Kiukweli TZ tulibarikiwa sana vipaji kwenye kiwanda chetu cha muziki ( Bongo Fleva).
Miaka ya nyuma tulikuwa na vipaji vingi sana lakini kadri miaka inavyozidi kwenye vipaji vinazidi kupotea, kuna haja ya wadau wa muziki huu kuzinduka usingizini.
Nimesikiliza nyimbo nyingi sana kali za Bongo...
Rayvanny ni moja ya wasanii wa Bongo Fleva wanaokuwa wanafanya vizuri sana kwenye kiwanda chetu cha muziki.
Nakung'ata sikio Ray muziki unaoimba sasahivi unakupoteza, umetoa nyimbo zaidi ya tano hakuna hata moja iliyo hiti hii siyo kawaida yako.
Umepotea kabisa kwenye platform mbalimbali...
Hi 👋
Ningependa kushea orodha yangu ya nyimbo bora walizoshirikishana wasanii wa bongo ambazo hazichuji hata ikipigwa leo hii lazima uipende. Naruhusu kurekebishwa penye makosa, lakini pia nipende kuwapa pongezi kubwa Producers Miika Mwamba, PFunk na Master J kwa kazi nzuri waliyofanya maana...
Nimekwazwa na kilichotokea kwa wasanii kufurumushwa uwanjani pasipo kutumbuiza na pia kuonekana kama watu waliokuwa wamevamia shughuli licha ya kuwavalisheni mavazi yenye uwiano wa rangi na jeshi lenu pendwa halikuwa jambo la kupendeza wala kupongezwa.
Ni kweli tulipaswa kuenzi utamaduni wetu...
Orodha Ya Album Za Bongo fleva Zilizosikilizwa Zaidi Katika Mtandao Wa Kusikilizia Muziki Wa Spotify.
1. #ABoyFromTandale -Diamond Platnumz Streams 30.4M
2. #SoundFromAfrica -Rayvanny Streams 26.2M
3. #DefinationOfLove -Mbosso Streams 3.6M
4. #StoryOfTheAfricanMob -Navy Kenzo Streams 3.3M...
Profesa J na Ney wa Mitego walijitokeza hadharani kuonyesha masikitiko yao na kupinga Roma Mkatoliki Kutekwa Yeye na watu wengine pale Studio, na walipaza sauti zao ili arejeshwe akiwa hai.
Jambo hili lilimfanya aliyekuwa RC wa Dar es Salaam Paulo Makonda kutangaza kwamba Roma atarudishwa kabla...
Sijui ni mimi tu au, ila naona kama nyimbo nyingi za Bongo Fleva ziku hizi fupi sana. Ni nadra kuona wimbo umezidi dakika 4.
Nyingi zinaishia dakika 3 na nusu na nyingine hadi dakika 2 na sekunde kadhaa. Hapo kuanzia biti la kuanza hadi mwisho kabisa.
Nakumbuka zamani kidogo wimbo kua na...
Kwa kipindi cha miaka ya 90’s mpaka 20’s ilikuwa ili msanii uweze kutoboa lazima ujiunge kwenye kundi lolote la muziki na ndio maana kwa kipindi hicho idadi ya makundi ilikuwa kubwa na yalidumu kwa muda mrefu,walikusudia kuifanya Tanzania kuwa "Taifa la hip hop’’, vijana kuondokana na maisha ya...
Sikiliza kwa makini wimbo huu, namna maudhui, sauti na mpangilio wa vyombo ulivyofanyika. Je mziki huu wa kibantu unafeli wapi against Bongo fleva?
Yaani mziki wa namna hii kwa nini unashindwa ku break into the music industry !! tatizo?
Kwa miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia wimbi kubwa la wasanii wakifanya vizuri hasa kwenye soko la ndani. Wapo waliokuja wakajaribu bahati zao wakatoa hit song mbili tatu wakapotea. Wapo waliokomaa na gemu mpaka sasa tuna enjoy kazi zao hawa tunawaita wakongwe
TULIPOTOKA. Miaka ya nyuma kabla...
Uharamia (piracy) sio jambo jipya katika sanaa nchini, lilichangia kuanguka kwa BONGO MOVIE hasa baada ya mapato kupungua leo wasanii wamebaki kulaumu foreign films, TV shows and series wakati ukweli wanaujua dhahiri.
Now jinamizi hili limeshika hatamu katika upande wa Bongo fleva, tangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.