Tahadhari: Harmo usije logwa kulazimisha game kwa Posh

bahati93

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
1,141
2,018
Wanajamii,

Kwa darubini kali niliyonayo nimechungulia yanayoweza kujiri siku za usoni kwenye penzi jipya hapa mujini, penzi kati ya Harmonizer na mwanadada Posho Queen. Nachoweza kusema faster ni kwamba mwamba aende kwa tahadhari sana kwani kuna mashimo mengine ukiingiza kichwa chini unakuta Jokar kubwa.

Sababu kubwa zinazonisukuma nimsukumie tahadhari huyu mmakonde ni kutokana na mfanano wa high life anayoishi ambao mastaa wengine kibao wamepitia. Mfanano wa kwanza ni kutoka kwa Tyson, kwanza wote wana tatoo usoni, pili wote wanakalisha haraka sana wapinzani wao katika fani zao husika.

Nadhani wengi wenu mnakumbuka mwamba Tyson alivyijikuta kwenye matatizo makubwa sana ya kuambiwa amebaka, amebaka manzi ambaye alimfuata mwenyewe ghetto usiku.

Mwamba mwingine ni R Kelly ambaye yupo nyavuni, mtego wa R Kelly sijajua kama kweli mwamba alipita salama, maana nusura Jamhuri imuweke kati kutoka kile kitoto Paula. Maana kesi za namna ile zinakuja ukiwa upo kuumaliza mwendo, anyway.

Haya msije sema sikutoa tahadhari, kwa ninachokiona kama sio kuambiwa kabaka basi ni kushutumiwa kufanya unyanyasaji wa kijinsia.

Ma nyangau yatang'angana naye sana mixer kutakiwa kufanya community service.
 
Mkuu huku ni bongo mambo ya kina R Kelly na Tyson hakuna huku ,mwache mmakonde aendelee kutindua inye nzuri nzuri kama ya Posh then akitoka hapo anahamia kwa Caren Simba na wengine
 
Wanajamii,

Kwa darubini kali niliyonayo nimechungulia yanayoweza kujiri siku za usoni kwenye penzi jipya hapa mujini, penzi kati ya Harmonizer na mwanadada Posho Queen. Nachoweza kusema faster ni kwamba mwamba aende kwa tahadhari sana kwani kuna mashimo mengine ukiingiza kichwa chini unakuta Jokar kubwa.

Sababu kubwa zinazonisukuma nimsukumie tahadhari huyu mmakonde ni kutokana na mfanano wa high life anayoishi ambao mastaa wengine kibao wamepitia. Mfanano wa kwanza ni kutoka kwa Tyson, kwanza wote wana tatoo usoni, pili wote wanakalisha haraka sana wapinzani wao katika fani zao husika.

Nadhani wengi wenu mnakumbuka mwamba Tyson alivyijikuta kwenye matatizo makubwa sana ya kuambiwa amebaka, amebaka manzi ambaye alimfuata mwenyewe ghetto usiku.

Mwamba mwingine ni R Kelly ambaye yupo nyavuni, mtego wa R Kelly sijajua kama kweli mwamba alipita salama, maana nusura Jamhuri imuweke kati kutoka kile kitoto Paula. Maana kesi za namna ile zinakuja ukiwa upo kuumaliza mwendo, anyway.

Haya msije sema sikutoa tahadhari, kwa ninachokiona kama sio kuambiwa kabaka basi ni kushutumiwa kufanya unyanyasaji wa kijinsia.

Ma nyangau yatang'angana naye sana mixer kutakiwa kufanya community service.
Wanawake mnajuana wenyewe.
 
Back
Top Bottom