bomu

The Bo language of West Africa, Bomu (Boomu), also identified as Western Bobo Wule, is a Gur language of Burkina Faso and Mali.
Bomu is spoken by two groups of Bwa people, the Red Bobo, Bobo Wule (also spelled Bobo Oule), and the White Bobo, Bobo Gbe, also known as Kyan (also spelled Kian, Tian, Tyan, Can, Chan) or Tyanse.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Prof. Andrew wa UK: Itachukua muda gani kama bomu la nyuklia likirushwa na Russia kufika UK, na itakuwaje kama tukitaka kulitungua

    Profesa Andrew Futter, mhadhiri na mtafiti mwandamizi ktk maswala ya silaha za nyuklia Chuo kikuu cha Leicester, Uingereza, amehojiwa na chombo cha habari MyLondon kuhusu linakuwaje kuwaje shambulio la silaha za kinyuklia ktk mji, na namna gani laweza kudhibitiwa. Profesa Futter akawapigia mfano...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Pwani: Watatu wafariki kwa kulipukiwa na kitu kinachodhaniwa kuwa bomu

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Wankyo Nyigesa, aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa tukio hilo lilitokea juzi majira ya saa 8:00 mchana katika kijiji cha Pongwe Msungura, Kata ya Msata. Wankyo alisema watu hao waliokota chuma kinachodhaniwa kuwa ni bomu ambacho kililipuka mikononi mwao na...
  3. benzemah

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Dharau zilivyoiponza Uganda, Mlipuko wa Bomu Kampala

    Jumanne 16, Novemba 2021, zilisambaa picha katika mitandao ya kijamii zikionesha mlipuko uliotokea katikati ya mji mkuu wa Uganda Kampala. Taarifa kutoka katika mamlaka nchini humo zimeeleza kuwa kilichotokea tukio la kujitoa mhanga katika maeneo mawili tofauti. Moja ya mlipuko huo ulitokea...
  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa aliwaonya CCM kuwa ukosefu wa ajira ni bomu la petrol linalosubiri kulipuka, leo hii wamachinga waliojiajiri wanafurushwa hovyo

    Kwa nini CCM kimekuwa chama cha kusahau mara moja na kuwaona watanzania ni wapuuzi? Hamjui wamachinga ni sekta isiyorasmi amabayo imeajiri watu wa kila namna? Leo hii Tanzania nzima mnawafurusha kuhama mijini. Mnadai mnawahamishia maeneo yanayofaa. Hayo maeneo mnaodai yanafaa, je yanafikika...
  5. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Kuwaondoa Wamachinga ni bomu linalosubiri kulipuka

    Hakika nadhani zile kauli za Viongozi kuwa MACHINGA WASIBUGUZIWE waacheni Wafanye Biashara popote na tukawatengenezea Vitambulisho vya kuwatambua na kuchukua Sh.20,000/= sasa Madhara yake ndio Yameanza kuonekana. Watanzania TUACHE SIASA kwenye kila Kitu. Sasa hivi Machinga hapo Walipo ndipo...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kibonzo; Tozo ni bomu linalosubiri muda

  7. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ajira ni bomu linalosubiri kulipuka

    Duniani kote ajira ni changamoto, lakini namna ya kulishughulikia ndiyo tatizo zaidi hapa kwetu Tanzania. Kwanza Serikali imekuwa chanzo kikubwa cha tatizo hili na kupelekea kutengeneza mpaka propaganda ili ionekane imeajiri. Suala la Serikali kudai imeongeza kiasi cha ajira kinakifikirisha...
  8. Abrianna

    JamiiForums Tanzania Dhana ya Kumuinua Mtoto wa Kike ni bomu kwa Vizazi vijavyo

    Note: Andiko hili lilitolewa May 16, Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kiume Duniani. Kuanzia mwaka 2018, Dr Jerome wa Trinidad and Tobago alifanikiwa kuitambulisha tarehe 16 May ya kila mwaka kama siku maalum ya kutambua mchango wa mtoto wa kiume katika jamii. Tangu mwaka 2012 UN ilipotambulisha...
Back
Top Bottom