black

  1. American nigga

    Toyota Rush 2018 Foreign Used, Petrol, Black, Automatic

    sold
  2. Waufukweni

    Pigo kwa Yanga: Pacome, Job na Damaro kuikosa mechi ya Singida Black Stars Machi 5, 2026

    Mabingwa watetezi Young Africans (Yanga SC) watashuka dimbani Machi 5, 2026 katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Singida Black Stars bila wachezaji Watatu muhimu, jambo linalopelekea pigo kubwa kwa matumaini yao ya kutetea ubingwa. Yanga watakuwa bila kiungo wao, Pacome Zouzoua...
  3. Meja Jenerali Isamuhyo

    Men in black + Polisi wa kutosha kwenye msiba wa Kadinali Pengo, Je alikuwa mserikali?

    Msafara wa msiba wa Kadinali Pengo ni wa aina yake. Kuna men in black, makarao wakiwa makini muda wote. Tunajua Pengo alikuwa kiongozi mkubwa wa dini, lakini kwa huu uzito aliopewq na gavoo mbona kama alikuwa mserikali?
  4. Kijakazi

    wachina wanapenda black people, eh?!

    wachina wanapenda black people, wala siyo wabaguzi ... https://www.youtube.com/watch?v=TmukzNMpca0
  5. B

    🔴#LIVE MATCH: AS otoho VS Singida black Stars || Mchezo Wa Caf Confederation Cup 1 February 2026

    01 February 2026 Stade Alphonse Massamba-Débat in Brazzaville Kutoka Uwanja wa Alphonse Massamba-Débat jijini Brazzaville, katika pambano muhimu la Kundi C la Kombe la Shirikisho la CAF. Katika pambano la mwisho kati ya timu hizo mbili, lililochezwa Januari 25, 2026 nchini Tanzania, Singida...
  6. B

    Full Time: Singida Black Stars 1 - 0 Otôho d'Oyo | CafCC | 25 Januari, 2025

    25 January 2026 Amaan Stadium Zanzibar Tanzania MICHUANO KOMBE LA CAF SHIRIKISHO 2025 / 2026 Singida Black Stars SBS 1 - 0 Otôho d'Oyo ASO Singida Black Stars SBS Timu ya Tanzania leo imepambana na klabu ya Otôho d'Oyo maarufu kama Association Sportive Otohô ASO ya kutoka Jamhuri ya Congo...
  7. Mshana Jr

    The black death:Kifo Cheusi: Safari ya Kutisha ya Tauni (1347–1351)

    ●Kutoka katika kalamu ya Chriss Gabriel Mwaluko huu ni uchambuzi wa kina wa The Black Death. Hii si hadithi tu ya ugonjwa, bali ni ushahidi wa kipindi ambacho dunia iligubikwa na giza, hofu, na mabadiliko makubwa yaliyozaliwa ndani ya maumivu Kifo Cheusi: Safari ya Kutisha ya Tauni (1347–1351)...
  8. M

    The Battle of Mogadishu “ala the Black Hawk Down” - October 1993

    The 1993 "Black Hawk Down" incident, known as the Battle of Mogadishu, was a fierce, protracted clash on October 3-4 in Mogadishu, Somalia, during Operation Gothic Serpent (which was a military operation conducted in Mogadishu, Somalia, by an American military force code-named Task Force Ranger...
  9. Damaso

    Racism ndani ya Call of Duty Black OPS 2

    Kilio cha majonzi kimeibuka katika jumuiya ya wachezaji wa Call of Duty baada ya kitendo cha kipuuzi na cha kibaguzi kufanyika ndani ya mchezo wa Black Ops 2. Yaan kuna majamaa mapuuzi yaliobeba chuki za kijinga yakabadilisha mhusika maarufu wa ramani ya Tranzit, Gremlin, na kuweka sura ya...
  10. Busu la Kenge

    Super black akifurahia maisha

    Picha inamuonesha mstaafu huyo akienjoy maisha sura ikiwa na nuru na bashasha huku moyoni akisema msemo wa Herode "nimenawa mikono".
  11. GENTAMYCINE

    Tumeshindwa kumtumia 'Super Black' wetu kwa miaka 10 tufanikiwe, acha Wao sasa wamtumie 'Skafu Skafu' wapige hatua zaidi yetu

    Na ndiyo maana nilifurahi mno kuona Super Black kachezewa mchezo alikokuwa na sasa hayuko kwani hakutusaidia.
  12. God is Dead

    Black supremacy

    Maadui zetu ni CCM au ni hawa wahindi na waarabu, wenye uraia wa Tanzania? Kama kazi ya Rais ni kuunda sera kwaajili ya kuleta maendeleo kwenye nchi. Mbona ndani ya Tanzania sera zinazoundwa huwa zinawanufaisha hawa kupe zaidi ya kumnudaisha mtu mweusi. Ni hawa kupe ndio wanaolinyonya na...
  13. ELI COHEN

    Red black, dosho12, lightsaber, kimya sana, hamis77, natumaini hamjambo?

    Red black dosho12 Light Saber Imetosha Sasa hamis77 Natumaini u are all alright friends🕊️🕊️
  14. Logikos

    Aliyesema "It does not matter if a Cat is Black or White so long as it catches Mice" - Angetwambia what if the Cats have turned in Mice ?

    In short Watatuzi wamegeuka kuwa Matatizo sio Waliopo au Wanaokuja...; Ni kama Mapaka yote yameungana..., ya Mtaani na Nyumbani kufuja mali ya Tajiri na yanafuja kweliweli kuliko hata wale panya walivyokuwa kabla hatujachukua uamuzi wa kuleta hawa Paka.... Ushauri wa Paka, It does not matter...
  15. Lattafa

    The Black Swan (Bata maji Mweusi) amefika au bado?

    The Black Swan: The Impact of the Highly Improbable by Nassim Nicholas Taleb Mwandishi Anasema : Black swan(Bata maji mweusi) ni matukio nadra saana kutokea, Ila yakitoke huwa ni extreme, makubwa ya kushangaza. Binadamu hujifunza tu pindi matukio fulani ya kushtukiza yanapotokea. Mifano...
  16. baz kaiza

    GE2025 Nina uhakika pasipokuwa na Mashaka kuna wanasheria wengi walikuwa hawajui black's law Dictionary

    Kuna wanasheria wengi walikua hawajui black's law Dictionary hii baada ya Lissu wanasheria wengi ndo wamefahamu hiki Kitabu
  17. DZUDZUKU

    Anatokaje black list bank?

    Salam. Kuna rafiki yangu mmoja ni mfanyakazi wa umma. Miaka 5 iliyopita alichukua mkopo bank x. Baada ya serikali kuleta mfumo mpya wa ESS akakuta bank x haipo kwenye orodha ya Mankato kwenye mshahara wake. Aka Kaa kama miez 6 hivi akaamua kukopa kwenye bank nyingine yaani bank y. Siku ya...
  18. Sky Eclat

    Schomburg Centre for Research in Black History

    151 years ago, Arthur Alfonso Schomburg was born in San Juan, Puerto Rico, to a black mother and white father who abandoned the household. He arrived in New York 17 years later. He was called the “Sherlock Holmes of Negro History” because of his ability to locate extremely rare or “presumed...
  19. mcTobby

    Picha za zamani za black and white huwa zinanipa huzuni nikizitazama

    Mara nyingi huwa naishia tu kuziangalia karibia lisaa tu nikitafakari sana 😢. Zinanipa hali fulani ya huzuni sio huzuni na sijawahi elewa ni kwa nini. Hata movies za Charlie chaplin hususani ile amecheza na kijana mdogo hivi ya black and white zinanipa huzuni sana.
  20. P

    I still have questions that I believe need scientific answers to prove that black people are truly humans

    I still have questions that I believe need scientific answers to prove that black people are truly humans created in the image of God the creator of the universe. The level of barbarism among black people is just insane. This doesn’t matter in which continent or part of the world they are from...
Back
Top Bottom