bodaboda

Boda bodas are bicycle and motorcycle taxis commonly found in East Africa. While motorcycle taxis like boda bodas are present throughout Africa and beyond, the term boda boda is specific to East Africa. In Kenya, they are more frequently called piki pikis. Their ubiquitous presence in East African cities is the result of a number of factors including an increasing demand for public transit, the ability to purchase motorcycles on credit, and an influx of cheap imports from Indian manufacturers like Bajaj. In the countries where they are present, boda bodas can provide transportation options to riders and job opportunities to drivers while at the same time resulting in an increase in road hazards and collisions and unnecessary injuries and deaths.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2025 Mgombea Urais Zanzibar atinga na Bodaboda kuchukua fomu

    Mgombea urais Zanzibar, Ameir Hassan Ameir, ameonesha utofauti kwa kutinga na usafiri wa bodaboda kwenda kuchukua fomu ya kuwania urais. Soma Pia: GE2025 - CCM Zanzibar yatangaza Ratiba ya Mgombea Urais Kuchukua Fomu
  2. Ninaungana na mwana JamiiForums aliyesema anayeendesha bodaboda na abiria wake wote hawana akili timamu

    Mimi naishi Mvuti, ni mbali kidogo mpaka kufika mjini ila barabara yote ni mkeka mpaka mjini ninakofanyia kazi. Barabarani nimeona sana damu za bodaboda na abiria wao. Ukiona watu wamezunguka na mtu kafunikwa mtandio tayari aidha bodaboda au abiria wake hana uhai. Siku moja niliona utumbo wa...
  3. Bodaboda na bajaji zimesaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza uhalifu nchini, vijana wengi wamestaarabika

    Bodaboda na bajaji zimesaidia kutoa ajira kwa vijana wengi hapa nchini hivyo imepunguza kwa kiasi kikubwa matukio ya kiuhalifu (ukabaji) hapa nchini kulinganisha na miaka ya nyuma ambapo vijana ajira walikuwa hawana na hawana namna ya kupata pesa zaidi ya kuiba na kupora(kukaba) . Pia...
  4. Bila kadi na namba ya NIDA huwezi kuuza wala kununua katika serikali ya CCM

    Ukitaka kununua nyumba, kiwanja, shamba, gari na hata kupata ajira au elimu ya juu ni lazima uwe na vitambulisho ikiwemo kadi na namba ya NIDA. Maana yake ni kwamba ukishakua na kadi ya NIDA wewe ni mpiga kura wa CCM utake usitake. Ninakumbuka Ufunuo wa Yohana kuwa siku za mwisho hutaweza...
  5. Ninawachukia sana bodaboda na makonda wa daladala

    Siku za hivi karibuni nimezidi kuwachukia madereva bodaboda na makonda wa daladala. Si shauri na wewe uwachukie ila mimi nachukia sana wakiniita faza (kwani mimi ndio nimewazaa?). Wananiitaga uncle (kwani nimezaliwa na mama zao?). Ni kweli mimi ni mpana ila sipendi kuitwa bonge au faza...
  6. Watu weusi tunashindwaje kuandaa wealth generation kama Rockefeller Family , ili watoto wetu wasiishie kuwa vibarua au bodaboda!

    Ukisoma historia ya Rockefeller Family . Unaona kabisa lipo swala la kujifunza sisi watu weusi au blacks. Juzi nimeangalia Familia ya Job Ndugai naona kabisa Changamoto. pamoja na ukwasi wa Ndugai Ila ndugu zake wamechoka na kujikatia tamaa.
  7. GE2025 Mamalishe, babalishe na bodaboda waungana kumdhamini mgombea urais wa CCM Samia Suluhu Hassan

    Wajasiriamali wadogo wakiwemo mamalishe, babalishe na vijana wa bodaboda mkoani Arusha leo Jumanne Agosti 12, 2025 wamejitokeza kwa wingi kumuunga mkono na kumdhamini mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan. Wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kenani Kihongosi...
  8. Waliomkata kichwa dereva bodaboda Mwanza wauwawa na wananchi

    Watu wawili wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya kijana mmoja, jinsi ya kiume ambaye awali hakutambuliwa huku kiwiliwili chake kikiwa kimetenganishwa na kichwa chake kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali (panga) na kupelekwa kusikojulikana, wameuawa baada ya kushambuliwa na wananchi wenye hasira kali...
  9. GE2025 Rais Samia apewa Mbuzi wa Supu na Madereva Bodaboda na Bajaji baada ya kuchukua Fomu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye ni mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi amepewa Mbuzi kwa ajili ya supu atakayotumia baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea urais. Mbuzi hiyo iliyotolewa na Madereva Pikipiki za miguu mitatu (bajaji)na miwili...
  10. Nimeuza kiwanja changu milioni 10, nataka ninunue bodaboda 3. Hii biashara mnaionaje?

    Nimeuza kiwanja changu jana kilichokuwepo Kibaha nimepata milioni 10 nikaona nifanye biashara ya bodaboda. Nizinunue 3 halafu niwape vijana waniletee hesabu. Je itanilipa wakuu Kwa mliowahi kufanya hii biashara au nitaingia loss?
  11. Polepole kasema nyuma yake wapo kina Mzee Warioba

    Humphrey PolePole ni kama vile alikuwa akiwahutubia vijana wa bodaboda ambao wengi wao hawakuwepo wakati wa Nyerere, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa na Mzee Kikwete na namna walifanikiwa kuwa Marais wa Tanzania. Pia alifanikiwa kutuambia kuwa nyuma yake wako pia akina Mzee Warioba na wazee wenzake wa...
  12. Hivi Bodaboda wanashindwa kubeba kitu gani?

    Wakuu, Hivi hapa duniani kuna kitu ambacho bodaboda hawezi kubeba? Maana hawa jamaa wanabeba hadi mafriji na ukiwaita wabebe futniture wanabeba Yaani pamoja na udogo wa bodaboda lakini hawa jamaa wanaweza kubeba kila kitu.
  13. Idea ya Bodaboda Forums - Njoo Tuzungumze

    Habari wanadau, Naandika kwa tumaini kubwa kuwa wote tunaendelea vizuri. Ni mchana na kuna kajoto hapa Morogoro. Nashukuru Mola kwa nafasi nyingine ya kupigana. Tuendelee kupambana, kwani iko siku. Mwezi Mei mwaka 2018, nilikaribishwa na mwandishi mmoja maarufu ambaye alikuwa ameombwa na...
  14. GE2025 Leo nimeingia center hapa Mvuti nashangaa bodaboda karibu wote wako na barakoa zenye picha na maandishi ya mi 5 TENA

    Leo nimeingia center hapa Mvuti nashangaa bodaboda karibu wote wako na barakoa zenye picha na maandishi ya mi 5 TENA. Mmewatengeneza wajinga na wapumbavu na sasa wanaogelea kwenye bwawa la umaskini hawaoni mbele wala nyuma, option yao ya mwisho ni kufukuza upepo. Mmeshindwa kuondoa bodaboda au...
  15. Nimemaliza chuo nimeingia kwenye bodaboda, nimekutana na yule aliishia form four huku huku

    Kwaiyo Mimi na yule jamaa alieishia form four ni sawa ndio maana wote tumekuwa mabodaboda Depression
  16. Daraja la Kijazi pale chini, ndio sehemu pekee Tanzania bodaboda wanafata sheria ya taa za kuongozea magari

    Kila nikipata daraja la Kijazi pale Ubungo kwenye mataa ndio sehemu pekee nawakuta bodaboda wanatii sheria ya taa za barabarani. Nadiriki kusema ndio sehemu pekee yenye mataa ambayo bodaboda wanatii. Unajua siri ya mchezo?
  17. R

    GE2025 Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe imetoa elimu kwa bodaboda kuepeuka kutumika vibaya kipindi cha uchaguzi

    Katika kuhakikisha Uchaguzi Mkuu 2025 unafanyika kwa usalama na amani Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe kupitia watendaji wake wa kata limeendelea kutoa elimu kwa makundi mbalimbali katika jamii, wakiwemo wasafirishaji wa abiria kwa kutumia Pikipiki maarufu kama bodaboda, kuhusu umuhimu wa...
  18. Bodaboda anaswa akiendesha basi la abiria

    Polisi mkoani Morogoro wamemnasa dereva mwenye leseni ya kuendesha bodaboda akiendesha basi la abiria!!!
  19. Msafara wa Rais Ruto wagonga Bodaboda 🤔

    Boda Boda amegongwa na gari ya msafara wa rais huko Kenya na walikufa papo hapo na gari ikaingia huko kwenye maporomoko Magari hayo yalikuwa yakimsindikiza Rais William Ruto na Gavana Cecily Mbarire baada ya kuhudhuria ibada ya kanisa katika Chuo cha Kigari.
  20. Mama Yake Ana Mahusiano Na Kijana Wao Wa Bodaboda.

    "Habari yako kaka George, Mimi ni mfuatiliaji sana wa post zako. Naomba unipostie na mimi ili watu wasijue kuwa ni Mimi ila nitasoma comments. Mimi kuna jambo linanitatiza naomba ushauri wako na hata ukipost kweye page zako itakuwa vizuri pia na nitakuja kusoma ushauri kutoka kwa wadau...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…