binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Ukiondoa malalamiko yake binafsi, ukweli mchungu aliouongea Mbowe jana ni "tunaongozwa na wabunge ambao hatukuwachagua"

    Jambo la msingi nililoliona kwenye hotuba ya Freeman Mbowe jana ni ukweli kwamba tunaongozwa na wabunge ambao hatukuwachagua. Kwa mfano Babu Tale Kigwangalla, January nk nk walipigiwa kura na nani hadi wakafika bungeni. Kadhalika wakurugenzi ambao ni makada wa CCM ndio wasimamizi wa uchaguzi...
  2. J

    Ina maana Mbowe hana wahasibu na washauri wa kodi katika kampuni zake? Tusiichafue TRA kwa faida binafsi za kisiasa!

    Ninavyofahamu hata mzee Mgaya na lile duka lake la Hardware ana mhasibu na mshauri wa kodi ambaye husimama kama wakili wa maswala yake ya kiuhasibu na kodi. Ninavyojua ukiwa na kampuni ni lazima uwe na mhasibu na external auditor kwa mujibu wa kanuni na taratibu za TRA. Freeman Mbowe kuwa jela...
  3. Naanzisha maombi binafsi kwa ajili ya Simba,Nawashauri Simba hivi

    Mimi Ni Mtanzania,Mimi Ni mpenzi au shabiki wa Simba tokea nimezaliwa ila Ni mshabiki muoga,huwa naumwa Sana Simba ikicheza mechi nzito. Kuanzia leo naanzisha maombi maalum kuiombea Simba ishinde mechi zake zote zikizobaki,maana yake ichukue kombe. Kwa sisi waombaji na kwenye ulimwengu wa roho...
  4. Ushuhuda binafsi: Awamu ya tano niliishi kwa hofu

    USHUHUDA BINAFSI: AWAMU YA TANO NILIISHI KWA HOFU. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Nikiri wazi kuwa, licha ya kuwa mimi sio mwoga lakini siwezi ongopa kuwa sina hofu au wasiwasi. Hakuna binadamu asiye na mashaka, hofu na wasiwasi, labda kutofautiana kiwango cha hayo. Moja ya mambo ninayoyapenda...
  5. Mtu binafsi anaweza kumiliki soko?

    Kwa jina la jamhuri, Wakuu hivi kama nina kiwanja naona kimekaa sehemu nzuri naweza kukifanya kiwe soko? Yaani hapo kati nijenge au niwape watu wajenge meza za kuweka mambo ya mbogamboga, nafaka na vyakula vingine halafu pembeni nijenge furemu kuzunguka. Kama tu yalivyo masoko mengi. Hapo...
  6. Hoja binafsi: Vyama vya siasa viwe makini sana kwenye uteuzi wa wagombea wenza katika chaguzi zijazo ama sivyo Katiba imulikwe

    Wasalaam wakuu, Hili ni wazo langu tu kwaajili ya kuleta afya ya kiuongozi kwa Tanzania yetu ili kupunguza hatari za kiuongozi zinazoweza kutokea na nchi kujikuta ikiangukia kwenye mikono ya watu ambao hawakujiandaa kuwa kwenye nafasi fulani fulani za kiuongozi. Katiba yetu iko wazi jinsi...
  7. Mgombea binafsi Tanzania: Tatizo ni nini?

    Mahakama yasisitiza wagombea binafsi na Happiness Katabazi | Tanzania Daima Mahakama ya Rufaa Tanzania, imetupilia mbali rufaa iliyofunguliwa na serikali, ya kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kuruhusu kuwepo kwa mgombea binafsi katika chaguzi za Tanzania. Uamuzi huo...
  8. Taasisi ya fedha inayokopesha wafanyakazi wa sekta binafsi

    Heri kwenu wadau. Napenda kujua kama kuna taasisi inayotoa mkopo kwa wafanyakazi wa sekta binafsi (Mf. Shule za private n.k), masharti yake na makorombwezo mengine. Naona sekta nyingi zinakopesha wafanyakazi walioserikalini tu, wakati hata sisi wa private maisha yetu yanahitaji mkopo pia...
  9. L

    Nakaribisha Taasisi, Mashirika, Watu Mbalimbali na Mtu Binafsi Kufanya kazi na mimi.

    Taaluma yangu kwa upande mmoja ni Free Lance Photographer na base yangu ipo jijini Arusha. Nakaribisha watajwa hapo juu kwenye kichwa cha bandiko hili niweze kufanya kazi inayohusiana na career yangu. Nipo fully time kufanya kazi hii kwa ustadi na kutumia akili yangu ili upate kitu bora...
  10. Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

    Jina hilo limepelekwa Bungeni na Mpambe wa Rais (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri, na kukabidhiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai. Spika Ndugai akisoma ujumbe wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema.. Mheshimiwa Spika, nawasilisha Bungeni Jina la Mheshimiwa Philip Isdori...
  11. S

    Kheri James: Nimeomba radhi mimi binafsi na si Jumuiya

    Kaandika hivi kupitia Twitter: Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ni Taasisi, napenda kuweka kumbukumbu sawa kuwa nimeomba radhi mimi binafsi na isihusishwe na Jumuiya, Chama au Taasisi nyingine yoyote. Nitaendelea kuhimiza umoja wa kitaifa siku zote. Pia soma > UVCCM yaomba radhi vijana...
  12. K

    Maswali magumu: Utetezi wa Jakaya Kikwete dhidi ya tuhuma za chuki binafsi dhidi ya Hayati Magufuli msibani

    JK leo tumekusikia ukijitetea kuwa watu wameanza kuzusha mitandaoni eti wewe ulikuwa unamchukia JPM na pengine ukawa mmoja wa maadui zake wakati wa utawala wake. Majibu yako yalikuwa mepesi mno kama kawaida yako "Mswahili" nanukuu "Eti kama kweli ningekuwa namchukia JPM nisingeweza kupitisha...
  13. J

    Baada ya Mzee Kikwete kusema yeye binafsi ndio aliteua yale majina 5 ya wagombea Urais 2015, nimekubaliana na demokrasia ya CHADEMA

    JK amesema kuna watu waongo wanavumisha kwamba yeye hampendi Hayati Magufuli hiyi si kweli kwa sababu yeye ndio aliliweka jina lake kuwa namba 1 kati ya 5! Kikwete amesema alipokea majina 38 ya waombaji wa urais na yeye binafsi akayapitia na kupata orodha ya majina 5 ambayo aliyapeleka kamati...
  14. Wizara ya Elimu na Uhamiaji Tarime mnajua kuhusu hili?

    Wasalaam, Niende kwenye hoja moja kwa moja. Watumishi karibia wote wa shule ya msingi HEAGTON iliyoko sirari hawana vyeti vinavyotambulika? Watumishi 11 kati ya 13 wanadaiwa sio Watanzania na hawana nyaraka za kufanya kazi Tanzania. Je, uhamiaji Tarime mnalijua hilo au hizo ndizo posho zenu...
  15. J

    Mazungumzo ya Tundu Lissu huko Ubelgiji ni yake binafsi au anaongea kwa niaba ya CHADEMA?

    Ni vema watanzania tukajua kama Chadema ina ofisi ndogo Ubelgiji inayotumiwa na makamu mwenyekiti wa chama hicho chenye makao yake makuu mtaa wa Ufipa Kinondoni. Na pia kama yale yote anayoongea Tundu Lisu na vyombo vya habari vya Ulaya na Marekani yana baraka za chama hicho. Na kwamba kwa...
  16. Je, chanjo ya COVID-19 hairuhusiwi kuingizwa hapa nchini na hospitali binafsi au famasia?

    Naomba kujua kama hospitali au pharmacy binafsi inaweza ikaruhusiwa kuingiza chanjo ya corona au Covid19 au ni swala lisilo hitaji kibali. Je, kuna uhitaji wa kibali maalum ili kuingiza chanjo hiyo hapa nchini, maana ni dawa kama dawa zingine au chanjo kama chanjo zingine. Ni sheria ipi...
  17. Rais Magufuli na kamari ya Machinga na Mamantilie kwa manufaa binafsi ya kisiasa

    Huwezi liona hili kama huna upeo wa kuwaelewa wanasiasa. Magufuli amesema Machinaga na Mamantilie wafanye biashara popote bila bughudha yoyote kinyume kabisa na sheria ya mipango miji na sheria ya kodi. Mfano mzuri ni hapo kariakoo ampapo ni busness hub ya Tanzania na nchi jirani kujazwa...
  18. Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

    Wakuu, Nimemsikiliza Rais Magufuli akiwa anaongea leo kanisani. Nimeshtuka, Rais anaongea kama layman kabisa. Hii ni hatari kwa Usalama wa Taifa kwa mtu ambaye amepewa dhamana ya juu kabisa hapa nchini. Rais ni Comforter-in-Chief hivyo kama mfariji mkuu wa Taifa ana mamlaka makubwa...
  19. B

    Naomba tujadili kidogo juu ya huduma za afya Hospitali Binafsi

    Inapofika mahali ukachunguza unaporekebishiwa uhai huna budi kuchunguza ukiwa umefunga mdomo,milango na madirisha. Hospital ya Aga Khan ni moja ya hospitali zinazopokea wagonjwa wengi kwa sasa ni hospital ya private. Nadhani inaweza isiwe na vifaa vizuri Kama mloganzila ila inaweza ikawa na...
  20. Rukwa: Watendaji Kata na Vijiji 93 watumia Milioni 162 za makusanyo ya Halmashauri kwa matumizi yao binafsi

    MKUU wa Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Carlolius Misungwi, ametoa siku 16 kwa watendaji wa kata na vijiji kuhakikisha wanarejesha Sh. milioni 162 ambazo ni makusanyo ya halmashauri hiyo ambazo wanadaiwa kuzitumia kwa matumizi yao binafsi. Amesema wakishindwa kurejesha fedha hizo, watakamatwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…