KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,516
- 89,013
Ilikuwa ni mchana fulani hivi ambao ulikosa jua!, bali mawingu na dalili hafifu ya mvua ndio ilitamalaki.. nikiwa na toto la kimarekani limepanda hewani uno fulani la mijazo na unyonyo wa wastani huku akibarikiwa ka rangi kama ka uchotara wa kupakua!.. ilikuwa tumekaa zetu sebuleni tukipata mvinyo hapo ulikuwa ni mwendo wine after lunch, yeye alikuwa na white wine nimeisahau jina nami nilikuwa nikijipindua na ka red wine nikimix na coca baridi!.
Stori mbili tatu wakati huo nilikuwa nimeunga Bluetooth nimeweka playlist ya R&B zakinyamwezi sauti kwa mbali!.. katika hiyo playlist ikafikia huu wimbo bhana!.
Nikaona mtoto kasimama akaenda kuongeza sauti mpaka pale alipohitaji na kusema kweli mkito ulikuwa wa haja!, akarudi akachukua glass yake akapiga funda moja akarudisha glass, si akaanza kulisakata!.. mi nikabaki nakamshangao kwa mali lakini nikawa naelewa hawa watu wa mambele hivi ndo vitu vyao.
Nikawa kama simuoni ila namuangalia kwa kuibiaibia navunga kuchezea simu!, sasa kadri wimbo unavyozidi kwenda mbele nikawa naona kama mbona yupo serious!.
Mara ageuke, mara azungushe kiuno apige step kadhaa kadhaa kama alizokuwa akipiga Aaliyah mwenye wimbo!, hapo nikaanza kuvutika sasa!, biti likigonga hivi mtoto yumo... Wimbo ukinyumbulika vile nayeye humohumo, haikuwa tena serious bali ufundi stadi wakucheza!, nikaacha kuchezea na simu nikaweka na nne nikaanza kumuangalia vizuri!.
Akiwa kaliangua tabasamu malidadi huku nayeye akiniangalia alikuwa akikivumisha kiuno chake kushoto kulia halafu akisogea kwa mbele kwa hatua mbili nakurudi nyuma!, ilikuwa ni picha tamu sana walahi!.
Na vile alivyokuwa amevalia kimini kimeishia mapajani na kitop kikiacha kitovu nje ndo kabisa kiberenge wa watu nilipagawa kama nimeona kiumbe kutoka sayari isiyofahamika huko!.
Red wine kichwani, muziki ndo huo na mtoto ndo huyo amejazwa baraka sio mbele sio nyuma!, ijapokuwa usiku wake tu nilikuwa nimemtafuna kwa ule uchezaji wake nikaona mbona kama sijafaidi vingi vya huyu mnyamwezi wakimarekani!.
Aliporudi mezani kuichukua glass yake ya wine nakuiduguda yote ndipo hapo akanishika mkono nakuninyanyua twende tukalisakate!.
Lakini shetani nisieacha mbachao kwa msala upitao ile nainuka tu mtoto kuniangalia akakuta mali yangu ya uma ilikuwa imeshanyanyua pensi yangu vilivyo!, alibaki kucheka tu akaniacha kwanza akarudi mwenyewe kumalizia kucheza!, nikaona usinitanie nikamfata akawa akicheza nami napeleka uno langu akienda kulia nipo kushoto nipo!, lilivyokuwa linamgusagusa hakuwa na namna ile wimbo unaishiaishia tu nikamnyanyua!.
Huu wimbo umebaki kama alama kumkumbuka na kuikumbuka siku hiyo!, hata ile dhana yakusema watu nje bara la africa hawajui kucheza huyu mtoto aliizika siku hiyo!, nitamaliza siku nzima ya leo nikiusikiliza huu wimbo na red wine pembeni japo ki single single!..😅