Nipo kaka, zinahitajika risasi kama 20 hivi kunidondosha 😁
Dah! Umenizindua usingizini ni kweli hayupo, sijuwi alienda kwenye maandamano akiwa amelewa kama kawaida yake ikawa rahisi kumshuti.min -me yuwapi
Daah tusiwaze hivyo jaman 😂Dah! Umenizindua usingizini ni kweli hayupo, sijuwi alienda kwenye maandamano akiwa amelewa kama kawaida yake ikawa rahisi kumshuti.
Hii siyo kawaida yake ujue.Daah tusiwaze hivyo jaman