boda boda

Boda bodas are bicycles and motorcycle taxis commonly found in East Africa. While motorcycle taxis like boda bodas are present throughout Africa and beyond, the term boda boda is specific to East Africa. In Kenya, they are more frequently called piki pikis. Their ubiquitous presence in East African cities is the result of a number of factors including an increasing demand for public transit, the ability to purchase motorcycles on credit, and an influx of cheap imports from Indian manufacturers like Bajaj. In the countries where they are present, boda bodas can provide transportation options to riders and job opportunities to drivers while at the same time resulting in an increase in road hazards and collisions and unnecessary injuries and deaths.

View More On Wikipedia.org
  1. MIHULU

    JamiiForums Tanzania Boda boda na wake zetu

    Aiseee leo nilimpeleka wife saloon na usafiri wangu, akanipa cash nijaze mafuta ili nimfate baadaye. Wote ni watumishi. Ile kamaliza, katuma text “nimemaliza,” nikaanza kujipanga nimfate, mara namuona kaibuka home. Nikamuuliza umekujaje, akasema kampigia boda. Nikamuuliza ulipo text ukaona...
  2. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Vituko vya boda boda. Tupia picha au clip tufurahi/tucheke

    Weka picha ama clip ya bodaboda yenye maudhui ya kuchekesha ama kufurahisha
  3. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Boda boda ni hatari na nusu angalia hii video

    Boda boda baadhi yao sijui hawajui sheria au wanakuwa na haraka wanawahi wapi
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Rai yangu ni picha za majeruhi hoi na kukatwa viungo kutokana na ajali za boda zisambazwe kwa hawa madereva boda boda labda wanaweza kubadirika.

    Yani boda boda na kujitoa ufahamu..:👇🏻
  5. W

    JamiiForums Tanzania Boda boda wa KIVUKONI ni kero kubwa kwa watembea kwa miguu

    Boda boda wa KIVUKONI ni kero kubwa abiria watembea kwa miguu wanapata shida kutembea kwa uhuru hadi kuna Wakati mwingine wanaleta msongamano kwa kupaki bodaboda zao kati Kati ya barabara za watembea kwa miguu .Naomba Mamlaka husika iwataftie eneo maalumu kwa ajiri ya kusafirisha Abiria.
  6. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kama hakuna ulazima wa kupanda boda boda, usipande!

    Ikiwa hakuna ulazima wa kupanda Boda , basi usipande.
  7. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Magari na boda boda vinatumaliza kimya kimya

    Wasalaam. Kila kitu kizuri kina ubaya wake. Kama ilivyo umeme, maji kukurestisha in Peace ni dakika 2. Magari na piki piki vinatumaliza sana now days. Unanunua kagari kako unavimba nako kanakurestisha in Peace. Ajali zimekua nyingi nowadays; sijui chanzo ni nini. Kuna hii matairi kubust nayo...
  8. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Boda Boda Delivery Driver at LZ Fish Suppliers June 2025

    Location: Dar es Salaam – Mbezi Beach, Mbweni, Bunju, Tegeta, Mikocheni, Masaki, Oysterbay, and surrounding areas Job Type: Full-time / Part-time / Contract Reports to: Transport Supervisor Job Summary: We are seeking a reliable motorcycle delivery driver to deliver goods to customers...
  9. ommytk

    JamiiForums Tanzania Hivi kuwa boda boda mwisho umri gani nataka nikajribu upande huo maana hali tete

    Wadau msaada maana hali tete sikujipanga kimaisha naona naelemewa na maisha sasa naona kazi ya haraka ni boda boda Ila mimi umri umeenda sasa sijui naweza pambana uko
  10. M

    JamiiForums Tanzania Heche Boda Boda wote kulipwa Pensheni,Lema kazi ya Boda Boda ni Laana

    Makamu mwenyekiti wa chadema akiwa anahutubia wananchi ameahidi ya kwamba sera ya chadema ni kuhakikisha ya kuwa kila boda boda hapa nchini analipwa pensheni .Je mzee Lema aataendelea na msimamo wake kuwa boda boda ni kazi ya laana?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Boda Boda wote kulipwa Pensheni,Lema kazi ya Boda Boda ni Laana

    Makamu mwenyekiti wa chadema akiwa anahutubia wananchi ameahidi ya kwamba sera ya chadema ni kuhakikisha ya kuwa kila boda boda hapa nchini analipwa pensheni .Je mzee Lema aataendelea na msimomo wake kuwa boda boda ni kazi ya laana?
  12. Amani Girls Organization

    JamiiForums Tanzania Boda Boda Hero: Pius Takes a Stand for Girls' Rights

    Pius, a boda boda rider from Bwiru B – Mwanza, has shown tremendous change in protecting his community against acts of gender-based violence and exploitation. One day, while going about his business and carrying a passenger, he came across an older woman beating an adolescent girl by the...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua wengi wao wa hawa wenzetu boda boda hawako stable katika fikra zao tazama hii video aliopost Samatime

  14. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bodaboda waaswa kutotumika kisiasa mwaka huu wa uchaguzi

    Maafisa Usafirishaji (Madereva bodaboda) wametakiwa kupambana dhidi ya vitendo vya rushwa kwa kutokuwa tayari kutumika kwa namna yoyote katika vitendo vya rushwa katika kipindi hiki kuelekea Uchaguzi mkuu 2025. Wito huo umetolewa leo Aprili 17, 2025 na Mkuu wa Dawati la Elimu kwa Umma TAKUKURU...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Polisi wapita Vijiweni na kutishia madereva boda boda, wawaone kwenye misafara ya CHADEMA

    CCM kama hamtaki bora ipitishwe sheria bungeni ya kufuta upinzani , haiwezekani muanze kutuma askari polisi wapite kwenye vijiwe vya bodaboda na kuwatisha kuto shiriki kwenye mikutano na mikusanyiko ya upinzani kwanini mnawapangia wananchi ?
  16. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha; Boda Boda auwawa kinyama na mwanamke Kisha achomwa Moto

    Tukio hilo la kusikitikitisha na la aina yake limetokea katika kata ya Ungalimited ambapo kijana mmoja ameuliwa kinyama na mwanamke mmoja Kwa kushirikiana na baadhi ya vijana. Jana wakati mechi ya Yanga ikiendelea Kuna bodaboda aliibiwa pikipiki yake wakati akiangalia mpira maeneo ya katikati...
  17. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Kuna jamaa hapa mtaani anashinda ndani asubuhi mpaka usiku ila anakula na kuvaa vizuri kazi yake haijulikani

    Wakuu hapa mtaani Kuna jamaa tunashindwa kumuelewa aisee kiufupi kama mnavyojua Ili mtu uishi vizuri ni lazima ufanye kazi Sasa huyu mshikaji yeye anashinda ndani asubuhi mpaka usiku akitoka kutembea siku Moja Moja na hapo ni misele tu kijiweni sio kwamba labda anaingia kazini ila anakula...
  18. second9

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu matukio ya Boda Boda!

    Part 1: Hawa boda boda nilikuwa nawachukulia poa sana ila kuna siku jamaa alifanya jambo positive sana kwangu nikaona kumbe zile speed zao muda mwingine wanawahi kusave maisha ya watu. Jamaa nilimuagiza apeleke dawa sehemu ambayo najua kwa gari huwa natumia 1hr na ikiwa public hata masaa 3...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Boda boda Boxer iliyotumika inauzwa 1.3M

    Boda boda use inauzwa , bei ni 1.3M. Boxe BM , inamarekebisho yatahitajika kama laki 4. Ipo Dar es salaam , kitunda. Namba ya simu/ whatsapp 0754200363
  20. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM, Geita: Boda boda Nyang'hwale msijihusishe na shughuli za kiuhalifu

    Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) wilayani Nyangh'wale Mkoani Geita wameaswa kutojiusisha na Vitendo vinavyoweza kupelekea kuvunja amani sambamba na kutojihusisha na Shughuli za kiuhalifu . Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread...
Back
Top Bottom