Ebu wataalam tuelimisheni!
Ipi siri ya ubovu wa barabara zilizochini ya umiliki wa TAZAMA na GESI ASILIA?
Ina maana huwa haziingizwi kwenye bajeti ya TARURA/TANROAD?
Nani anawajibika kuzifanyia matengenezo?
Zitakaa na uchakavu wa namla ile hadi lini?
Ipi haswa sababu ya msingi kuwa chakavu...
Mwaka 2017 rais Museveni kupitia mitandao ya kijamii alitoa taarifa kuwa lile bomba la mafuta litakaotoka nchini mwake kupitia Tanzania litaweza kupita kwenye baadhi ya maeneo nchini ambayo ni hifadhi ya barabara zetu
Majuzi hapa baada ya kukutana kwa raisi Museveni na Magufuli wamekubaliana...
Habarini ndugu zangu,
Naombeni connection ya kazi kwenye mradi mpya wa bomba la mafuta linalotoka Uganda kuja Tanga-Tanzania, elimu yangu ni Degree ya Information Technology ila kazi zozote zile nitafanya hata kama ni nje ya fani yangu. Mwenye connection naombeni anisaidie ndugu zangu nipo...
HEKO NYINGINE YA RAIS MAGUFULI KWENYE KUPIGANIA MASLAHI YA TANZANIA: KISA CHA BOMBA LA MAFUTA KUTOKA HOIMA, UGANDA HADI TANZANIA
Na Bwanku M Bwanku
Jumapili Septemba 13 mwaka huu tulishuhudia tukio kubwa la kihistoria la kiuchumi, ustawi wa watu, undugu na maendeleo ya nchi yetu kwa kushuhudia...
July 31, 2020
Rais John Magufuli na mwenzake wa Uganda, Yoweri Museveni wamekubaliana kurejesha kwenye Ikulu zao mchakato wa kutandaza bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki.
Bomba hilo linaloanzia Hoima, Uganda na kuishia Chongoleani, Tanga nchini Tanzania, limekwama baada ya kuwepo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.