bongo fleva

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya HBO ya Marekani kuwalipa wasanii wa Bongo Fleva, Soggy Doggy na Dataz Tsh. Milioni 700

    Kampuni ya Home Box Office (HBO) ya Marekani kuwalipa wasanii, Soggy Doggy na Dataz, kiasi cha Tsh Milioni 700 kwa kutumia wimbo wao "Sikutaki Tena" katika filamu ya "Sometimes In April" bila makubaliano. Hukumu hii imetolewa Julai 26, 2024, katika Mahakama Kuu ya Tanzania, kanda ya Dar es...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Ni mstari gani wa Bongo Fleva unaweza kuelezea Mahusiano yako?

    Habarini wakuu, Kuna ule wimbo wa Rayvanny "Unaibiwa" yaani huu wimbo unarelate sana mambo ya mahusiano na kudate kwa sasa. "Unadhani niwapeke ako Kumbe wengine wameshaweka kambi Kakupendea macho Wapo wengine kawapendea rangi 'Ye ni gari la dampo Hachagui taka dereva mpe ganji Wakubadili...
  3. JamiiForums Tanzania Wadau wanakumbuka kweli mchango wa Mr. Nice kwenye kuikuza Bongo Flavour?

    Hivi watu wanakumbuka mchango wa huyu mwamba katika Entertainer ya bongo flavor au ndio kila mtu ale urefu wa kamba yake?! 😂 Wanamuita Lucas Mkenda au “Mr Nice” #Legendary
  4. JamiiForums Tanzania Hali ya Chid Benz Inasikitisha sana

    Hali ya Msanii wa Hiphop Rashidi Makwilo (Chidibenz) inasikitisha sana sana, Siku za hivi karibuni amekua akiishi Msasani (Maandazi road) maskani moja na mateja, Kinachonisikitisha zaidi jamaa anaonekana hayuko sawa kiafya miguu imevimba, anaonekana aliumia na hajapona vizuri,miguu ameifunga...
  5. JamiiForums Tanzania Kitendo cha Diamond Platnumz kwenda nyumbani kwa P. Diddy kimemlipa

    Ndugu zangu mafanikio hayakufuati ukiwa umeketi nyumbani kwako, lahasha, ni lazima uyafuate tena kwa juhudi ya hali ya juu. Star wa bongo fleva Diamond Platnumz ni miongoni mwa vijana wapambanaji, miezi kadhaa nyuma kijana huyu mpambnaji alifunga safari kwenda nchini Marekani, huku lengo kuu...
  6. JamiiForums Tanzania Mdororo au anguko la Hiphop Tanzania

    Mdororo au anguko la HopHop Tz!? Kuna msemo wa waingereza wanasema,"kimya cha marafiki zangu kinanighasi zaidi ya kelele za maadui zangu". Familia ya wanaHip Hop Tz kwa sasa wamepoa sana,wapo kimya sana kiasi kwa sisi mashabiki ni bonge la ghasia,binafsi inaniudhi. Angalia mfano huu,juzi juzi...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuizungumzia Bongo Fleva na kuwaacha hawa!

    Katika maeneo yote duniani, kuna watu ambao wanafanya kazi kubwa nyuma ya wahusika wakuu wa tasnia fulani na kuwa nguo kubwa ya mafanikio. Hawa kwa lugha ya Kiingereza wanaitwa 'masterminders'. Ni watu ambao wanafanya kazi kubwa sana kusongesha gurudumu la tasnia husika. Tukija kwenye tasnia ya...
  8. JamiiForums Tanzania Nusu ya wasanii wa Bongo fleva ni mashoga asema Chidy Benzi

    Chidy benzi amesema nusu ya wasanii wa Bongo wa kiume wanalika akimaanisha kwamba ni "mashoga" Chidy benz angetaja list kabisa Video hii hapa👇🏻 https://www.facebook.com/ISHEBOO/videos/1154680399214487/?app=fbl
  9. JamiiForums Tanzania Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe

    Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe Sasa shughuli inabaki kwetu kama sio Ally bhasi ni Nasibu, maana ndiyo sifa walizotajwa nazo. Nawatakiwa Asubuhi Njema
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kupata taarifa za Wasanii wa Makundi ya Bongo Fleva

    Ningependa kupata taarifa za makundi ya bongo fleva.... Yaliundwa na wasanii gani, yalianzishwa mwaka gani, na walitoa ngoma gani na pia kupata picha zao 1: Living with Purpose (LWP) 2: Big Dog Pose (BDP) 3: Waswahili by Nature 4: Manzese Crew 5: Wandago 6: Wateule 7: Watengwa 8: Daz Nundaz 9...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Orodha ya wasanii ambao bongo fleva / hiphop imewapa mafanikio makubwa

    1. DIAMOND PLATNUMZ - CEO wa wasafi fm na tv + label, msanii pekee mwenye msururu wa ndinga za kwenda mbele 2. MR NICE - Ni Diamond pekee ndie alieweza kumfikia ukwasi akiwa peak, miaka hio ya 2003 inasemekana alikuwa anamiliki ukwasi wa bilioni 1 ya enzi hizo 3. AY - Mzee wa commercial...
  12. JamiiForums Tanzania TANZIA Pengo lingine kwenye tasnia ya muziki wa bongo Fleva. Richard Ramadhan Tunda afariki dunia

    RICHARD TUNDA:KIFAA TOKA TIP TOP CONNECTION, AMEFARIKI DUNIA NI MDOGO WA MKALI WA BONGO FLEVA TUNDAMAN.. JINA: Richard Ramadhan Tunda KUZALIWA: Februari 3, 1989 (Miaka 35) ALIPOZALIWA: Kinondoni, Dar es Salaam.. KIFO : 16 Februari 2024. SANAA: Muziki wa Bongo Fleva.. HISTORIA YA MAREHEMU...
  13. JamiiForums Tanzania Tahadhari: Harmo usije logwa kulazimisha game kwa Posh

    Wanajamii, Kwa darubini kali niliyonayo nimechungulia yanayoweza kujiri siku za usoni kwenye penzi jipya hapa mujini, penzi kati ya Harmonizer na mwanadada Posho Queen. Nachoweza kusema faster ni kwamba mwamba aende kwa tahadhari sana kwani kuna mashimo mengine ukiingiza kichwa chini unakuta...
  14. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kwenye bongo fleva ya Sasa?

    Wakuu mambo vipi ? Kutokana na maoni ya mashabiki wengi wa huu muziki wetu pendwa wa bongo fleva kwamba muziki wa Sasa hauna ladha kama muziki wa zamani , Je nini kifanyike? Tufanye kama zamani au vipi? Na generation ya sasa hivi wanasemaje kuhusu muziki wetu wa Sasa tuendelee nao au kama...
  15. JamiiForums Tanzania Mziki wa Bongo Fleva unaobamba sio wetu ni wa Afrika Kusini

    Kuna kipindi yaliwahi kutokea maneno kwamba Tanzania tunaitafuta sound yetu, kwamba ngoma ikipigwa tu unajua hii ni Bongo, Tanzania. Nimepata muda usiku huu kwenda YouTube kuziona trends, guys I'm sorry to say that what is trending down there isn't ours, it's South Africans' Amapiano. Na...
  16. JamiiForums Tanzania TANZIA G RICO - Msanii wa Bongo Fleva wa Mwanza afariki Dunia

    Umuofia kwenu wana JF, Msanii wa Bongo fleva aliyetikisa kanda ya Ziwa G RICO amefariki dunia leo ,G Rico alitamba na nyimbo kama Pole ya moyo, kesho etc. Poleni ndugu, jamaa na marafiki.
  17. JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke wanamuziki wa Bongo Fleva waliotangulia mbele ya haki

    Wiki iliyoisha kulikuwa na kifo cha DJ Steve B ambaye alikuwa na jina kubwa sana katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya (bongo fleva) mwanzoni mwa miaka ya 2000. Leo nimeona tuwakumbuke wanamuziki wa bongo fleva ambao wamefariki. Hii itasaidia pia kujua baadhi ya wana muziki wa bongo fleva...
  18. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe ma Dj's walioinyanyua Bongo Fleva

    Dj Mars Dj Venture Dj Skills Dj D White Dj Juice Dj Nelly Dj Kessy Dj Muli Bring Bring Dj Majizo Di Sam Dj Cutter Dj Jongo Dj D7 Ongezea wengne ambao walikuwa bora kuliko hawa kina AllyB
  19. JamiiForums Tanzania Toka Bongo Fleva ianzishwe hakuna mwanamziki wa kike mwenye sauti ya kuvutia, kipaji cha kutunga na kuimba kwa hisia kama Lady Jaydee

    Binafsi nimekuwa mfuatiliaji wa nyimbo za bongo fleva haswa kwa upande wa R&B, na nimejiridhisha kwamba toka uanzishwaji wake ulipoanzia miaka zaidi ya 25 iliyopita, hadi leo hii hakuna msanii wa kike mwenye kipaji cha uimbaji, utungaji na ufikishaji ujumbe maridhawa wa nyimbo zake kama Lady...
  20. JamiiForums Tanzania TANZIA ERICK ADAMU (Nezo B-Msanii wa Bongo Fleva) Auawa kisa kudaiwa pesa ya umeme (LUKU)

    Mwanamke anayefahamika kwa jina la Blandinda Fredi Mkazi wa Kijiji cha Ilkrevi Kata ya Olturoto Wilayani Arumeru Mkoani Arusha anatuhumiwa kumuua Erick Adam ambaye ni Msanii wa Bongofleva na Mfanyakazi wa kiwanda cha mikate chanzo kikidaiwa kuwa ni kudaiana pesa ya LUKU (umeme). Mashuhuda wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…