boda boda

Boda bodas are bicycles and motorcycle taxis commonly found in East Africa. While motorcycle taxis like boda bodas are present throughout Africa and beyond, the term boda boda is specific to East Africa. In Kenya, they are more frequently called piki pikis. Their ubiquitous presence in East African cities is the result of a number of factors including an increasing demand for public transit, the ability to purchase motorcycles on credit, and an influx of cheap imports from Indian manufacturers like Bajaj. In the countries where they are present, boda bodas can provide transportation options to riders and job opportunities to drivers while at the same time resulting in an increase in road hazards and collisions and unnecessary injuries and deaths.

View More On Wikipedia.org
  1. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Bodaboda ni kazi iliyo na vijana wengi kuliko kazi yoyote nchini

    Hayaa sasa anaye bisha aje na yake anayoona inaizidi bodaboda tumuone.Na ukiwekeza kwenye boda boda ujue unakula faida nyingi sanaa . Shtuka
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bodaboda nao waomba kusafiri na Rais Samia kwenye ziara za nje ya nchi

    Baadhi ya waendesha pikipiki Jijini Dar es Salaam wameomba kuambatanishwa kwenye ziara za Rais Samia Suluhu Hassan anazozifanya nje ya nchi kwa lengo la kuboresha utendaji kazi wao. Maombi hayo yametolewa hivi karibuni katika kikao cha Baraza la Biashara la Mkoa wa Dar es Salaam ambapo bodaboda...
  3. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Mwendesha Bodaboda, kama unapenda kuishi, pitia hapa!

    Kutokana na changamoto za waendesha Pikipiki, nimeona niwakumbushe tena kwani wengi hufanya mzaha barabarani bila kujua kuwa Mwili wao ndio bodi ya pikipiki! 1. Usikae ubavuni mwa gari, kwa kuwa hutajua maamuzi dereva wa gari anayotaka kufanya. Gari inaweza kupinda kushoto au Kulia bila...
  4. msomi duni

    JamiiForums Tanzania Kuendesha boda boda ni kazi kama kazi nyingine msichukulie poa

    Bila kupepesa maneno nyie wana jf mkiona hadi kijana anaendesha bodaboda ujue hana option ya kujikwamua kimaisha sio kila mtu anatoka familia zenye uwezo sometimes bodaboda ndio only option mtu anakuwa nayo na pia ajali sio lazima asababishe yeye kuna kusababishiwa pia. Maswala ya kuona mtu...
  5. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa abiria wa Bodaboda; Usipande bodaboda kama...

    Kama unatumia Bodaboda hasa maeneo ya MJINI pitia hapa! 1. Usipande bodaboda isiyokuwa na vioo vya pembeni (saiti mira) – side mirror Pikipiki ambayo haina vioo vya pembeni, dereva haoni gari linalokuja nyuma au hata akitaka kupinda, haoni nyuma hivyo uwezekano wa kugongwa ni mkubwa sana; ni...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Majirani zetu Kenya na Uganda wana bodaboda wasiyozingatia Sheria kama Tanzania?

    Wakati mashindano ya AFCON yalipokuwa yanafanyika huko Ivory Coast, nilimsikia mmoja wa wanahabari aliyekuwa huko akituhabarisha kilichokuwa kinaendelea akisema boda boda wa huko wana nidhamu sana. Wakifika kwenye taa za barabarani wanasimama mpaka pale taa ya kijani itakapowaruhusu kuendelea...
  7. Desierto

    JamiiForums Tanzania Kazi ya bodaboda inaenda kuwa ni ya kihuni

    Kwanza kabisa ni kazi isiyokuwa na taaluma, mtu yoyote tu anaifanya. Serikali haiitambui rasmi. Sehemu ya kwenda kwa buku tokea 2015 mpaka leo bei ni ile ile. Ukimuacha abiria kiss anakupa 1000 sehemu ya kwenda kwa 2000, anapita mwenzako anambeba kwa hiyo hiyo 1000. Ukiingiza 15000 kwa siku...
  8. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Arusha: Hakimu Benson Ngowi(32) anashikiliwa na Polisi kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29

    Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Loliondo,Benson Ngowi(32) anashikiliwa na jeshi la Polisi katika kituo cha Loliondo,Wasso kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29 mkazi wa Wasso wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha. Hakimu huyo, ambaye pia alifanya kazi ya uwakili kwenye Kampuni ya...
  9. X

    JamiiForums Tanzania Boda boda namba D inauzwa. TVS

    imeuzwa!!
  10. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Salamu zako kwa bodaboda

    Habari!! Ndugu zangu katika Mipaka hii ya jamhuri ya muungano mimi ni mwananchi mwenzenu ambaye ni mkazi wa jiji la dar es salaam ila heka heka zangu zinanipeleka muda mwengine visiwani na baadhi ya mikoa na kwasasa nimerudi tena dar es salaam. Uwepo wangu katika jiji la Dar es salaam kwa hivi...
  11. Stroke

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kweli ndoa ngumu, binti anataka kuolewa na boda boda

    Nasikiliza mazungumzo ya mama na binti yake hapa. Binti anajaribu kumshawishi mama yake amruhusu aolewe na dereva boda boda. Binti: lakini mama huyu ni muelewa. Mama : kwanini usitafute kijana msomi kama wewe. Hivi kweli biashara zao zinaweza kuendesha kweli?? Binti ni pisi kali mno...
  12. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Bodaboda mnanimaliza, hata IGP Wambura hawawezi

    Hii nimeona leo mitaa ya Bunju! Bodaboda kwa sasa jijini Dar ni donda lisilo na dawa. Hata akiiona hali hii IGP Wambura atatamani arudi kozi ya utrafiki CCP, Moshi
  13. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania IGA siyo kwa mawakili wanaogonga mikataba ya boda boda

    Wakuu, ili suala la IGA ni technical Siyo kila wakili au mwanasheria anaweza akalitolea ufafanuzi au akaliingilia. Mawakili waliozoea kugonga mikataba ya kuuziana boda boda au bajaji hili suala liko way far out of their knowledge and capability. IGA is not for every advocate or lawyer, its...
  14. Stroke

    JamiiForums Tanzania Boda boda wanajua kuaibisha sana

    Hivi kwanini boda boda akimchukua mtu kumpeleka mahali lazima amshushe mlangoni kabisa kila mtu ajue mhusika kaenda nayo halafu sauti inakua kuubwa mziki kila mtu anasikia. Mtu anaenda kempiski unamshushia pale reception nomaa sana. Mjiongeze jamani.
  15. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuanzisha/ kuendeleza/ kuimarisha biashara ya mikopo (kukopesha fedha) waangalie Bodaboda, ni chimbo la uhakika

    Habari JF, Nawaleteeni hii Fursa muitazame kiundani ikiwezekana ichukue ifanyie kazi. Kama una mtaji unaojitosheleza, anzisha biashara ya Microfinance (mikopo ya kifedha) Baada ya hapo anza na hili kundi la Bodaboda ambao ni wepesi sana kuleta marejesho kwa wakati. iko hivi, boda boda are...
  16. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Jihadhari na huu Utapeli wa kumdhamini tapeli kwa boda boda

    Aisee tujihadhari na huu wizi, Leo Nikiwa ofisini namba +255694480796 Ikanipigia Ile napokea tu jamaa akajitambulisha ni mwalimu magunga shule ya msingi ameomba namba yangu hapo kwa mtu, Ananiomba nimpe namba ya kijana wa piki piki ninayemuani chap ana haraka sana! Basi Mimi Bila kuwaza...
  17. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Bodaboda haina madhara ama ni hofu na woga wa wanasiasa unaowafanya wagombane?

    Lema alichokisema kuhusu boda boda kina ukweli ndani yake ama ni uongo na uzushi wake? Kitaalam kuendesha boda boda bila ya kuvaa "Vest" kunaweza kumsababishia mwendeshaji "Pneumonia" ama afya zao ziko salama. Hivi CCM wanajua tofauti kati ya Kazi na ajira? Kisheria kuendesha Bodaboda ni kazi...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Hata wanaotengeneza hizo boda boda hawafanyi kama ajira

    Bongo nyoso, yaani hili swala nyuma yake kuna vigogo wanaouza hizo boda boda ndio maana wanakingia kifua kulinda biashara zao. Boda boda ina risk kubwa sana. Serikari isikwepe jambo hapa. Hakuna ajira hapa
  19. Kwitogelo

    JamiiForums Tanzania Bodaboda na Walimu wote ni madaraja ya wanasiasa kufikia malengo yao

    Kipindi cha kampeni bodaboda hufanya amsha amsha ya mitaa na kuhadaiwa na wanasiasa kuwachagua kwa ahadi fulani. Baada tu ya uchaguzi kuisha hudharauriwa na wanasiasa kama walivyodharauriwa na Lema. Walimu hawa kazi yao haitofautini sana na bodaboda katika kuwafikisha wanasiasa pale...
  20. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Bora kuwa huru ukiendesha bodaboda Tanzania kuliko kuwa mfagia vyoo wa Canada

    Kuna watu wanakimbilia nchi za ughaibuni wakifika huko ndio wazoa takataka majalalani waosha vyombo migahawani wazibua vyoo vya wazungu hafu wakija huku wanawaletea dharau watanzania wenzao. Lema kwa kazi ya kufugwa na wazungu ni bora ungebaki bongo uwe chawa wa wazungu.
Back
Top Bottom