BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 6,238
- 11,907
Wasalaam.
Kila kitu kizuri kina ubaya wake. Kama ilivyo umeme, maji kukurestisha in Peace ni dakika 2. Magari na piki piki vinatumaliza sana now days. Unanunua kagari kako unavimba nako kanakurestisha in Peace.
Ajali zimekua nyingi nowadays; sijui chanzo ni nini. Kuna hii matairi kubust nayo huchangia sana. Je, matairi hayajatengenezwa vizuri au?
Nini kifanyike kupunguza ajali?