Wakati mvutano wa kisiasa na kijeshi ukiendelea kuongezeka katika eneo la Strait of Hormuz, Wataalamu wa sekta ya mafuta anaonya kuwa dunia inaweza kukabiliwa na msukosuko mkubwa wa nishati iwapo njia hiyo muhimu ya usafirishaji wa mafuta itavurugika.
Kutokana na changamoto hizo, wataalamu...
Lisemwalo lipo na kama lipo basi linakuja ni kwamba pale ikulu ya tanzania kuna nini ambacho mpaka damu za watanzania zimemwaga kwa ubavu mkubwa.
Je vikosi vilivyoombwa na kashafa kuwa wametoka uganda walikuja kwa ajili ya mslahi ya nani?.
Tunajua mradi mkubwa wa mafuta umepita hapa na kwa...
Pamoja na madhaifu yetu najua wenye nchi hawakuwa wachovu kwenye ku negotiate.
Ni kiasi gani kina Museveni na Muhoozi wanakiacha ili mafuta yao yafike Tanga ?
Akiongea mbele ya wanahabari mkuu wa mkoa wa Tanga amesea, Mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi Afrika Mashariki (East African Crude Oil Pipeline – EACOP) kutoka Hoima, Uganda hadi Bandari ya Chongoleani, Tanga, ni moja ya miradi mikubwa ya kimkakati inayotekelezwa kwa ushirikiano wa...
Wanabodi,
Leo niko hapa Four Points by Sheraton, Dar es Salaam, kuwaletea live mjadala wa hili Bomba la mafuta la Uganda, ambao ukiondoa mradi wa LNG ambao bado haujaanza, huu ndio mradi mkubwa Tanzania wa uwekezaji kuliko miradi yote wenye fursa kibao kwa Watanzania...
Eti wakuu, kwani si bora wangeirefusha reli ya kati kutoka Kigoma (au pahala pengine pa karibu zaidi) mpaka Uganda kuliko kuchimba bomba la gharama kubwa kiasi kile.
Mafuta yakiisha Uganda hilo bomba litakuwa na kazi gani nyingine?? Mafuta yakiisha reli still inaweza kusafirisha watu na bidhaa...
Ujenzi wa bomba la mafuta unaendelea la kutoka uganda mpaka Tanga, fursa kama hii muhim ni vizuri serikali ikavutia waekezaji kama watano waje wajenge oil refinery tano eneo ambalo bomba la mafuta kutoka uganda linapoishia
Faida ya oil refinery
Bitumen inayotumika kutengeneza lami itazalishwa...
Kigali, Rwanda
RUFANI KESI YA BOMBA LA MAFUTA -EACOP ,YAFIKA MBELE YA KORTI YA AFRIKA YA MASHARIKI
https://m.youtube.com/watch?v=er6WZpHyj1I
Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki Yasikiliza Rufaa ya Asasi za Kiraia Kupinga Kufutwa kwa Kesi Dhidi ya Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika...
Wafanyakazi wa wanaojihusisha na ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) Mkoani Singida wamedai haki zao katika Mifuko ya Jamii (NSSF) pamoja na kodi wanayokatwa ifike katika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ambapo kwa sasa haifiki kwa wakati kutoka katika Kampuni ya Nantong...
Leo tena katika kuperuzi YouTube nakutana na video za wanaharakati wa kupinga mradi wa EACOP.
Hizi vidéo ni za karibuni kama wiki tu imepita na inaonekana hiyo Channel iliyoziposti kuanzia mwezi uliopita imeposti habari ya madhara na hasara za mradi wa EACOP.
Who is behind these so called...
Habari niweza ule mradi mkubwa wa serikali wa bomba la mafuta kutokq Uganda mpka Tanga ,Tanzania umefikia wapi maana naona kimya.
Awali mwanzo kabisa wakati Magufuli yupo wakati anazindua mwaka 2017 ilikuwa mradi umalizikie 2021 ila mpaka sasa 2024 sijaoata update yeyote.
Mwenye majibu...
Mradi wa pamoja wa mafuta kati ya Tanzania na Uganda, maarufu kama Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP), umekumbwa na changamoto za kifedha. Mradi huu, unaotekelezwa kwa ushirikiano na kampuni za kimataifa TotalEnergies na China National Offshore Oil Corporation (CNOOC)...
Mama Samia atakumbukwa vizazi na vizazi kwa wema wake na kubadili maisha ya Watanzania wengi maskini
Faida moja wapo ya BOMBA LA MAFUTA ni KUGUSA MAISHA YA WATU.
Waandamanaji hao walilenga kuwasilisha malalamiko yao katika ubalozi wa China mjini Kampala kupinga uhusika na ufadhili wa nchi hiyo wa mradi huo.
Mradi huo ujulikanao kama EACOP umeendelea kupingwa na wanamazingira na wanaharakati wa haki za binadamu ndani na nje ya Uganda.
Na hiyo ndiyo...
MBUNGE AISHA ULENGE KATIKA KONGAMANO LA WANAWAKE NA MANUNUZI YA UMMA NA FURSA ZA KIBIASHARA KWENYE BOMBA LA MAFUTA
Mbunge wa Viti Maalum (Wanawake) Mkoa wa Tanga, Mhe. Aisha N. Ulenge ameshiriki Kongamano la Wanawake na Manunuzi ya Umma na Fursa za Kibiashara kwenye Bomba la Mafuta...
Meli kubwa ya kwanza MV Innovation Way kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu iliyobeba mitambo kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP).
kutoka Hoima, Uganda hadi mkoani Tanga.
imewasili katika bandari ya Tanga.
Meli hiyo imebeba mitambo kwa ajili ya...
Wizara ya Nishati Tanzania imeanz amajadiliano na Mawaziri kutoka Tanzania na Zambia kitakachojadili ushirikiano baina ya nchi hizi mbili katika ulinzi na usalama wa Bomba la Mafuta la TAZAMA na sekta ya nishati kwa ujumla wake.
katika kikao hicho kitaongozwa na Wawaziri January Makamba na...
Kampuni ya EACOP imeanza usajili na mafunzo ya online kwa wiki 8 yatakayofwatiwa na mtihani wiki ya 9 kwa ajili ya kupata vijana 140 wenye umri kati ya miaka 18-28 watakaoshiriki katika mlolongo wa mafunzo yenye nia ya kupata wafanyakazi watakaoajiriwa wakati wa uendeshaji (operation &...
Supapawa anaendelea kupigwa ndani kwake....tena ndani ndani kule alikosema siku kukiguswa atafanya kitu....na kweli alijaribu kufanya kitu kwa kutuma mizinga ya hypersonic yote ikashushwa na Patriot.
===================
Ukraine struck oil pipeline installations deep inside Russia on Saturday...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.