazimisha kampuni za simu kuinstall Sanchar Saathi app kwa ajili ya kutrack wananchi, inatufaa pia hii bongo

    Katika harakati za kuimarisha ulinzi wa nchi serikali ya india imezilazimisha kampuni za simu kuinstall app hio kwajili ya kufuatilia maongezi ya wananchi pamoja na wqnachoandika, hii inaifaa sana tanzania haswa kwa iki kipindi watu wanapanga maadamano na itakua effective sana --- "This is...
  13. JamiiForums Tanzania Nakupa wazo la biashara bongo, ukishindwa kulitekeleza liboreshe hapahapa walitekeleze wengine

    Kwema wakuu Unajua watanzania wengi tunakosa maen3o ya kuinjoi, na bqadh ya michezo mingi inayoweza kutufurahisha ni ile ambqxo wengi wetu wqtazamani sio washiriki. Kumekuwa na haja ya watu wazima nao kupata s3hem ya kurelax na ku'fun' Haja hii ya uwepo wa hizi shughul unaniweka karibu na...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Bongo kutoboa inafaa uwe mafia

    BONGO NYOSO: Nimegundua kuwa Bongo kutoboa inafaa uwe mafia sana na umafia wenyewe ni ule wa kuvunja mifumo sababu kila mahala ni husda. Ajabu sana unaweza kwenda mahali wanauza nguo uuze maji lakn wakaeka husda, unaweza enda mahali uchome mahindi wao ni watengeneza magari na watakukazia na...
  15. JamiiForums Tanzania Media uchwara za bongo

    Tusiwaseme sana, hao ni watanzania ndugu zetu tunaishi nao, huyo millard angekua kaka yako ungemshauri vipi? Hii ni kazi yetu sote, hao watu maarufu na media ni wachache kuliko sisi, kila mtu angepaza sauti hapo nyuma tusingefika huku, Tatizo ni kwamba wote tumenyamazishwa midomo na wachache...
  16. JamiiForums Tanzania Zamani bongo ukinunua vyakula kwa jumla watu wanakushangaa

    Zamani bongo ukinunua vyakula kwa jumla kwa nia ya kubana matumizi watu wanashangaa na kukuuliza unanunua vyote hivyo kwani Tanzania kuna vita? Baada ya tarehe 29October mambo yamebadilika sana na hasa sasa hivi tunapoelekea 9D watu watanunua na kuhifadhi vyakula kwa wingi na jumla hasa Unga...
  17. JamiiForums Tanzania CDF Mkunda amechangia kwa kiwango kikubwa kutokea mauaji ya maangamizi ya wananchi

    Tangu tupate Uhuru haijawahi kutokea Mkuu wa Majeshi (CDF) kulihutubia Taifa kwa njia yo yote ile. Jambo lililo wastaajabisha wengi ni pale CDF General Mkunda alipojitokeza mbele ya vyombo vya habari na kumuunga mkono IGP katika harakati za kuua wananchi kwa kisingizio cha kuzima maandamano ya...
  18. JamiiForums Tanzania Jf Chemsha Bongo

    Jf Chemusha Bongo.. Baadhi Ya Chemusha Bongo Ni kama Ifuatavyo....
  19. JamiiForums Tanzania Mzee wa Dungu Jeshi katinga bongo na bodyguards

    Mzee wa dungu jeshi shavu kilema mwenye ngebe, nyodo, madharau, majigambo na majivuno katinga bongo jana na mkwara mbuzi wa mabodyguard uchwarwa. Kayngay huyo mwenye makazi yake uingereza na maarufu kwa kuuza bidhaa chakavu alitinga bongo na ethiopia airlines ambapo alisafiri pekee yake kwenye...
  20. JamiiForums Tanzania Angalia mwamba alichomfanyia rais wa Mexico, kijana ajaribu kumpiga busu rais hadharani

    ukio lisilotarajiwa limezua gumzo nchini Mexico baada ya video kusambaa ikimuonyesha mwanamume mmoja akijaribu kumbusu Rais wa Mexico, Claudia Sheinbaum, alipokuwa akitembea katikati ya umati jijini Mexico City. Sheinbaum, ambaye ni rais wa kwanza mwanamke katika historia ya taifa hilo, alikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…