black

  1. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania Full Time: Young Africans SC 2-0 Singida Black Stars | CRDB Federation Cup | Final | New Amaan Stadium | 29.06.2025 | Yanga Bingwa

    Match Day. #Daimambelenyumamwiko# Kikosi cha Yanga Kinachoanza. Kikosi Cha Singida Black Stars
  2. Think2

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kuweka kioo Aquos sh-01k black

    Kwema wanajf, kwa yeyote anaejua gharama ya kueeka kioo kipya cha simu aina ya Aquos tajwa hapo juu naomba anisaidie .
  3. R

    JamiiForums Tanzania Africa needs a second wave of Liberation/independence struggle against fellow Black colonialists

    Pieter Willem Botha, of South Africa, 1988. "Black people cannot rule themselves because they don't have the brain and mental capacity to govern a society. Give them guns, they will kill themselves. Give them power, they will steal all the government money. Give them independence and...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Timu kususia mechi za Ligi, Bodi ya Ligi (TPLB) wasema hatujapokea barua ya malalamiko kutoka timu yoyote, hata Singida Black Stars

    Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imethibitisha kuwa haijapokea barua yoyote ya malalamiko kutoka kwa klabu yoyote inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC wala NBC Championship hadi sasa. Taarifa hiyo imetolewa na Afisa Habari wa Bodi hiyo, Karim Boimanda, ambaye amesema kuwa hata klabu ya Singida Black...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Singida Black Stars imewasilisha rasmi malalamiko TFF kufuatia mechi dhidi ya Simba SC

    Klabu ya Singida Black Stars imewasilisha rasmi malalamiko kwa mamlaka za soka nchini, ikiwemo Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), baada ya kutoridhishwa na mwenendo wa mchezo wao dhidi ya Simba SC uliochezwa jana Mei 28 kwenye Uwanja wa KMC Complex. Katika mchezo huo, Simba iliibuka na ushindi...
  6. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania Nini hatima ya timu za Namungo & Singida Black Stars baada ya Uchaguzi Mkuu?

    Wote tunajua, hizi ni timu zinazomilikiwa na wanasiasa. Nini hatima ya timu hizi baada ya uchaguzi mkuu endapo wamiliki wake hawatorudi kwenye nafasi zao?
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Benchi la ufundi Singida Black Stars ladai mishahara ya miezi miwili

    Inadaiwa kuwa benchi la ufundi la Singida Black Stars halijalipwa mshahara kwa miezi miwili hadi sasa. Taarifa zinaeleza kuwa uongozi wa timu hiyo umetoa kipaumbele kwa mishahara ya wachezaji, huku benchi la ufundi likikabiliwa na hali ngumu, hasa wakati huu wa kuelekea Sikukuu ya Eid.
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Singida Black Stars yamtangaza Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Mlezi wao

    Klabu ya Singida Black Stars imemtangaza Waziri wa Fedha na Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, kuwa mlezi wao rasmi. Awali, Dr. Mwigulu alikuwa akishiriki kama mdau wa kawaida kwa kutoa michango yake kusaidia timu hiyo, lakini sasa atakuwa na nafasi kubwa katika kuiunga...
  9. Infropreneur

    JamiiForums Tanzania Black people hate everything about slavery except religion

    As the oldest profession of physical deception is prostitution, the oldest profession of mental deception is religion. If the Europeans and Arabs kept their opinions about their God to themselves, we will not be having Christianity and Islam in Africa. But because you are now a christian or...
  10. Damaso

    JamiiForums Tanzania Casting Captain America for Black Panther movie (parody)

    These are the possibility of actors to be casted (don't take it seriously 😃) Tom Cruise John Depp Samuel Jackson Morgan Freeman The Rock Arnold Schwarzenegger Rambo The Taker Freelancer Dr. John Sins
  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mpingo: Black is beauty

    African Blackwood, mojawapo ya miti ghali na adimu zaidi duniani. Pia inajulikana kama "dhahabu nyeusi ya misitu". Rangi yake nyeusi kali na ugumu wa kipekee huifanya kuhitajika katika tasnia mbalimbali, kama vile utengenezaji wa vyombo vya muziki na fanicha nzuri. African Blackwood...
  12. ngara23

    JamiiForums Tanzania Singida Black Stars wamtolea uvivu coach Aussems na Crown FM Kwa kupotosha habari

    Singida BS wamesema kocha wao aliondolewa kikosini kwakuwa hakuwa na sifa za kukaa kwenye bench kutokana na kanuni na matakwa ya bodi ya ligi na TFF wala sio eti Kwa sababu alipanga kikosi kilichoipa upinzani Yanga Singida BS wameongeza kuwa coach Aussems alipenda maisha ya Anasa ya kula bata...
  13. Matteo Vargas

    JamiiForums Tanzania Kulikuwa na sababu gani Singida Black Stars kuanzisha wachezaji wengi wa kikosi cha pili wakati wachezaji kikosi cha kwanza wapo fit?

    Wakati najiuliza swali hilo hata mtangazaji wa Azam Sports Patrick Nyembera aliuliza wachambuzi wa Azam Sports swali hilo hilo. Lakini si mimi wala hao wachambuzi walikuwa na majibu ya kueleweka. Mbali na hilo licha ya kufungwa lakini Singida Black Stars ni kama walikuwa wanapoteza muda...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Yaani wachezaji wa Yanga jana wako harusini halafu leo wanawafunga kizembe namna ile, kwanini tusiamini kuwa nyie mko kimkakati zaidi katıka hii ligi?

    Timu yenu haifanani kabisa na mambo mnayofanya uwanjani, nyie mna wachezaji wenye quality ya kimataifa, nyie timu mkitaja kikosi tu watu hawaingizi timu uwanjani. Nyie mlitakiwa muwe mnaongoza ligi hadi ss tena mkiwa mbele kwa pointi 10. Mna wachezaji wazuri mno kuliko Yanga, Simba na hata...
  15. Dabil

    JamiiForums Tanzania Singida Black Stars kuchezesha wazawa leo ili kupunzisha mastaa wao wa kigeni

    Timu ya Singida Black Stars imetangaza kwamba mechi ya leo dhidi ya Yanga watapunzisha mastaa wao wa kigeni na kuchezesha wazawa ,wamedai wanapunzisha wachezaji mastaa kwa ajili ya game zinazokuja maana ratiba imekuwa ngumu. NB: Hii ni match fixing ya wazi,unapunzishaje wachezaji wenye uwezo...
  16. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Ukiwa mweupe uvae nguo rangi zipi na zipi usivae, je ukiwa black?

    eti wakubwa mwongozo unasemaje huko kwenu?
  17. A

    JamiiForums Tanzania Nyoka aina ya Black Mamba mawindoni

    Moja ya nyoka hatari kabisa anaeitwa Black Mamba akiwa kwenye mawindo, wale wa Tabora wanamuelewa sana huyo mwamba kabisa.
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Singida Black Stars yawabadilisha Uraia wachezaji wanne wa Kigeni na kuwa raia wa Tanzania ili Kukidhi Kanuni

    Singida Black Stars imewabadilisha uraia wachezaji wake wanne wa kigeni na kuwa raia wa Tanzania, Singida imefanya hivyo ili kukidhi kanuni ya kuwa na wachezaji 12 wa kigeni. Wachezaji hao ambao wamebadili uraia ni Emmanuel Keyekeh, Arthur Bada, Damaro Mohamedi na Golikipa Amas Obasogie...
  19. Damaso

    JamiiForums Tanzania Next Black Panther (Parody)

    Uvumi Unaenea Kuhusu ni nani anayeweza Kuchukua Nafasi ya Black Panther, huku kukiwa na tetesi zinaenea Hollywood kuhusu mustakabali wa filamu za Black Panther. Ingawa Marvel Studios haijatoa taarifa yoyote rasmi, watu wa ndani wanapendekeza kwamba mabadiliko katika kurudisha uhusika mpya wa...
  20. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Je ni Kweli Black men ni wana wanawake wengi zaidi ya Wanaume wengine wote?

    Kwenye kuzurura kwangu duniani kutoka Africa, Ulaya, Asia na Marekani; nimeona watu wengi wakiwemo wanawake weusi, wazungu, waasia wanasema black men most are cheaters na malaya kuliko hata wanaume wazungu na pia wanaume ambao wapo loyal sana na hawacheat ni wanaume wa Asia km Korea, China...
Back
Top Bottom