bima

  1. ngara23

    Kwenye Uislam, Bima ni Haram kama ilivyo kamari

    Wanazuoni wa kiislam, wanaelimisha kuwa ni vyema muislam kujiepusha na aina zote za Bima Aidha iwe ya afya, chombo cha moto, nyumba, biashara n. K Bima ni gambling tu, yaani pata potea, Kwa tafsiri ya kiislam ni kamari maana unaweza pata usichostahiri Mfano unaweza kuweka Bima laki 5...
  2. Penguinelli Cactussini

    Hivi kuna kampuni ya bima ya kukatia bima kiungo kimoja tu iliyoko Tanzania?

    Wanajukwaa, hivi kuna kampuni ya bima ambayo naweza kukatia bima kiungo changu kimoja tu kama mambele uko Ulaya? Maana toka nimefika DSM kuna kiungo changu nakitumia hadi nakihurumia!
  3. M

    Ukiuza gari uliyolipia bima, unaweza kuihamisha bima kwenye gari lengine lisilo na bima

    Mfano gari umeiuza ikiwa na bima iliyobaki miezi 10 hadi kuisha. Je unaweza kuhamisha bima kwenye gari lengine lisilo na bima au kucancel bima na kuomba fidia ?
  4. funaku

    Bima ya Afya kwa wote UHIF: Hatimaye Rais Samia atekeleza mfupa mgumu uliowashinda Marais waliopita

    Hii ni historia na kumbumbu muhimu kwa Rais Samia kwa kujali afya ya watanzania hususani wa hali ya nchini. Nimeshuhudia zoezi la kuwapatia wananchi bima ya afya likiendelea nchi nzima ikiashiria ule mkwamo wa miaka mingi wa kubishania kwenye podium au bungeni umeisha na sasa ni real deal.
  5. R

    Msaada please, CCBRT wanakubali bima ya Macho NHIF?

    Nisaidie kujua kama CCBRT wanakubali NHIF ( bima ya afya ya Taifa serikali) kwa matibabu ya macho? ASANTE
  6. DuaZaMama

    Gharama ya Bima ya Afya kwa wote ni Tsh. 150, 000 kwa kaya, wasio na uwezo kugharamiwa na serikali

    Serikali imetangaza rasmi kuanza utekelezaji wa mpango wa Bima ya Afya kwa Wote katika awamu ya kwanza. Katika awamu hiyo, kitita cha huduma muhimu za afya kitatolewa na skimu za Bima ya Afya kwa gharama ya shilingi 150,000 kwa kaya yenye watu wasiozidi sita. Akizungumza kuhusu mpango huo...
  7. C

    Gari la Mbunge Babalevo T555 EPN halina bima?

    Inasikitisha kutembeza chuma cha zaidi ya thamani ya Tsh Milioni 100 bila kuwa na bima. Waweza kuhakiki kwa kuweka namba ya gari T555EPN https://tiramis.tira.go.tz/#/
  8. bukoba boy

    Bima ya Afya NSSF

    Wadau kwema! Naomba kujua kuhusu bima ya Afya ya NSSF kwa wanachama wake.Iko vipi sababu amekuja Inspection officer wao ofisini ametushawishi tujiunge kwani ni kama bure sababu hakuna gharama nyingine zaidi ya michango.Unapewa list ya hospitali maalum kwenye mkoa husika.
  9. Fbn

    Bima ya Afya inatakiwa kuwa ni ya Serikali tu. Mfano watu milioni 62 wakilipa kwa mwezi shiling 2000. Angalia hapa

    Tanzania kuna mahali kuna shida na hizi shida sio kwao kwa watawala tuliopo nao. Ukusanyaji wa pesa ungekuwa na mpangilio mzuri hakuna mtu angeshindwa kuchangia ila mfumo uliopo sio mzuri. Fikiria kama serikali ingeweza kuweka bima ya mwezi 2000 hata chokorohaa na wasio jiweza wangelipa maana...
  10. Isaack Newton

    Taratibu za kubadili kadi ya umiliki wa bajaj na gharama za bima pamoja na LATRA

    Hqbari wakuu. Nimenunua bajaj kutoka kwa mtu, sasa nataka kubadili jina la umiliki, kwa maana kadi isome jina langu. Mwenye anafahamu taratibu na gharama za kubadili kadi anijuze. Pia hii bajaj haina bima nataka niikqtie bima, hivyo anaejua gharama za bima kubwa kwa upande wa bajaj anijuze pia...
  11. funaku

    Waziri Wa Afya Mchengerwa kamilisha bima ya afya kwa wote tujitegemee

    Bima ya Afya kwa wote itabaki kuwa alama kuu ya mhe.Rais Samia katika Taifa letu. ameipambania hadi tumepata sheria . Chonde chonde waziri mpya wa Afya kamalizie jambo hili ukiweka akilini kipato cha watanzania wa hali ya chini... hii ni zawadi kwangu na watanzania wengi wanaoipigania...
  12. R

    Rais Samia: Tunajiandaa kuanza majaribio bima ya afya kwa wote

    Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia bunge la 13 leo Novemba 14, 2025 amesema Serikali inajiandaa kutoa huduma ya bima ya afya kwa wote ambayo itakua ni kuanza kwa mageuzi ya huduma ya afya nchini
  13. H

    Nilishauri kuwa kabla ya maandamano ya NRNE muandamanie bima ya afya hamkunielewa!!

    Nilipotoa wazo hili watu walijibu kwa kejeli sana sasa leo mmeandamana kwaajili ya NRNE na mmekosa matibabu kwa haraka na kwa kiwategemea walewale waliowapiga risasi kuwatibu ambapo mngekuwa na bima labda mngeweza kutibiwa kwa haraka hata hospitali binafsi kwani watu wengi wamekufa kwa kukosa...
  14. Mad Max

    GE2025 Hivi Shishi Food na Nenga Tronix walikuwa na Bima kwenye Biashara zao au ndio tujiandae kuwachangia?

    Mgahawa wa Shishi Food unaomilikiwa na mwanadada mrembo Shilole na duka la electronic la Nenga Tronix linalomilikiwa na msanii machachali Billnass, vilishika moto kipindi mtandao umezimwa. Chanzo cha moto bado hakijajulikana, nadhani uchunguzi utafanyika. Sasa swali langu, hawa jamaa watakua...
  15. H

    Je waTanzania waandamane kutaka bima ya Afya kwa wote au kupinga uchaguzini?

    Ni kweli mnaweza kuandamana hiyo 29.10.2025 ila ni hatari sana iwapo hauna bima ya afya kwani utahitaji matibabu baada ya kipigo na utaenda kutibiwa kwa gharama sana. Je,tuandamane kugomea uchaguzi au tuandamane kudai bima ya afya kwa wote!! Tujitafakari!
  16. H

    Nawakumbusha waTanzania kuwa kuandamana bila bima ya Afya kwa wote ni hatari sana!!

    Ni kweli mnaweza kuandamana hiyo 29.10.2025 ila ni hatari sana iwapo hauna bima ya afya kwani utahitaji matibabu baada ya kipigo na utaenda kutibiwa kwa gharama sana. Tujitafakari!
  17. Analogia Malenga

    Ufahamu wa kuhusu Bima uko chini au Diva ameamua kununua ugomvi?

    Nimepita huko mtandaoni yule mdada Diva amepost barua aliyotumiwa na bima yake ya afya, Jubilee Insurance. Barua imemtaka afute post zake kuhusu bima hiyo na aombe radhi kwa kuwa bima yake iliisha tangu 2 Machi 2025. It seems kwamba Diva alienda hospitali baada ya bima kuisha na alipokosa...
  18. K

    Kuhusu NHIF (Bima Ya Afya Ya Taifa), Nionavyo mimi Wananchi Tumepigwa Chenga ya Mwili

    Usiombe ndugu yangu uwe na bima Ya Afya, ile Ya NHIF inayoitwa Ya Vifurushi. Itokee ndo Unaumwa halafu unapata huduma hospitali za Serikali mfano Muhimbili. Kitakachokukuta Kuhusu gharama za Vipimo na dawa ni heri yule ambaye hana bima. Bima hii, bima hii, bima hii Ya Afya TAIFA ni zaidi ya...
  19. Carlos The Jackal

    GE2025 Suala la Bima ya Afya Watoto, Wazee na Wajawazito ni uongo wa wazi! Ikiwa hadi sasa Watoto, Wajawazito na Wazee wanalipishwa, la Bima ataliweza?

    Ndio sababu kaliita MFUMO WA MAJARIBIO!!. Ipo hivi wakuu, Ile sera yake Watoto chini ya miaka mitano, Wajawazito na Wazee, wasilipie matibabu na blaa blaa. Vipimo wanavyopimwa watoto chini ya miaka mitano Bure ni Malaria, Mkojo, Haja Kubwa, HIV. Vipimo wanavyopimwa Wajawazito na Wazee Bure...
  20. Analogia Malenga

    Mwaka 2018, Kikwete aliandika haya kuhusu Bima ya Afya kwa wote

    Imefika miaka mitatu tangu viongozi wa dunia wajitolee kutimiza moja ya malengo yenye ujasiri mkubwa katika historia ya afya ya umma duniani: kufanikisha upatikanaji wa huduma za afya kwa wote ifikapo mwaka 2030. Kufanikisha lengo hili kutamaanisha kila mtu katika kila jamii atapata huduma nafuu...
Back
Top Bottom