binti

Binti Jua (born March 17, 1988) is a female western lowland gorilla in the Brookfield Zoo, in Brookfield, Illinois, outside of Chicago, US. She was involved in an incident in 1996, in which she tended to a three-year-old boy who had fallen into her enclosure.
Binti Jua (whose name means "Daughter of Sunshine" in Swahili) is the niece of Koko, a gorilla whose linguistic accomplishments have been the subject of several scientific studies. Her mother, Lulu, was originally from the Bronx Zoo and died on January 24, 2011, after residing at the Columbus Zoo and Aquarium. Her father is Sunshine, from the San Francisco Zoo.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kijana usikubali kuwa kwenye mapenzi na binti mpumbavu

    Mtu mpumbavu hupimwa kwa yale yamtokayo moyoni mwake. Au hupimwa kwa chatting stylist yake. Binti unachat naye kidogo anaanza kuandika njaa inaniuma. Hajala anasema , anahitaji umtumie elfu 5 ya kula. Huyu ni binti mpumbavu, ukimwoa mtazaa watoto wajinga wenye mtindio wa akili. Elfu 2 anaomba...
  2. JamiiForums Tanzania KUNA BINTI ANATAFUTA KAZI YA DUKANI

    Iwe Duka La Jumla Au Reja Reja Ana Miaka 23 Elimu Ya Chuo Sema Ajira Ndo Alikosa Anatafuta Kazi Ya Duka La Jumla Au Reja Yupo Dar Mawasiliano Namna Ya Kumpata 0798461717
  3. JamiiForums Tanzania KUNA BINTI ANATAFUTA KAZI YA DUKA

    Iwe Duka La Jumla Au Reja Reja Ana Miaka 23 Elimu Ya Chuo Sema Ajira Ndo Alikosa Anatafuta Kazi Ya Duka La Jumla Au Reja Yupo Dar Mawasiliano Namna Ya Kumpata 0798461717
  4. JamiiForums Tanzania Binti wa Chuo anataka nimuoe na nimvumilie amalize masomo, najiuliza itakuwaje badae?

    Wapendwa katika Kristo, BWANA YESU asifiwe sana,, Asalaam Aleykum kwa Waislam wote ,Twende kwa maada wapendwa,kuna binti yupo kidato cha sita na atamaliza mwaka huu baadae ataenda chuo kama miaka mitatu japo sijajua atasomea nini,huyu Binti tupo nae mtaa mmoja japo kuna umbali kiasi na tunasali...
  5. JamiiForums Tanzania Fainali ya Kombe la Dunia Mtibeli nimepata Kadi ya Mwaliko kutoka kwa binti Salher. Imekwisha! Hata siamini

    Kachezeni mnapochezaga! Sitaki salamu zenu za kichawi msije nipotezea ndege wangu. Mlifikiri nimekwama na maisha yangu yataishia hapahapa ndani. Hahaha! Hamtaweza na mmeshindwa kwa jina lile la maajabu. Oooh! Mtibeli usitoe siri zako kuna watu watakuloga safari utajifia. Thubutu! Kusema nasema...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Huyu Binti naoa wiki hii hii sitaki nimeshindwa vumilia

    IPO hivi Kuna Binti nkutana nae kwenye gari muda natoka job sasa the way alivo alinivutia sana mwamba sikusita nikaomba namba nikampanga freshi. Kilicho nishangaza hakuonesha dalili za kutaka kukataa labda kama nilivozoea Yani tayari tumeshazoeana mpaka sasa anakuja mpaka getto kupika. Mimi...
  7. JamiiForums Tanzania Story ya binti alietoroka kwao baada ya kumaliza darasa la saba mwaka 2014. Baada ya kupatikana hiki ndio kisa chake.. Kuna kitu cha kujifunza hapa

    Shalom ndugu zangu. Nilipotelewa na mdogo wangu Lilian malisa miaka 12 ilopita. Mwezi ulopita niliomba msaada kwa wana FB kwa yoyote ambayo alimjua au kumwona. Nashukuru MUNGU kwa mawazo yenu, maombi yenu, na pia kwa yyte ambaye aliguswa kwa namna moja ama nyingine ili tu kunisaidia . MUNGU...
  8. JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi - Binti wa Kuuza Hardware

  9. JamiiForums Tanzania Binti alinisema sana kuwa amenizidi maisha ingawa shuleni nilikuwa kinara leo ameuza kila kitu anapitisha daftari ya kuchangiwa, kila siku meseji

    Maisha ni muvi. Mtaa niliokuwa nimepanga classmate ndio amekuwa amejenga nyumba. Siku wahi kujua alipata wapi pesa za maana hivi ila nachojua ni mrembo sana na ana makebo makubwa. Kipindi napalangana kuielea familia yeye alikuwa anaielea bmw yake alafu gari anaipaki lilipokuwa dirisha la...
  10. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti wa Miaka 14 'Aliyeuzwa' na Mjomba Wake saved from a 46-Year-Old Man A Dramatic Midnight Rescue

    Wadau, kuna story inasikitisha sana imetokea kule Kasarani, Nairobi. On May 7, 2026, Geoffrey Mosiria, ambaye ni Nairobi County Chief Officer for Citizen Engagement, aliongoza a dramatic late-night rescue operation. Walifanikiwa kumuokoa binti mdogo wa miaka 14, an Ethiopian national, aliyekuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Binti wa kiafrika alivyomteka Bob Marley kimapenzi

    Waliosema ukiachana na pesa, kitu kingine 'kinacho-run Dunia' ni mapenzi, wanathibitisha hili katika kisa hiki kifupi cha mapenzi. Pichani, anaonekana msichana mdogo akiwa ameketi chini na wazazi wake waliosimama. Picha hii ilipigwa mwishoni mwa miaka ya 1950 nchini Gabon. Msichana huyu akiwa...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kuna binti nilimtamani nikamtongoza kimafumbo lakini hiki ndo kilichotokea!

    Huyu binti nikimpigia, sio mara zote anapokea lakini akipokea anaongea kawaida na anajikuta ananiheshimu hadi kwa vitendo Nikichokishuhudia leo: Leo nimemshuhudia akiwa barabarani anaongea kwa simu, lakini body language yake ndio iliyonitanya niwaletee mrejesho huu. Japo alikua amebeba mzigo...
  13. JamiiForums Tanzania Vijana kuweni makini usiloweka kama hujacheki afya na huyo Binti usidanganywe na uzuri wa njee

    its weekend usijisahau ukaloweka kizembe..zinaa ni mbaya..kula gambe ukikaa vizuri upstairs tembea zako ghetto. #play SaFe
  14. M

    JamiiForums Tanzania Value ya wanawake inapungua haraka, Yule binti aliekuwa too hot tukiwa rika la 20s leo anajitongozesha kwangu tukiwa 30s nimlipie deni la elf 50

    Miaka hio tukiwa kwenye 20s hii pisi haikuwa type ya kawaida, kuitongoza unywe maji koo liyakauka na huambulii kitu, kichwani smart anajijua ni mashine yenye hadhi ya watu wa aina flani, n.k. Niliwahi kujaribu kutupia nyavu lakini niliambulia virungu vya ugoko na kuishia kuwaita mashem...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mwimbaji D4vd akamatwa kwa Mauaji ya binti wa Miaka 14

    Mwimbaji wa Marekani, D4vd, amekamatwa kwa tuhuma za kumuua binti mwenye umri wa miaka 14 ambaye alitoweka mwaka jana. Mwanamuziki huyo mwenye umri wa miaka 21 alikuwa chini ya uchunguzi na jury kuu baada ya mabaki ya Celeste Rivas Hernandez kupatikana kwenye gari lililosajiliwa kwa jina lake...
  16. JamiiForums Tanzania Face2Face with Bilionea Saidi Lugumi, Kumbe Story ya Kuoa Binti wa IGP Saidi Mwema ni Uzushi wa Uongo! . JF Tuacheni Uongo na Uzushi!, Unatuharibia!

    Wanabodi Niko kwenye ibada ya mazishi ya msiba wa jirani yangu mmoja, katika Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Parokia ya Bikira Maria Mama wa Huruma (BMMH), Mbezi Beach, Dar es Salaam ambapo nimekutana Face2Face with Bilionea Saidi Lugumi ambaye pia ni mmoja wa waombolezaji...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna binti anasema ana mimba yangu lakini sijajipanga. Nifanyeje?

    Kuna binti jana kaniambia ana mimba yangu aisee nimestuka nikatamani nimpasue Mimi ndio kwanza najitafuta miaka yangu 28 na tanzania maisha ni magumu kila siku yanazidi kuwa magumu Anataka kuniletea matatizo, halafu kibaya nimemuambia atoe anasema nisubiri ajifungue aniletee mtoto nimuue hivi...
  18. JamiiForums Tanzania Binti anayeonesha uchi mtandaoni ‘Live’, achukuliwe hatua haraka

    DAH tulipo FIKA SIO pazuri, Kuna HUYO Binti MTANDAONI huonyesha uchi wake live insta, ALAFU anafunika, SIJUI ni WA bongo hapa, KWA KWELI SERIKALI YETU msichekee HAYA MAMBO tuelekeako WATOTO wetu WA kike wataharibikiwa Kama tunaweza kulalamika acc za wanasiasa FULANI zifungiwee tunaomba na acc...
  19. O

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vya serikali ya Iran vinaripoti kwamba binti wa Khamenei ameuawawa.

    Vyombo vya habari vya serikali ya Iran vimeripoti kwamba binti yake Khamenei, mkwe wake wa kiume, mjukuu wake na mkwe wake wa kike wameuawa. Kwa mujibu wa taarifa za awali, vifo hivyo vinadaiwa kutokea kufuatia mashambulizi ya hivi karibuni yaliyoripotiwa kulenga makazi yake. Hata hivyo, maelezo...
  20. JamiiForums Tanzania Enzi zangu nikiwa Fisimaji binti kama Lucy mkatoliki wala asingepata muda wa kurekodi mavitu ya ajabu na kufanya hizo Drama

    Mtakuwa mmesahau! 1. Enzi zetu hizo, sio Zama zenu hizi Gen Z za kukata mayeno na kujirekodi. Au mwanaume kuchambana na kusutana kama wanawake. 2. Enzi hizo Sisi tulikuwa tunaitwa MAFATAKI. Weee! Wewe. Ulizeni muambiwe. Nyie si mlikuwa watotom tena wengine mlikuwa hamjazaliwa. 3. Serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…