bongo fleva

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Makonyeza

    JamiiForums Tanzania Mdororo au anguko la Hiphop Tanzania

    Mdororo au anguko la HopHop Tz!? Kuna msemo wa waingereza wanasema,"kimya cha marafiki zangu kinanighasi zaidi ya kelele za maadui zangu". Familia ya wanaHip Hop Tz kwa sasa wamepoa sana,wapo kimya sana kiasi kwa sisi mashabiki ni bonge la ghasia,binafsi inaniudhi. Angalia mfano huu,juzi juzi...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuizungumzia Bongo Fleva na kuwaacha hawa!

    Katika maeneo yote duniani, kuna watu ambao wanafanya kazi kubwa nyuma ya wahusika wakuu wa tasnia fulani na kuwa nguo kubwa ya mafanikio. Hawa kwa lugha ya Kiingereza wanaitwa 'masterminders'. Ni watu ambao wanafanya kazi kubwa sana kusongesha gurudumu la tasnia husika. Tukija kwenye tasnia ya...
  3. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Nusu ya wasanii wa Bongo fleva ni mashoga asema Chidy Benzi

    Chidy benzi amesema nusu ya wasanii wa Bongo wa kiume wanalika akimaanisha kwamba ni "mashoga" Chidy benz angetaja list kabisa Video hii hapa👇🏻 https://www.facebook.com/ISHEBOO/videos/1154680399214487/?app=fbl
  4. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe

    Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe Sasa shughuli inabaki kwetu kama sio Ally bhasi ni Nasibu, maana ndiyo sifa walizotajwa nazo. Nawatakiwa Asubuhi Njema
  5. Benaire

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata taarifa za Wasanii wa Makundi ya Bongo Fleva

    Ningependa kupata taarifa za makundi ya bongo fleva.... Yaliundwa na wasanii gani, yalianzishwa mwaka gani, na walitoa ngoma gani na pia kupata picha zao 1: Living with Purpose (LWP) 2: Big Dog Pose (BDP) 3: Waswahili by Nature 4: Manzese Crew 5: Wandago 6: Wateule 7: Watengwa 8: Daz Nundaz 9...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Orodha ya wasanii ambao bongo fleva / hiphop imewapa mafanikio makubwa

    1. DIAMOND PLATNUMZ - CEO wa wasafi fm na tv + label, msanii pekee mwenye msururu wa ndinga za kwenda mbele 2. MR NICE - Ni Diamond pekee ndie alieweza kumfikia ukwasi akiwa peak, miaka hio ya 2003 inasemekana alikuwa anamiliki ukwasi wa bilioni 1 ya enzi hizo 3. AY - Mzee wa commercial...
  7. UKWAJU WA KITAMBO

    JamiiForums Tanzania TANZIA Pengo lingine kwenye tasnia ya muziki wa bongo Fleva. Richard Ramadhan Tunda afariki dunia

    RICHARD TUNDA:KIFAA TOKA TIP TOP CONNECTION, AMEFARIKI DUNIA NI MDOGO WA MKALI WA BONGO FLEVA TUNDAMAN.. JINA: Richard Ramadhan Tunda KUZALIWA: Februari 3, 1989 (Miaka 35) ALIPOZALIWA: Kinondoni, Dar es Salaam.. KIFO : 16 Februari 2024. SANAA: Muziki wa Bongo Fleva.. HISTORIA YA MAREHEMU...
  8. bahati93

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Harmo usije logwa kulazimisha game kwa Posh

    Wanajamii, Kwa darubini kali niliyonayo nimechungulia yanayoweza kujiri siku za usoni kwenye penzi jipya hapa mujini, penzi kati ya Harmonizer na mwanadada Posho Queen. Nachoweza kusema faster ni kwamba mwamba aende kwa tahadhari sana kwani kuna mashimo mengine ukiingiza kichwa chini unakuta...
  9. Zombie S2KIZZY

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kwenye bongo fleva ya Sasa?

    Wakuu mambo vipi ? Kutokana na maoni ya mashabiki wengi wa huu muziki wetu pendwa wa bongo fleva kwamba muziki wa Sasa hauna ladha kama muziki wa zamani , Je nini kifanyike? Tufanye kama zamani au vipi? Na generation ya sasa hivi wanasemaje kuhusu muziki wetu wa Sasa tuendelee nao au kama...
  10. blogger

    JamiiForums Tanzania Mziki wa Bongo Fleva unaobamba sio wetu ni wa Afrika Kusini

    Kuna kipindi yaliwahi kutokea maneno kwamba Tanzania tunaitafuta sound yetu, kwamba ngoma ikipigwa tu unajua hii ni Bongo, Tanzania. Nimepata muda usiku huu kwenda YouTube kuziona trends, guys I'm sorry to say that what is trending down there isn't ours, it's South Africans' Amapiano. Na...
  11. King Kong III

    JamiiForums Tanzania TANZIA G RICO - Msanii wa Bongo Fleva wa Mwanza afariki Dunia

    Umuofia kwenu wana JF, Msanii wa Bongo fleva aliyetikisa kanda ya Ziwa G RICO amefariki dunia leo ,G Rico alitamba na nyimbo kama Pole ya moyo, kesho etc. Poleni ndugu, jamaa na marafiki.
  12. Area 56

    JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke wanamuziki wa Bongo Fleva waliotangulia mbele ya haki

    Wiki iliyoisha kulikuwa na kifo cha DJ Steve B ambaye alikuwa na jina kubwa sana katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya (bongo fleva) mwanzoni mwa miaka ya 2000. Leo nimeona tuwakumbuke wanamuziki wa bongo fleva ambao wamefariki. Hii itasaidia pia kujua baadhi ya wana muziki wa bongo fleva...
  13. aka2030

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe ma Dj's walioinyanyua Bongo Fleva

    Dj Mars Dj Venture Dj Skills Dj D White Dj Juice Dj Nelly Dj Kessy Dj Muli Bring Bring Dj Majizo Di Sam Dj Cutter Dj Jongo Dj D7 Ongezea wengne ambao walikuwa bora kuliko hawa kina AllyB
  14. Akilihuru

    JamiiForums Tanzania Toka Bongo Fleva ianzishwe hakuna mwanamziki wa kike mwenye sauti ya kuvutia, kipaji cha kutunga na kuimba kwa hisia kama Lady Jaydee

    Binafsi nimekuwa mfuatiliaji wa nyimbo za bongo fleva haswa kwa upande wa R&B, na nimejiridhisha kwamba toka uanzishwaji wake ulipoanzia miaka zaidi ya 25 iliyopita, hadi leo hii hakuna msanii wa kike mwenye kipaji cha uimbaji, utungaji na ufikishaji ujumbe maridhawa wa nyimbo zake kama Lady...
  15. Nyendo

    JamiiForums Tanzania TANZIA ERICK ADAMU (Nezo B-Msanii wa Bongo Fleva) Auawa kisa kudaiwa pesa ya umeme (LUKU)

    Mwanamke anayefahamika kwa jina la Blandinda Fredi Mkazi wa Kijiji cha Ilkrevi Kata ya Olturoto Wilayani Arumeru Mkoani Arusha anatuhumiwa kumuua Erick Adam ambaye ni Msanii wa Bongofleva na Mfanyakazi wa kiwanda cha mikate chanzo kikidaiwa kuwa ni kudaiana pesa ya LUKU (umeme). Mashuhuda wa...
  16. aka2030

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Album 20 za bongo fleva toka muziki uanze

    Not naongelea bongo fleva upande wa kuimba Hizi ndio album bora 25 za miaka 23 1.Tid-sauti ya dhahabu-2001 2.Alikiba-cinderella-2007 3. Lady jay dee - Binti 2003 4. Bushoke -Barua 2004 5.Mb dogg- Si uliniambia 2006 6.Marlaw -Bembeleza 2007 7.Diamond- Kamwambie 2010 8. prince Dully sykes...
  17. G

    JamiiForums Tanzania TMA, kuna tofauti gani ya msanii bora wa kiume/kike na msanii bora wa kiume/kike bongo fleva?

    Habari, Weekend iliyopita nilikuwa naangalia tuzo za TMA yaani Tanzania Musics Awards na kuona vipengele tajwa hapo juu. Sasa bado sijaelewa tofauti zake. Mwenye kuelewa naomba anijuze.
  18. Mcqueenen

    JamiiForums Tanzania Treyzah ndiye msanii bora wa Bongo fleva kwa sasa

    Treyzah ni msanii wa muziki wa kisasa ambaye ameweza kuweka alama yake katika anga la muziki wa Afrika Mashariki. Kupitia sauti yake iliyoshiba, mashairi yake yenye maana na usanii wake wa kipekee, ameweza kujipatia mashabiki wengi na umaarufu mkubwa. Muziki wa Treyzah unatia moyo na kujenga...
  19. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Harmonize ndiye King wa Bongo Fleva kwa sasa

    Kizuri chajiuza, kibaya chajitangaza, bwana mdogo amepiga kazi kubwa zinazojiuza zenyewe bila mwenyewe kutumia nguvu kuuubwa. Ukiachana na "Single Again" inayotamba bara zima la Afrika kwa sasa, hii playlist yake hapa chini itakufanya usuuzike moyo: 1. Single Again 2. Wote 3. Leave Me Alone ft...
  20. pantheraleo

    JamiiForums Tanzania Dar: Show ya Heshima kwa Wakongwe wa Bongo Fleva si ya Kukosa

    Deiwaka World chini ya Joseph Mbilinyi “SUGU” kwa kushirikiana na Alliance Francaise (Kituo cha Utamaduni cha Ufaransa), imeandaa “Bongo Flava Honors” Concerts ambalo ni Jukwaa mahsusi kwa Wakongwe wa Bongo Flava. Concerts hizi zitafanyika Alliance Francaise, Upanga, Dar Es Salaam. Kila mwezi...
Back
Top Bottom