bongo fleva

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr pianoman

    JamiiForums Tanzania Haya makundi ya Bongo Fleva yalitupa raha sana sisi Wahenga

    Kwa kipindi cha miaka ya 90’s mpaka 20’s ilikuwa ili msanii uweze kutoboa lazima ujiunge kwenye kundi lolote la muziki na ndio maana kwa kipindi hicho idadi ya makundi ilikuwa kubwa na yalidumu kwa muda mrefu,walikusudia kuifanya Tanzania kuwa "Taifa la hip hop’’, vijana kuondokana na maisha ya...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Mziki wetu wa Bantu unafeli wapi vs Bongo fleva?

    Sikiliza kwa makini wimbo huu, namna maudhui, sauti na mpangilio wa vyombo ulivyofanyika. Je mziki huu wa kibantu unafeli wapi against Bongo fleva? Yaani mziki wa namna hii kwa nini unashindwa ku break into the music industry !! tatizo?
  3. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Bongo Fleva tulipotoka na tunapoelekea

    Kwa miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia wimbi kubwa la wasanii wakifanya vizuri hasa kwenye soko la ndani. Wapo waliokuja wakajaribu bahati zao wakatoa hit song mbili tatu wakapotea. Wapo waliokomaa na gemu mpaka sasa tuna enjoy kazi zao hawa tunawaita wakongwe TULIPOTOKA. Miaka ya nyuma kabla...
  4. Chief Mtangi

    JamiiForums Tanzania Je, wasanii wa muziki wamekubaliana na uharamia (piracy) katika kazi zao?

    Uharamia (piracy) sio jambo jipya katika sanaa nchini, lilichangia kuanguka kwa BONGO MOVIE hasa baada ya mapato kupungua leo wasanii wamebaki kulaumu foreign films, TV shows and series wakati ukweli wanaujua dhahiri. Now jinamizi hili limeshika hatamu katika upande wa Bongo fleva, tangu...
Back
Top Bottom