Mhandisi mshauri wa mradi wa Bomba la Mafuta toka Uganda- Tanga (Tanzania) amekutwa amefariki Hotelin huko Jijini Tanga.
Abraham Jacobus raia wa Africa kusini alikuwa mhandisi mshauri wa mradi uo kwa upande wa Tanzania,Kaimu Kamanda wa police mkoani Tanga amethibitsha kutokea kwa tukio hilo.
Naomba tujadili ndugu zangu.
Mimi nimeumia sana kuna watu wanazuia mradi wetu wa bomba la mafuta.
Mimi najiuliza hawa wanaozuia tumewakosea nini.
Huu mradi kwanini wanauzuia.
Serikali yetu kwanini imekaa kimya juu ya hili.
Ni wakati wasisi kujadili ni nani anasababisha huu mradi wetu...
Hii itufunze kuwa ni muhimu kufinance vitu vyetu. Bomba la mafuta bado linakumbana na upinzani mkali kwa wanaharakati wenye maslahi yao wenyewe.
Wazee wetu walikatwa mikono kwa kufua chuma, the story continues
Wakuu poleni na majukum.
Jamani kama unafahamu kinachoendelea katika site za bomba la mafuta je, kama wamesha anza kuchukua watu japo hata vibarua au kama kuna ujenzi wowote unao endelea.
Naomba kama unafaham changia chochote
Wanafunzi na wanaharakati wengine wa maeneo mbalimbali mjini Paris wameandamana kupinga kampuni ya kifaransa ya Total kujenga bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga, Tanzania.
Wanafunzi hao na wanaharakati wa mazingira wanaitaka serikali ya Ufaransa kuizuia kampuni ya Total kujenga mradi huo...
BOMBA LA MAFUTA GHAFI LA AFRIKA MASHARIKI (EACOP)
✍🏻 Huu ni mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Kabaale – Hoima nchini Uganda kwenda kwenye peninsula ya Chongoleani mkoani Tanga nchini Tanzania. Mradi huu una urefu wa jumla ya kilomita 1443 kati ya hizo kilomita...
#SISITANZANIA #WETANZANIA - KIJANA CHANGAMKIA FURSA KATIKA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA.
Kama Vijana wa Tanzania tumekuwa na taarifa juu ya Miradi Mingi sana ambayo serikali yetu imekua ikiendelea kuitekeleza kwa maendeleo ya Taifa letu, Je! Sisi Kama Vijana ni Fursa zipi za kiuchumi tunaweza...
Habari Wakuu.
Kwa mujibu wa EWURA wanaoratibu kampuni zitakazoshirikishwa kwenye ujenzi wa Bomba la Mafuta la Uganda kutoka Hoima hadi Tanga,wameinesha kusikitishwa na muamko mdogo wa kampuni za Kitanzania zilijitokeza kusajiliwa.
Licha ya usajili kuwa bure na elimu kutolewa lakini ni...
Maisha ya Tanzania yamejawa na matukio leo uraiani kesho Serikalini kama sio huku basi itatokea Kanisani au kwenye Chama cha Siasa. Bahati mbaya mambo ya msingi hayatiliwi maanani kabisa. Hebu fikiria suala la Tozo za Miamala hatima yake haijulikani. Kama ulimsikia Spika wa Bunge utajua...
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amewataka Wananchi watakaopitiwa na ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kujitokeza na kuzitumia fursa mbalimbali ambazo zitapatikana wakati wa ujenzi wa bomba hilo
Dkt. Kalemani amesema watanzania zaidi ya 15,000 wataajiriwa katika...
Ujenzi wa Bomba la Mafuta toka Hoima hadi Tanga, ni "Joint Venture", na tumekwishashuhudia hatua zote zinazohusika na mradi huo zinavyoandaliwa na kupata maelezo namna mradi utakavyotekelezwa.
Haya mambo kwa sehemu kikubwa yamewekwa wazi, na hatujashuhudia kelele nyingi zikipigwa toka kwenye...
Kutokana hali iliyopo sasa, ikumbukwe kwamba mkuu wa mkoa Dar es Salaam, Amos Makalla juzi alikuta bomba la mafuta wilaya ya Kigamboni watu ambao hakuwagaja wamejiunganishia mafuta cha ajabu yeye alikamata watu mbalimbali na kusema kwamba ataunda kamati juu ya suala hilo. Tangu azungumzie swala...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muunganiko! MATAGA pia natumai hamjambo!
Rejea mada hii: BLINDSPOT: Uchochoro wa kupiga popote
Kukamatwa kwa bomba hili kwa bahati nasibu tuu ni mwendelezo wa ufunuo wa udhaifu wa serikali ya awamu ya tano iliyojinasibu kudhibiti wizi, rushwa, upigaji na...
Aug 5. 2017 Museveni alikuja Tanga kuweka jiwe la msingi, baadaye JPM alienda Uganda kusaini, September 2020 Museveni alikuja Dar kutia saini, Museveni akaja tena Chato kusaini, April 11, 2021 Rais Samia akaenda Uganda kusaini, jana Mseveni kaja tena Dar kusaini. Dah!
Kazi iendelee...
Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni leo tarehe 20 Mei, 2021 atafanya ziara ya kikazi ya siku 1 hapa nchini kwa Mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Akiwa hapa nchini Mhe. Rais Museveni na Mhe. Rais Samia watashuhudia utiaji saini wa...
Ndugu wadau.. Kutokana na fursa zilizopo kwenye ujenzi wa bomba la mafuta toka Hoima kwenda Tanga.. Naomba kupata uzoefu wenu kuweza kujua namna ya kuweza kushiriki kwenye hiyo keki..
Ninahusika na biashara za bima .... ambavyo najua kutakuwa na fursa mbalimbali za kushiriki kwenye mradi...
BOMBA LA MAFUTA LA AFRIKA MASHARIKI: DIPLOMASIA YA UCHUMI YA URITHI WA JPM NA MAPATO YA TSH 76.32bn KWA MWAKA
Mnamo Septemba 27, 2020 Uganda na Tanzania ziliingia makubaliano kupitisha Bomba la Mafuta ya Afrika Mashariki kutokea Hoima (Uganda) hadi Bandari ya Tanga (Tanzania). Hii ni moja ya...
Wakuu.
Tanzania na Uganda zimesaini mkataba wa mwisho kuanza ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi Chongoleani bandari ya Tanga nchini Tanzania .
Ni heshima Kubwa nchi yetu ya Tanzania kupata fursa hii ya bomba la mafuta kupita nchini Tanzania ambao utapita mikoa 8, Wilaya...
Wataalamu wa sheria hebu tasaidieni
=====
Bomba la mafuta kati ya Uganda na Tanzania lakabiliwa na changamoto ya kisheria.
Mashirika manne yasiyo ya kiserikali yamekwenda kwenye mahakama ya Afrika Mashariki ili kuzuia ujenzi wa bomba la mafuta la Afrika Mashariki EACOP uliofanywa na Uganda na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.