bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. JamiiForums Tanzania ๐—ก๐—ผ๐—ธ๐—ถ๐—ฎ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐˜‚๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐˜€๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐˜๐—ฝ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ๐Ÿ”‹๐Ÿ“ฑ

    Hivi Umeshawahi kuona simu ya batani ambayo Ina uwezo wa kuchaji smartphone yako? ๐Ÿ˜ฑ Najua bado hujawahi kukutana nayo nakuambia tu Nokia ya zamani imerudi na idea ya kipekee imeleta simu Ya kushangaza yenye uwezo wa kuchaji simu yako ๐Ÿ‘‹. Inaitwa Nokia 300 Charge imekuja na betri ya 3,700mAh...
  2. JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya Programmer's Tanzania

    Leo ni siku ya watu wanaogeuza mistari ya code kuwa teknolojia inayotumika kila siku. โค๏ธโ€๐Ÿ”ฅ Kutoka kwenye Apps ๐Ÿ“ฑ, Websites ๐ŸŒ, Games ๐ŸŽฎ hadi AI ๐Ÿค– nyuma ya kila teknolojia nyingi tunazozitumia kuna programmer aliyekaa chini na kuandika code. Na cha kushangaza? ๐Ÿ˜ฎ 256 si namba tuโ€ฆ ni siku...
  3. JamiiForums Tanzania Filamu/tamthiliya za bongo na walinzi wasio na akili timamu

    Wapenzi wa bongo movie Binafsi nakerwa na tabia za waigizaji wa bongo movie kuwatengeneza walinzi (gatekeeper) kuwa wasio na akili timilifu. Huwa nawaza mlinzi na umuhimu wake sasa iwaje awe hana utimamu japo najua ni uigizaji lakini namna unavyotengeneza wahusika ndivyo filamu/ tamthiliya...
  4. JamiiForums Tanzania Trump kasema mwezi ni mali ya Marekani ๐ŸŒ˜

    ๐ŸŒ•๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ โ€œTHE MOON IS OURS.โ€ marke Donald Trump ameshangaza dunia baada ya kushiriki post yenye ujumbe unaodai kwamba Mwezi ni wa Marekani. ๐Ÿ˜ณ๐Ÿš€ Lakini swali kubwa ni hili: Je, nchi inaweza kweli kumiliki Mwezi? ๐ŸŒ•โš–๏ธ Kwa mujibu wa sheria za kimataifa za anga, hakuna taifa linaloruhusiwa kudai Mwezi...
  5. JamiiForums Tanzania Nataka nidundulize kuweka akiba kidogo kidogo pesa na baada ya miaka mitatu ndio niichukue. Ni service gani hapa bongo itanipa riba nzuri.

    Karibuni
  6. JamiiForums Tanzania ๐—”๐—ฝ๐—ฝ๐—น๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐—ฟ๐˜‚๐—ต๐˜‚๐˜€๐˜‚ ๐—ถ๐—ฝ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐—บ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ก๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐—บ๐—ผ๐—ท๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—น๐—ถ๐—ป๐—ฒ

    ๐ŸŽ Apple kufanya mapinduzi makubwa ya Teknolojia kwa watumiaji wa iphone ulimwenguni ๐Ÿ‘Š. Apple kuja na feature mpya ambayo itaweza kuruhusu iPhone mbili kutumia namba moja ya simu kupitia Mfumo wa eSIM. ๐Ÿคฏ๐Ÿ“ฒ๐Ÿ“ฒ Maana yake? Unaweza kuwa na iPhone yako ya kawaida na nyingine ya ziada, huku...
  7. JamiiForums Tanzania Je Serikali ya Ccm na Samia ilikua imejiandaa kweli juu ya hili swala la shule za Amali?

    Habar, Kwa Mwaka huu kumeshuhudiwa ufunguzi wa shule nyingi katika sehemu mbalimbali ya Tanzani, Shule ambazo zinamuundo tofauti na shule hizi zingine za sekondari, shule hizi mtaala wake unasema Mwanafunzi atafundishwa elimu ya vitendo zaid kumpa ujuzi wa shughuli mbalimbali ambazo baada ya...
  8. JamiiForums Tanzania Nikiwa bongo , kuna nyumbu nilimpa namba zngu humu, akanichoma.

    Asee , nipo moshi juzi kati tu akataka kunichoma kindezi , na nikafuatiliwa . Sikujua nilifanya nini , ila huyo mpumbavu alipwe tena na agawe hizo namba nikamatwe tena kummmke.
  9. JamiiForums Tanzania Kwa nini nyama choma nyingi bongo ni ngumu sana?

    Ni aina ya mifugo au watu hawajui kuchoma nyoma ? Nyama choma inatakiwa iwe laini uweze kuila hata kwa kijiko
  10. JamiiForums Tanzania Je, bongo fleva ndio chanzo kikuu cha Ush

    Video za Bongo Fleva zina hamasisha Ushoga na kinyume na maumbile? Nyimbo ndio zinahamasisha/ Mashairi? Mavazi ndio yanahamasisha?
  11. JamiiForums Tanzania Nchimbi, ukifanya kosa la kuishi bongo umeisha

    CHIMBA
  12. JamiiForums Tanzania ๐—ช๐—”๐—ฃ๐—˜๐—ก๐—ญ๐—œ ๐—ช๐—” ๐—˜๐—™๐—ง๐—ข๐—ข๐—•๐—”๐—Ÿ๐—Ÿ ๐——๐—œ๐—ฉ๐—œ๐—ฆ๐—œ๐—ข๐—ก ๐—š๐—”๐—ก๐—œ ๐—ก๐—œ ๐—ก๐—š๐—จ๐— ๐—จ โšฝ

    Kama wewe ni mpenzi wa Game la Mpira Nazani ๐Ÿ˜ nikisema Division kwenye Eftooball unanielewa sio ๐Ÿ‘‹. Ukiwa unacheza hii Game kuna Division ukifika kupitia Ai au PVP uwa inakua ngumu sana unakuta kila unayekutana naye anakaza balaa ๐Ÿ˜€. Ugumu unaanzia hapa Division 5 na 4 ila bado unaweza kucheza...
  13. JamiiForums Tanzania Kabla ya maendeleo ya mitandao watu dini bongo walikuwa na chai za ajabu sana za kutisha watu

    Tukiwa Sekondari enzi mitandao ya kijamii haijasambaa sana Wanafunzi Waislamu maustadh kutoka Dar walileta kwa ushupavu mkubwa shuleni story ya watoto waliobadilika na kuwa mijusi wakubwa au viumbe wa ajabu baada ya kukojolea Quran. Walikuja na picha kabisa za hao viumbe waliobadilika kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Ruby Aamua Kuacha Muziki wa Bongo Fleva na Kumrudia Yesu

    Mwanamuziki mashuhuri nchini Tanzania, Ruby, ametangaza kuanza sura mpya ya maisha yake kwa kuamua kuacha muziki wa Bongo Fleva na kuwekeza maisha yake katika kumtumikia Mungu. Akiwa mmoja wa waimbaji wa kike walioacha alama kubwa nchini kupitia sauti yake ya pekee na uwezo wa kutumbuiza...
  15. JamiiForums Tanzania Miaka 30 ya bongo fleva, Dodoma yaipiku Dar es salaam mbali sanaaaaa, ili bidi ukuta uvunjwe, ili watu wapate nafasi

    Sio poa Dodoma wameweka historia ya kipekee unaambiwa chinangali ili pelea kutokana na mauzo ya TIKETI kuwa makubwa kilicho fuata ikabidi ukuta uvunjwe pia kuunganisha Hadi parking, ili watu wapate nafasi. Ikumbukwe Diamond katoka kufanya show juzi kwenye tour yake lakini haikua nyomi ka Hil...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Bongo fleva 30 Dodoma

    Hili tamasha la bongo fleva 30 dodoma linarushwa kwenye website gani?
  17. JamiiForums Tanzania Kuhusu Real Estate ,Je Madalali wa Bongo hawajui real property value na pricing au ni kukandamiza tu wananchi?

    Anaandika Malisa GJ Kuna wakati niliwahi kuandika hapa kuwa real estate ya bongo ni pasua kichwa, nikacompare bei ya nyumba Atlanta GA, zikazidiwa bei na baadhi ya nyumba za Dar. Yani ni Futuhi. Nyumba ya Philadelphia inazidiwaje bei na nyumba ya Kimara Temboni? Kweli bongo nyoso. Anyway, hii...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Chemsha bongo kidogo kutoka case ya R v Galbraith on NO CASE TO ANSWER

    No Case to Answer In English criminal law, no case to answer refers to a situation in a trial where the defence argues that the prosecution's evidence is so weak or lacking that a reasonable jury, properly directed by the judge, could not convict the defendant. It allows the defence to...
  19. JamiiForums Tanzania Wauza magari wa bongo, wengi hawapaswi kuwa car dealers hawayajui magari kabisa

    Kuna mtu kaposti gari namuuliza hii ina injini gani? Ananijibu huoni nimeandika injini cc 2000 boss ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ. Nikaona sio kesi nikamwelewehaa mfano toyota kuna 1GD kuna 1HZ na zinginezo. Sasa hii BMW unayouza ina engine gani N47 au B47. Hapo sasa akanivunja mbavu, akasema boss gari imenyooka injini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ