binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Katiba Mpya na Janja janja za wenye Maslahi binafsi Madarakani

    Katiba inabeba msingi mzima wa mahusiano baina ya watu na watu na pia watu na mamlaka katika nchi. Tuna malalamiko ya msingi kuhusiana na mahusiano haya hapa nchini. Hatuko sawa mbele za haki. Hatuko sawa mbele ya sheria. Pana upendeleo wa wazi ambapo waliopo madarakani kama wawamba ngoma...
  2. Kwa wenye supermarkets, maduka, matumizi binafsi ya watoto home nina supply hii biskuti 😋

    Ni biskuti nzuri toka katika kampuni ya bakemate inayoitwa Kreme-E! Imetengenezwa na kuwa Imported from India. Taste yake ni ya pekee ikiwa katika flavors mbili tofauti: 1.Chocolate 2.Orange Ina ujazo na ladha nzuri zaidi compared na ambazo ziko madukani kama Royal, Cremelo na zinginezo, 82g...
  3. L

    Umiliki wa ardhi uwe wa Mtu binafsi au kampuni binafsi (inayomilikiwa na raia). Tuachane na hii ya kumilikiwa na Rais

    Katika uchumi ardhi ni moja wapo ya rasilimali muhimu. Katika biashara na uwekezaji, ardhi ni kati ya rasilimali muhimu sana. Hivyo, umiliki wa rasilimali hii ni jambo la muhimu sana katika kutumia hii rasilimali muhimu. Juu au ndani ya rasilimali hii, rasilimali zingine huwekwa, za muda mfupi...
  4. T

    SoC01 Maendeleo binafsi, ni Maendeleo ya Jamii nzima

    “Maendeleo binafsi, ni Maendeleo ya Jamii nzima”. Habari zenu, ndugu wana Jamii Forums, haswa jukwaa hili la "stories of change". Ni tumaini langu sote tu wazima wa afya. Andiko hili litaangazia juu ya ukombozi wa fikra. Kama ifuatavyo; Mtaji wa kwanza wa Maendeleo binafsi ni Ukombozi wa...
  5. S

    Kosa kubwa alilofanya IGP Sirro katika tuhuma za ugaidi dhidi ya Mbowe, ambalo linaweza kuleta fedheha mbaya kwake binafsi, kwa Polisi na Tanzania

    Huwa najaribu kumuelewa IGP Sirro katika suala la kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe, hadi najiuliza hivi kweli uwezo wa IGP Sirro katika kufikiria ndio umeishia hapo? Suala liko hivi. Huyo askari Luteni wa JWTZ anaita askari anasema ameambiwa na Mbowe kwamba anataka kufanya ugaidi, na anataka...
  6. K

    Maoni yangu binafsi kuhusu mkopo wa Trilioni 1.3 ya COVID-19

    Jana kwenye taarifa ya habari tulihabarishwa kuwa Serikali ya Jamhuri ya Tanzania imepokea mkopo wa 1.3 trillioni ili kupambana na ugonjwa hatari ya Covid-19. Binafsi sisemi au sikatai mkopo huu ila nasema fedha hizi ni nyingi sana kwa ajili ya mkopo. Kama juzi juzi tulipokea dozi millioni...
  7. Usafiri na maoni yangu binafsi juu pahala sahihi pa kuwapeleka machinga ndani ya Dar

    Naishauri serekali yetu ilitwae eneo lote la shule ya sekondari Benjamin maps hapo kariakoo na pajengwe mall maalumu itakayokuwa na vizimba 5000 vyenye namba za utambulisho maalumu ili machinga wote waliotapakaa mabarabarani waingizwe humo, zoezi hili liende pamoja na kubotesha machinga complex...
  8. K

    Taarifa kwamba wapo wakuu wa wilaya wameomba kuacha kazi kwa ajili ya majukumu mengine binafsi zina ukweli?

    Zipo taarifa nimesoma kwenye group moja la WhatsApp kwamba baadhi ya wakuu wa Wilaya wamepata mchongo mpya na wameomba waruhusiwe kwenda kuimarisha carrier zao japo majibu hayajatoka. Rafiki wa karibu wa DC mmoja Kanda ya ziwa anaeleza kwamba rafiki yake ameshaomba na ametuma baadhi ya wazee...
  9. Uhaba ujasusi wa kiuchumi na mkwamo wa sekta binafsi

    UHABA UJASUSI WA KIUCHUMI NA MKWAMO WA SEKTA BINAFSI. Na Yericko Nyerere Wakati nafikiria na kuamua kuandika kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi, nilikuwa nimejiridhisha vya kutosha juu ya uwezo mdogo wa taifa letu na watu wake katika medani ya ujasusi wa KIUCHUMI, na hivyo nikakusudia...
  10. Kufanya Backup ni muhimu katika kulinda Data zako binafsi

    'Back up' ni hatua muhimu ya #UlinziWaData kwani humsaidia Mhusika kutunza taarifa zake muhimu ili akipoteza kifaa chake au kikiharibika aweze kuzipata taarifa hizo Kuna majukwaa mengi yanayotoa huduma ya Backup kama Google Drive, One Drive, Team Drive, iCloud, SugarSync, MyPCBackup, Dropbox n.k
  11. Taarifa binafsi ambazo unapaswa kuzilinda (Personal Data)

    Taarifa binafsi ni taarifa zozote zinazohusiana na Mtu na ambazo zinaweza kumtambulisha Mmiliki wa taarifa hizo. Hizi ni taarifa ambazo Mtu anapaswa kuwa makini katika Matumizi yake ili kuepuka uwezekano wa kutumika vibaya Taarifa hizi huusisha Majina, Anwani ya Nyumbani (location), Barua pepe...
  12. Nafikiria kuanzisha kampuni binafsi ya upelelezi, je hii inawezekana kwa hapa Tanzania?

    Habari wadau, Nimekuwa nikawaza mda mrefu kufungua kampuni binafsi ya kufanya upelelezi na kutoa ulinzi wa VIP's yaani wale watu maarufu na familia zao kama Mo-Dewji, Diamond n.k Kampuni yangu pia itahusika katika kufanya upelelezi kwa watu binafsi na serikali na kukabidhi repoti kwa wateja...
  13. Ukimsikiliza huyu mtu kuanzia mwanzo hadi mwisho halafu usiweze kuwa na maendeleo makubwa ya kwako binafsi basi wewe una tatizo kubwa mno

    msikilize huyu mtu ana hoja nzito zinazoweza kufanya upige hatua kubwa sana kwenye maisha yako msikilize mwanzo hadi mwisho mswahili mwenzetu huyu ana hoja nzito mno
  14. Wamiliki Wa Shule Binafsi Hii Nimuhimu Sana Kuipitia

    Habari za muda huu wana jf, Natumaini ni wazima wa Afya njema na mko salama kabisa, Nitaenda moja kwa moja juu ya mada yangu Ulimwengu unakua kwa kasi kubwa sana huku teknolojia ikiwa msitari wa mbele kabisa katika kuongoza ukuaji wa dunia. sasa ni kitu gani kwa watu wa shule binafsi mnaweza...
  15. Je, COVID-19 imeathiri vipi maisha yako ikiwemo mahusiano yako na unaowapenda?

    Habari gani ndugu zangu wanaJamvi pendwa la Hoja Mchanganyiko. Natumaini mnaendelea vyema kabisa na mihangaiko ya kila siku na mapambano ya UVIKO-19. Niende kwenye maada moja kwa moja. Binafs, huu ugonjwa umeniathiri sana katika mahusiano yangu na watu ninao wapenda. Tuanzie hapa, Mwezi June...
  16. N

    Askofu Gwajima ana chuki binafsi dhidi ya Rais Samia, hili la chanjo ni kupitishia tu chuki yake

    Leo nimekaa nikaiskiliza video nzima ya Askofu Gwajima Youtube kitu nilichogundua ni kwamba Gwajima ana chuki binafsi kwa Rais Samia but ametumia kigezo tu cha chanjo kupitisha chuki zake. Point kubwa aliyozungumza Gwajima ni kwamba tukichanjwa tunaweza kuwa tumewekewa chip na wazungu wakawa...
  17. Niwaambieni mapema tu nikija kuwa Rais wa Tanzania kwa Tiketi ya Mgombea Binafsi Daraja la 'Tanzanite' nitaamuru libomolewe haraka

    Nimetafuta Mantiki ( Logic ) ya Ujenzi wa Daraja hilo mpaka sasa sijaipata sana sana naona 'Maluweluwe' tupu tu. Nimejaribu Kuzungumza na Wakandarasi na Wahandisi Waandamizi wamesema hilo Daraja ni Kazi bure tu japo 99% walishiriki Kikamilifu katika Mchakato wake mzima mbele ya Hayati Mmoja wa...
  18. BoT: Hatua za kisera kuongeza upatikanaji wa mikopo kwa Sekta Binafsi na kupunguza viwango vya riba

    Benki kuu ya Tanzania imetoa muongozo wa benki za biashara kupunguza riba kwa sekta binafsi. Benki kuu imetenga fungu la Trilioni moja ambayo itatumika kuzikopesha benki na taasisi za fedha kwa riba ya 3% na kutaka benki zitoe mikopo kwa riba isiyozidi 10%. Binafsi napongeza hizi hatua za...
  19. Ifahamu OSINT - Open Source Intelligence na umuhimu wake kwa sekta binafsi Tanzania

    Kila siku zaidi ya tweets milioni 500 zinaandikwa na watu mtandaoni duniani ambazo ni sawa na tweet bilioni 200 kwa mwaka duniani. Ongeza na picha zinazokadiriwa kufika milioni 350 ambazo huwekwa facebook na watumiaji, jumlisha na zaidi ya masaa 720,000 ya maudhui ya video mpya zinazowekwa...
  20. Uganda: Watu binafsi wazuiwa kugawa chakula kwa masikini

    Polisi wamezuia watu kugawa chakula kwa wasiojiweza kipindi hiki cha ‘Lockdown’ kwa kuwa wanakiuka miongozo ya Afya ya Kudhibiti maambukizi ya #COVID19 Wanaotaka kugawa chakula wametakiwa kuwasilisha kwa viongozi wa mkoa ambao watagawa kwa wasiojiweza. Hatua hii imekuja baada ya viongozi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…