binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Shetani alikuwepo duniani kabla ya kuumbwa binadamu

    Habarini wakuu. E bwana kuna kitu nimekifuma mahali nimeona nikilete mezani najua tutajuzana mengi. Ni hivi kuna dhana kuwa,shetani alikuwepo duniani kabla binadamu hajaumbwa. Kivipi,baada ya ile vita kuu mbinguni kutokea ,na shetani akashindwa ,alitupwa duniani ambapo kulikua ukiwa na...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Madaktari bingwa wafanikiwa kumpandikiza binadamu moyo wa nguruwe

    Sijajua kama hapa Tanzania itakubalika labda Moshi. -- Moyo wa nguruwe wapandikizwa kwa binadamu nchini Marekani Katika picha hii iliyotolewa na Chuo cha kikuu cha Tiba cha Maryland, timu ya upasuaji inaonyesha moyo wa nguruwe tayari kupandikizwa kwenye mgonjwa Kwa mara ya kwanza duniani...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kama binadamu ana mapungufu ila ana sifa zote za kuwa Kiongozi wa Nchi yetu

    Hakuna binadamu aliyekamikika, hivyo hata Mama Samia hajakamilika. Ila kiuongozi nitakuwa wa mwisho kukosoa na kusema Hana sifa ya kuwa Rais wa Nchi. Urais wa Nchi unaongozwa na sifa Moja kuu, Rais ni Mzazi Kwa Taifa bila kujali ana umri Gani. Mama anasimama kama mzazi kwetu. Jambo la pili...
  4. JamiiForums Tanzania Nimeamini Binadamu wa kwanza duniani alikuwa mweusi, lakini vitabu vya Dini vinachanganya. Je, ukweli ni upi hasa?

    Wanajamvi habarini na asubuhi. Naomba niandike uzi wangu wa mwisho kwa mwaka huu, lakini uzi wenyewe unanichanganya sana kwamba BINADAMU WA KWANZA KUWEPO DUNIANI ALIKUWA MWEUPE (MZUNGU) AU ALIKUWA MWEUSI TII (MWAFRICA). Juzi kati hapa niliandika uzi kumhusu mtu mweusi, lakini watu kadhaa...
  5. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Disruptive Subdermals nchini Sweden yatengeneza chip itakayowezesha kuhifadhi taarifa za chanjo ya Corona ndani ya miwili wa binadamu

    Sweden, Kampuni ya DSurptive Subdemals nchini Sweden imetengeneza chip itakayoingizwa mwilini mwa binadamu ili kuweza kuhifadhi na kuhakiki taarifa za muhusika kuhusu kupokea chanjo dhidi ya ugonjwa wa Covid-19. Teknolojia hiyo inatumia NFC, ambayo pia hutumika kwenye mifumo mbali mbali ya...
  6. JamiiForums Tanzania Huenda binadamu ni silaha za kibaiolojia zilizoletwa duniani kama virusi wa kansa ili kuiharibu Dunia

    Tofauti Kati ya Dini Na sayansi/filosofi kuhusu Sababu ya Sisi kuwepo duniani Na Nani ametuleta mahali hapa Ni Moja: Approach ya Dini katika kuelezea Sababu yetu kuwa hapa duniani inaanzia kwenye hitimisho (Religion approach is from the conclusion) kwamba Mungu ndio ametuleta hapa duniani ili...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Kwamsisi Handeni walitaka sado tatu za mate ya binadamu!

    Mbali na Shs. milioni 21 walizozidai wazee wa kijiji cha Kwamsisi pia walitaka sado tatu za mate ya binadamu ili waruhusu ujenzi wa barabara ya Afrika ya mashariki. Baada ya kubembelezwa kwa muda mrefu na Mkuu wa wilaya ya Handeni wazee hao wameamua kuondoa madai hayo na sasa watalipwa Shs...
  8. JamiiForums Tanzania Desemba 10: Siku ya Kimataifa ya Haki za Binadamu

    Desemba 10 kila mwaka ni Maadhimisho ya Siku ya Haki za Binadamu, ikiwa ni Siku ya kukumbuka kupitishwa Azimio la #HakiZaBinadamu Duniani. Azimio hilo linaweka msisitizo kwenye Haki ambazo kila mtu anastahili kuwa nazo bila kujali Rangi, Dini, Jinsia, Lugha, Maoni ya Kisiasa, Asili ya Kitaifa...
  9. JamiiForums Tanzania Ukatili wa kijinsia ni uvunjigu wa haki za Binadamu

    Dunia, mataifa makubwa na mataifa madogo, ulimwengu mzima unakubali kuwa haki za binadamu ni jambo lolote ambalo binadamu anastahili kuwa nalo tangu anapozaliwa bila ya kujali jinsi ya mtu. Kiimani na kiutamaduni pia, inatambulika kuwa haki za binadamu zitaendelea kuwepo hadi pale binadamu...
  10. JamiiForums Tanzania Ufugaji wa wadudu kama chakula cha mifugo na binadamu kilimo kilichokosa nafasi Tanzania

    Licha ya Nchi ya Tanzania kuwa katika ukanda wenye hali ya hewa inayoruhusu uwepo na ukuaji wa viumbe wengi wakiwemo wadudu na mimea bado uwekezaji kwenye kilimo cha ufugaji wa wadudu lishe unaonekana kuwa wa chini sana ukilinganisha na nchi nyingine Duniani. Tanzania inaonekana kuwa nyuma sana...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mgao wa maji unatokana na ubishi na ukaidi wa binadamu pia na kudra za mwenyezi Mungu

    Dar es Salaam kuna mgao mkubwa wa maji kwa sababu mto Ruvu umevamiwa na binadamu na kuchepusha maji. Pili maelfu ya mifugo yanayoingizwa kwenye mito kunywa maji yamepunguza kiasi cha maji kwani ng'ombe mmoja kwa mfano hunywa lita 40 za maji kwa siku. Tatu ni ukataji miti hovyo hali inayoharibu...
  12. JamiiForums Tanzania Mfahamu Robert Pershing Wadlow binadamu mrefu aliyewahi kuishi hapa duniani

    Robert Pershing Wadlow Kuzaliwa (Februari 22, 1918 Kufariki 15 Julai 1940), anayejulikana pia kama Jitu la Alton na Jitu la Illinois, alikuwa mwanamume wa Marekani ambaye alikuwa mtu mrefu zaidi katika historia iliyorekodiwa ambaye kwake kuna ushahidi usioweza kukanushwa. Alizaliwa na kukulia...
  13. JamiiForums Tanzania Arusha: Kinyesi cha Binadamu Chatumika Kutengeneza Mkaa

    Kutoka BBC asubuhi hii, kuna vijana wabunifu wakazi wa Arusha wamekuja na mkaa unaotokana na kinyesi cha binadamu. Ni mkaa usio na athari yoyote kiafya hata kama mtu atalala nao ndani Ni mkaa unaokaa muda mrefu kuliko mkaa wa kawaida. Huwezi kuuzima na maji kama mkaa mwingine Hauna moshi...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini binadamu hawazi kufa kwake bali kwa wenzake tu?

    Huwa najiuliza: kwa nini binadamu hawazii hata kidogo kufa kwake bali kwa wenzie tu: Mifano ifuatayo:- 1. Mume ana miaka 70, mke ana miaka 67. Mume anauza shamba milioni 30. Mke anakodi majambazi wanamuua mume abaki na hizo milioni 30(wastani wa maisha ya mtu ni miaka 80) Mmeoana mkiwa 17 & 20...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania watu huhusisha paka, bundi na fisi na uchawi tofauti na Ulaya?

    Kwanini Tanzania watu wengi huhusisha viumbe mfano wa paka, bundi na fisi na uchawi? Ulaya viumbe hawa ni marafiki wa karibu sana wa binadamu. Naomba jibu.
  16. R

    JamiiForums Tanzania Tunataka Paul Makonda awe accountable kwa matendo yake ya kuvunja haki za binadamu

    Tunaomba Jumuiya ya Kimataifa itusaide kumwajibsha Makonda. Ushahidi upo tele na USA alishaweka bayana wapi pa kuanzia. Tunataka awajibishwe
  17. JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya yaimwagia sifa Tanzania. Yaahidi kuendelea kumwaga mapesa

    Umoja wa Ulaya imeisifia Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna inavyofanya mageuzi ya kiuchumi na kisiasa ikiwemo kuimarisha masuala ya haki za binadamu. EU imeahidi kuendelea kumwaga mapesa kwa miradi mbalimbali ya maendeleo kwa Tanzania. Hii tafsiri yake ni kuwa EU...
  18. JamiiForums Tanzania Navalny atunukiwa tuzo ya juu ya haki za binadamu ya Umoja wa Ulaya

    Kiongozi wa upinzani nchini Urusi aliye gerezani ambaye pia ni mkosoaji mkubwa wa rais Vladmir Putin, Alexei Navalny leo ametunukiwa tuzo ya juu kabisa inayotolewa na Umoja wa Ulaya kuhusu haki za binadamu. Katika ishara ya wazi ya ukosoaji kwa Ikulu ya Kremlin, viongozi wa bunge la Umoja wa...
  19. JamiiForums Tanzania Tujuzane Ishara za 'Kiuchawi' na "Kiuchuro' kutoka kwa Wanyama, Wadudu na Ndege kwa Binadamu (Mwanadamu)

    1. Nyumba unayokaa kama unafuga Njiwa na ukiwa Unauguza Mgonjwa ndani ukiona Njiwa Wote wanaondoka anza kuweka Oda ya Jeneza kwa Mgonjwa wako kwani utake usitake atakufa tu. 2. Nyumba unayoishi kama unafuga Mbwa kuanzia Saa 5 Usiku na Saa 11 Alfajiri ukisikia wanabweka sana jua Wachawi...
  20. JamiiForums Tanzania Kati ya Mungu na binadamu, je ni nani ampe mwenzake pesa?

    Kati ya Mungu na binadamu ni yupi ampe mwenzake pesa? Lama ni Mungu ndio anatakiwa ampe binadamu pesa! Kwanini mnatuambia tumtolee Mungu pesa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…