bima

  1. Mad Max

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi Shishi Food na Nenga Tronix walikuwa na Bima kwenye Biashara zao au ndio tujiandae kuwachangia?

    Mgahawa wa Shishi Food unaomilikiwa na mwanadada mrembo Shilole na duka la electronic la Nenga Tronix linalomilikiwa na msanii machachali Billnass, vilishika moto kipindi mtandao umezimwa. Chanzo cha moto bado hakijajulikana, nadhani uchunguzi utafanyika. Sasa swali langu, hawa jamaa watakua...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Je waTanzania waandamane kutaka bima ya Afya kwa wote au kupinga uchaguzini?

    Ni kweli mnaweza kuandamana hiyo 29.10.2025 ila ni hatari sana iwapo hauna bima ya afya kwani utahitaji matibabu baada ya kipigo na utaenda kutibiwa kwa gharama sana. Je,tuandamane kugomea uchaguzi au tuandamane kudai bima ya afya kwa wote!! Tujitafakari!
  3. H

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha waTanzania kuwa kuandamana bila bima ya Afya kwa wote ni hatari sana!!

    Ni kweli mnaweza kuandamana hiyo 29.10.2025 ila ni hatari sana iwapo hauna bima ya afya kwani utahitaji matibabu baada ya kipigo na utaenda kutibiwa kwa gharama sana. Tujitafakari!
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ufahamu wa kuhusu Bima uko chini au Diva ameamua kununua ugomvi?

    Nimepita huko mtandaoni yule mdada Diva amepost barua aliyotumiwa na bima yake ya afya, Jubilee Insurance. Barua imemtaka afute post zake kuhusu bima hiyo na aombe radhi kwa kuwa bima yake iliisha tangu 2 Machi 2025. It seems kwamba Diva alienda hospitali baada ya bima kuisha na alipokosa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kuhusu NHIF (Bima Ya Afya Ya Taifa), Nionavyo mimi Wananchi Tumepigwa Chenga ya Mwili

    Usiombe ndugu yangu uwe na bima Ya Afya, ile Ya NHIF inayoitwa Ya Vifurushi. Itokee ndo Unaumwa halafu unapata huduma hospitali za Serikali mfano Muhimbili. Kitakachokukuta Kuhusu gharama za Vipimo na dawa ni heri yule ambaye hana bima. Bima hii, bima hii, bima hii Ya Afya TAIFA ni zaidi ya...
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Suala la Bima ya Afya Watoto, Wazee na Wajawazito ni uongo wa wazi! Ikiwa hadi sasa Watoto, Wajawazito na Wazee wanalipishwa, la Bima ataliweza?

    Ndio sababu kaliita MFUMO WA MAJARIBIO!!. Ipo hivi wakuu, Ile sera yake Watoto chini ya miaka mitano, Wajawazito na Wazee, wasilipie matibabu na blaa blaa. Vipimo wanavyopimwa watoto chini ya miaka mitano Bure ni Malaria, Mkojo, Haja Kubwa, HIV. Vipimo wanavyopimwa Wajawazito na Wazee Bure...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2018, Kikwete aliandika haya kuhusu Bima ya Afya kwa wote

    Imefika miaka mitatu tangu viongozi wa dunia wajitolee kutimiza moja ya malengo yenye ujasiri mkubwa katika historia ya afya ya umma duniani: kufanikisha upatikanaji wa huduma za afya kwa wote ifikapo mwaka 2030. Kufanikisha lengo hili kutamaanisha kila mtu katika kila jamii atapata huduma nafuu...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zaituni Tembo: Kweli hatujawalipa Wakulima wa Tumbaku, kwa sasa tuna Bima ya Mkopo kutoka Benki ya NMB

    Meneja wa Chama cha Msingi cha Ushirika cha Wakulima wa Tumbaku Mpanda Kati, Zaituni Tembo amekiri kuwa hawajafanya malipo kwa Wakulima wa zao la Tumbaku ambao walijitokeza na kulalamikia chama hicho kuhusu kutowalipa kisha wakatuma ujumbe kwa Waziri wa Kilimo kuwa aliagiza walipwe lakini...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Serikali Yaweka Bima ya Lazima kwa Wageni Wanaoingia Tanzania Bara

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Sheria ya Bima, Sura ya 394, imeanzisha bima ya usafiri wa lazima kwa wageni wanaoingia Tanzania Bara kwa ada ya bima inayolingana na Shilingi za Kitanzania sawa na Dola za Marekani 44. Lengo la bima hii ni kugharamia dharura za kitabibu, kupotea kwa...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Bima ya Gari ni Muhimu

    .
  11. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania NIC Tanzania lini mtatoza Bima za Nyumba/ Majengo nchi nzima

    Habari Shirika la Bima la Taifa (NIC) ! Naomba kuwauliza. Je, mnajua jamii na Taifa letu Tanzania wananchi waunguliwa nyumba zao, wanapata mafuriko nyumba zinaharibika, upepo na majanga ya asilia yanaathiri makazi ya watu na nyinyi mpo tu ?. Mmekufa ? Nawaomba ikiwapendeza; wekeni pendekezo la...
  12. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Serikali yaanzisha ada ya magari yanayoagizwa nje ili kugharamia Bima ya Afya kwa Wote

    Uanzishaji wa Vyanzo vya Mapato kwa Ajili ya Kudhibiti Maambukizi ya Ukimwi na Kugharamia Bima ya Afya kwa Wote Kutoza magari na mashine (heavy machines) zinazoingizwa kutoka nje ya nchi kama ifuatavyo: Shilingi 50,000 kwa magari yenye ukubwa wa injini (CC) kati ya 0 -1000; Shilingi 100,000 kwa...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Serikali ipitishe tu lazima kila raia mwenye NIDA awe na bima ya NHIF

    Habari, Hali ni mbaya sana kwa wananchi nchini Tanzania ktk swala la kugharamia matibabu kwani zikoo juu sana,sana na watu wanakufa kwa kushindwa kulipia gharama hizo. Nashauri serikali ifanye maamuzi magumu kwa kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na NIDA basi alazimishwe kuwa na bima ya...
  14. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Houthi wachekelea ndege zao kulipuliwa na Israel yasema Ndege zao zote zina Bima kubwa

    “Yemenia”: Our Aircraft are Insured Against War Globally Except for Yemen’s Airports Due to “International Classification” Yemen Airways imepinga kwa nguvu taarifa "zisizo kweli na zisizo sahihi" zilizosambazwa na baadhi ya mashirika ya habari ya kimataifa, ambayo yalidai kwamba ndege za...
  15. M

    JamiiForums Tanzania KATA BIMA YA CHOMBO CHA USAFIRI KWA GHARAMA NAFUU

    0686153806 Kwa mawaailiano zaidi
  16. M

    JamiiForums Tanzania Karibu Britam Insurance ikate bima

    Habari TUNATOA huduma ya bima aina zote. Bima za magari binafsi malori mabasi trekta bajaji na PIKIpiki Bima ya afya na nyinginezo.
  17. Messier 31

    JamiiForums Tanzania Sheikh asema bima ya afya ni haramu katika uislamu

    Akihojiwa na Maks Media, Sheikh huyu amekuja juu na kudai bima ya afya ni haramu na ni dhulma katika uislamu hivyo kuwaasa waislamu kutojiunga na mfuko wa bima. Msikilize mwenyewe hapa Sheikh akikinzana na elimu dunia kwa kutumia elimu akhera
  18. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini gari za Serikali yakiwamo ma V8, hayakatiwi Bima?

    Hello! Yaani gari inanunuliwa Hadi 600 ml kwa Kodi za wananchi maskini, lakini haikatiwi Bima kubwa, Kuna mtu anayejua sababu ni Nini hasa? Au ni vile vya umma havina mwenyewe? RIP mkurunzi Tannesco! Karibuni 🙏
  19. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kelele za Wagonjwa: Kwanini Bima ya Afya (NHIF) Inashindwa?

    Katika hali ya kusikitisha, leo tumeshuhudia matatizo makubwa yanayotokana na kukosekana kwa huduma za afya nchini. Bima ya Afya makao makuu inapaswa kutoa kinga kwa wagonjwa, lakini ukweli ni kwamba hali ni tofauti kabisa. Wagonjwa wanakabiliwa na changamoto kubwa: hakuna mtandao, huduma...
Back
Top Bottom