huwa simkubali Dudu Baya kwenye kila jambo, hasa pale ninapoona anaisifia sana serikali na ku m mention mama samia lakini kuhusu namna alivyofunga shoo kwangu ilikuwa poa
Kufikia alfajiri watu wengi tayari wanakuwa wamechoka na wengine wanaanza kuondoka. Kwa hiyo niliona ile ilikuwa njia ya...
Wananchi wakataa mapambio ya MwanaFa kwenye miaka 30 ya Bongo Fleva
Katika hali isiyo ya kawaida, Naibu waziri wa Michezo, Sanaa...., Mwinjuma Hamis maarufu kama mwanaFa amezomewa na kukataliwa na wananchi waliohudhuria tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva, pale alipotaka kuanza kusifia na...
Aibu utaona wewe!!
Usiku huu kunafanyika show ya miaka 30 ya bongo fleva.
Mgeni rasmi ni Mwana FA, basi alipopanda jukwaani akaongea vizuri mpaka pale alipoanza kusema serikali ya awamu ya 6, hata hajamaliza watu wakaanza kuzomea.
Ikabidi Mwana FA azuge kuwa tunajenga Arena. Lakini hadhira...
Muda huu lile tamasha la miaka 30 limeanza katika ukumbi wa Mlimani City.
Wasanii wa zamani wanapanda jukwaani kutukumbusha zile ladha za miaka ile.
Vijana wa miaka ile njooni hapa Live updates ziko hapa kwenye uzi huu…
Show iko live kupitua Sinema Zetu, TvE, Clouds Tv
Mange Kimambi, mmoja wa wahamasishaji wakuu wa maandamano makubwa yaliyopelekea umwagaji damu Oct 2025, amewashutumu CHADEMA kwa kuendesha mikutano "yenye vibe" za miziki ya bongo fleva ikiwemo nyimbo za "Wanamwita Sugu."
Amewaasa CHADEMA kwamba hakuna mwananchi atajipeleka kwenye hatari za...
Yaani mwaka mmoja tu 2027 wakaamua wote kwa pamoja video zao zote wafanyie national parks kama serengeti,zanzibar na mt.kilimanjaro....
Au hawa content creator mnataka kuwapa billion 2 mkawapa nafasi ya ku promote mbuga zetu warekodi bure ndani ya vivutio..
#visit Tanzania..
Tanzanian musician Sefu Shabani, better known by his stage name Matonya, has been detained in Kenya after being accused of rape.
According to a statement released on X by Kenya's Director of Public Prosecutions (DPP), the 43-year-old disputed the charge when he appeared in court in the seaside...
Master J ndio Godfather wa hili game japo yeye hapendagi kabisa hizi debates, anaona zinampotezea muda tu haoni umuhimu wa kuitwa legend wala mambo ya kupewa heshima. inshort hapewi kabisa heshima ya kitu alichokipambania.
hakukuwa na Bongo flava hapo zamani, ilikuwa inaitwa "Muziki wa kufoka...
Guys,
The truth is, right now in Tanzania, the three most disliked groups are:
1. Chama Cha Mapinduzi (CCM)
2. The police
3. Bongo Fleva artists.
When it comes to Bongo Fleva artists, honestly, you don’t need an Oxford-level research paper to figure that out. Just scroll through the comment...
Dunia nzima sasa inaonekana watakaoleta mabadiliko ni Gen Z.
Lakini kwa Tanzania wanawaza kujadili Singeli na bongo fleva. Huku Taifa lao likienda mlama kwa ufisadi, upendeleo huku maisha yao yakiwa hovyo kabisa
Gen Z wa Tanzania hovyo kabisa kama makamasi ya ndama.
Rayvanny ameshare furaha yake kubwa baada ya wimbo wake wa Tetema kushika namba moja trending dunia nzima, Chui ameshare hayo katika ukurasa wake wa Instagram.
Soma pia: RAYVANNY KASHUKA NA KUISHIWA MBINU KIMUZIKI
Kwasasa ngoma hiyo ipo nafasi ya nne kwenye trending videos duniani ikiwa...
Daah! Miaka ya elfu mbili muziki ulitendewa haki kweli jamani. Cheki list ya vipaji hivyo – yaani mtaani kulikuwa hakupoi:
Juma Nature
Q Chillah
Ferouz
Lady Jay Dee
Professor Jay
Ngwear
Jay Moe
Chege
Dully Sykes
Ray C
Stara Thomas
T.I.D
Mr Blue
Fid Q
Afande Sele
Mandojo & Domo Kaya
Banana Zorro...
Nyimbo zipi za kiswahili ulizipenda kati ya mwaka 2000 na 2010. Share tukumbushane kumbukumbu za ujanani.
“Nikanyage bahati mbaya nikulipue makusudi”
Fid Q - Ni hayo tu (Ft. Langa & Prof Jay)
Released - 2003
https://youtu.be/PrMoE0Pxk58?si=Op-OAPSwK2iwu_vS
“Siku zimeenda nami nateta mbona...
Umuofia kwenu wana JF,
Aliyekuwa mwanamuziki aliyeunda kundi la Xplastaz Godson Rutta aka G-Son amefariki dunia akiwa USA baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Ikumbukwe kwamba Gsan ndiyo mtanzania wa kwanza kushiriki tuzo za BET Cyper kwa kutumia lugha ya kiswahili ,kwenye hiyo cypher mwaka 2009...
Wasaniii wa Bongofleva Madee, AY na Chege (Samia Kings) wameshiriki kwenye shangwe za mapokezi ya Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Mkata Mkoani Tanga ambako anaanza ziara ya kikazi leo.
Soma Pia:
Ziara ya Kikazi ya Rais Samia Mkoani Tanga Februari 23, 2025
Wasanii Ay, Madee na Chege...
Mimi huwa niko na kawaida ya kutengeneza playlist tofauti tofauti na kuzisikiliza wakati naendelea na kazi zangu (huwa napata utulivu wa kubaki kwenye jambo moja kwa wakati huo, kwasababu kichwa changu huwa kina shida ya kufungua mafile mengi kwa wakati mmoja hasa kikiwa kwenye utulivu wa...
Kuna Maneno matamu sana kwenye huu wimbo.
Ni wimbo wa mapenzi unaomsifia Mwanamke Mzuri mwenyenmaisha mazuri sana kwao. Ktk Verse ya Mwimbaji anasema hivi.
".......Kwao kila kitu stock, Beef Cow Kitimoto Pork......"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.