Simulizi: Penzi la Bodaboda

Halfan Hamisi

New Member
Sep 11, 2021
4
7
WASAP: 0754021538

Kama maziwa yanaondoa sumu na wakati huo mke ana ana maziwa je mwisho wake nini kilitokea? Twende nami mwanzo mpaka mwisho wa simulizi hii kuweza kupata simulizi hii ya aina yake.

TUANZE NAYO:

Dunia imejaa maajabu yeshe kushangaza na wakati mwingune kuchekesha, kuhuzunisha na kufurahisha. Ilikuwa asubuhi na mapema huku jogoo wakiwa wameanza kuwika, ndipo Regina alipoamka ili ajiandae kuelekea kazini.

Kutokana na foleni iliyopo jijini Daresalaam, aliamua kutembea kwa miguu mpaka barabarani ili apande bodaboda kwani wanasemaga haina foleni.

"Dada..dada! bebie...bebie... njoo upande hii inamziki mzuri ima Tv naendesha vizuri. Hapana iache hiyo mbovu njoo upande hii ya kwangu!!" bodaboda walitoa kelele hizo huku kila mmoja akijinasibu kupanda kwenye pikipiki yake.

"Niacheni sasa! Acha nichague mwenyewe wala mtu asiniguse! nilipotoka nyumbani, nilikuwa najua wapi naenda na kipi natakiwa kufanya. Please naomba wewe mwenye mkoba wangu unirudishie maana hujaonesha ustaarabu" Regina aliwambia madereva hao kisha akapewa mkoba wake na kuushika mkononi.

Baada ya maneno yake hayo, alimchagua Jacton aweze kumsafirisha kutoka Kimara mpaka Makumbusho. Kwa kuwa hela alikuwa nayo, wala hakujali kikubwa awahi kazini.

Baada ya kupata nafasi hiyo, wenzake walianza kushangilia huku wakiwa hawaamini kama Jacton ameweza kumbeba mrembo huyo aliyekuwa amejaliea kila aina ya uzuri.

"Oyaaa mwana....ngoma kali hiyo usiiache hata kidogo!! Ukirudi hapa njoo na majibu ya uanaume sio porojo...hahahaha" Dereva bodaboda hao walingea huku wakiachia kicheko.

Regina ni mrembo sana kiasi kwamba kama isipokuwa makini, unaweza kugongwa na gari barabarani kutokana na mshangao wa mrembo huyo.
Umri wake ni miaka 25 huku akiwa mrefu wa wastani mwenye tumbo mithili ya nyigu lakini mwenye kubarikiwa wowowo ambalo unaweza kuweka kalamu ikashindwa kudondoka kabisa.
Macho yake ni makubwa wastani huku pua yake ikiw ndefu kama mzungu bila kusahau ngoza yake nyororo ambayo ilikuwa na rangi nyeupe kwa mbali. Sauti yake ni kama ya kinanda huku akiwa anapenda kuvaa viatu virefu na sketi zenye mpasuo zinazoonesha miguu yake ambayo imeshiba kama miguu ya bia.

Ama kweli kumuelezea Regina unaweza ukakesha bila kummaliza na ndio sababu ya Moses mwenye miaka 55 ambaye ni tajiri mkubwa jijini daresalaam alipoamua kumuoa mrembo huyo kwa garama kubwa.

Safari ya kuelekea makumbusho ikiwa inaendelea, Jacton aligeuka kidogo kwa nyuma na ndipo alipoyaona mapaja ya mrembo huyo kwani sketi yake ilikuwa imepanda kwa juu kidogo.
Asee akili yake ilimtoka kabisa mpaka mwili ukamsisimka gafla lakini hakuwa na chakufanya kwa wakati huo.

Wakati anaendelea kushangaa, alianza kupunguza mwendo kisha akaona hiyo ni fursa ya kumpata mrembo huyo aliyeumbika na kwelikweli.

"Sorry naomba unisogelee maana humu barabara ina matuta mengi ambayo yanaweza kukusababishia udondoke" Jacton alimwambia Regina huku lengo lake likiwa ni kupata hata joto tu.

"Sawa ngoja nisogee ila unaendesha vizuri nitakuwa mteja wako" Regina alimsogolea Jacton huku sketi yake ikiendelea kupanda kwa juu.

"Ohoo asante..utanipatia namba ya simu ili iwe rahisi kuwasiliana" Jacton alimwambia huku hali yake ikiendelea kuwa mbaya.

"Sawa ngoja nikishuka nitakupa namba..."Regina alimwambia Jacton.

"Sawa ila kweli wewe ni mrembo sana yaani na umri wangu wote sijawahi kuona mwanamke mzuri kama wewe! sijui umezaliwa kweli na binadamu wa kawaida au umeshuka kutoka mbinguni?" Jacton alimuuliza mrembo Regina huku kwa mbali akiwa anatetemeka.

"Mhhh...wewe kijana unamambo kweli..mbona mimi wa kawaida sana ..?" Regina alimjibu kwa sauti ya kinanda huku akionyesha mwanya wake kwenye meno yake meupe kama chokaa.

"Aisee nimekupenda bure....sijui kama unaweza kunikubaria ..." Alimwambia kama utani.

"Umechelewa mimi ni mke wa mtu tayari...ila usikate tamaa utawaona wazuri tena zaidi yangu" Regina alimwambia Jacton

"Hee!! umeolewa kweli! .." Aliuliza kwa mshangao.

"Ndio kwani huamini? Tumefunga hata ndoa.."alimjibu.

"Sawa bwana ila sio mbaya hata ukiwa na mimi..." Jacton alimwambia

"Ni ngumu sana kwangu..." alimjibu kwa ufupi.

Baada ya ya mda mfupi hatimaye waliweza kufika Makumbusho kisha Regina akashuka na kufungua mkoba wake ili aweze kumpatia malipo yake.

"Iache tu utanipaga siku nyingine kwa leo nimekupa ofa . Jioni nikufate saa ngapi?"
Jacton alimuuliza.

"Jamani asante tena ubarikiwe. Jioni kwenye mida ya saa 11 na nusu jioni" . Alimjibu.

"Sawa kazi njema" Jacton aliaga kisha akageuza na kuanza kurudi kijiweni mwake.
Wakati anarudi, alijihisi mwenye furaha huku akiwa na matumaini makubwa ya kumpata mrembo huyo.

Baada ya kufika kijiweni, wenzake walimshangilia kwa makelele makubwa huku wakisubiri awepe mrejesho.

"Ayaa..mwana tupeni mrejesho au ndo umeshindwa kutema cheche" Walimwambia

"Wee..mimi sio kama nyie, mtoto kaingia kingi na nimechungulia paja lake duuuh...yaani ni zuri balaa hata kama una njaa ukiona hapo lazima iishe" Jacton aliwambia wenzake huku akiwa anarusharusha mikono yake.

"Hahaha...yaani wewe tunayekujua ndo umpate mrembo huyo! kwanza huna pesa utampa nini maana nywele zake tu ni laki 3 rosheni yake anayotumia ni laki moja, nguo viatu na vingine hivyo ndo usiseme...hapo huwezi kufanikiwa hata kidogo" walimwambia kisha wakaangua kicheko.

"Ayaa subiri maana jioni namfata tena naenda naye mpaka nyumbani kwake na ikiwezekana nita..." Jacton aliwambia

Siku hiyo Jacton alishida na wasiwasi huku mda wote akiwa anaangalia kwenye saa yake kuona kama mda umefika au la.
Kila baada ya nusu saa, hakusita kutizama kwenye saa yake hiyo mpaka akaona kama vile mda umeganda.

Baada ya kusubiri kwa mda mrefu hatimaye mda ulikaribia ndipo alipoanza safari mdogomdogo mpaka makumbusho.
Haikuchukua mda mrefu ndipo Mrembo Regina alipofunga ofisi kisha akampigia Jacton na uzuri alikuwa karibu na maeneo hayo.

Mda si mrefu Jacton aliwasili kisha wakaanza safari ya kuelekea kimara. Wakiwa ndani ya safari Jacton alianza kumuuliza Regina baadhi ya maswali ..

"Mme wako kwa mda huu atakuwepo nyumbani?" alimuuliza.

"Hapana yupo kazini mpaka saa 5 usiku ndo anarudi" alimjibu.

"Kwanini umeniuliza hivo?

"Nilitaka kujua tu"

"Ayaa bwana..."

Baada ya safari ya mda mrefu kidogo, hatimaye waliweza kufika nyumbani kwa Regina kisha akamkaribisha Jacton ndani.
Jacton alipaki pikipiki yake nje kisha akaingia ndani huku akiomba apate hata busu tu halafu ageuze.

"Karibu hapa ndo nyumbani jisikue upo nyumbani" Regina alimwambia Jacton kisha akazama chumbani na kuvaa kubadilisha nguo.

Baada ya kutoka chumbani, Jacton alishangaa kuona umbo la mrembo huyo ndani ya kanga moja ndipo mizuka ilivyozidi kumpanda kisha....

####....

SIMULIZI HII IMEKAMILIKA MWANZO MPAKA MWISHO YAANI
 
Umenichosha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom