25 January 2026
Amaan Stadium
Zanzibar Tanzania
MICHUANO KOMBE LA CAF SHIRIKISHO 2025 / 2026
Singida Black Stars SBS 1 - 0 Otôho d'Oyo ASO
Singida Black Stars SBS Timu ya Tanzania leo imepambana na klabu ya Otôho d'Oyo maarufu kama Association Sportive Otohô ASO ya kutoka Jamhuri ya Congo (Brazzaville) katika uwanja wa Amani Zanzibar
Matukio :
Dakika ya 37 '
Elvis Rupia anaipatia timu ya Singida Black Stars goli la kuongoza
Dakika ya 45 ' Half Time
Singida Black Stars 1 - 0 Otôho d'Oyo
Dakika ya 53'
Singida Black Stars 1 - 0 Otôho d'Oyo
Dakika ya 60'
Singida Black Stars 1 - 0 Otôho d'Oyo
Dakika ya 67'
Singida Black Stars 1 - 0 Otôho d'Oyo. Mabadiliko wachezaji wawili wa ASO wanapumzishwa kwa nguvu mpya ya wawili kutoka benchi kujaribu kubadilisha matokeo
Dakika ya 70'
Singida Black Stars 1 - 0 Otôho d'Oyo. Timu ya Congo inafanya shambulizi kali lakini SBS wanafanikiwa kuokoa hatari
Dakika ya 75'
Singida Black Stars 1 - 0 Otôho d'Oyo. Singida yampunzisha Guede, na Lyanga anachukua nafasi yake
Dakika ya 87'
Singida Black Stars 1 - 0 Otôho d'Oyo
Dakika ya 90'
Singida Black Stars 1 - 0 Otôho d'Oyo
Dakika 90' zaisha dakika 5' za majeruhi zaongezwa
FULL-TIME : Dakika ya 90' + 5'