Millard Ayo: Bilionea mstaarabu

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
6,191
13,614
One of the richest bloggers in Africa Forbes ilinukuu.

Ukimuona simple tu wa kawaida lakini ana hela ndeefuuu na nyingi sana.

Utajiri wake unakadiriwa 3-5 Millions US dollars. Vyanzo vingine vya uhakika na kuaminika vinadai anaweza kuwa na utajiri hata zaidi ya iyo dollar million 5.

Ni kwa kujituma kwa Millard na weledi alionao umemfikisha hapa alipo. Ana mchango mkubwa kwenye taifa kwa kutoa ajira hasa kwa vijana na kulipa kodi.

Ubunifu wake na kujituma kwake imepelekea makampuni mengi kung'ang'ania kwenye blog yake kwa ajili ya matangazo.

Pia amewainspire mablogger wengine ambao wana chipuka kwa kasi ya hatarii kama role models models wao.

Tunamtakia heri na azidi kuendelea kuwa na mafanikio zaidi.
 
Per month tu anakusanya nyingi. Kuna mada ilisha wahi kuwekwa humu. Maxmelo nae alikuwemo kwenye top 5 kama sikosei kati ya wanaofanya vyema kwenye vipato vya kila mwezi kupitia mambo ya mitandao
Hongera sana kwao. Nadhani ingefaa sasa wakatoa elimu kwa vijana jinsi ya kuziona fursa zilizopo kwenye hii sekta ili vijana waweze kujiajiri kuliko kutegemea kuajiriwa.
 
5M USD ni zaidi ya 10B za Kitanzania! Anashindwa nini kuanzisha Radio Station yake?? Ili awe free zaidi na kufanya kazi zake yeye mwenyewe?? Kipindi kama amplifier anachofanya pale Cloud's akihamishie kwenye Radio yake na apige pesa nyingi zaidi??
Mimi pia nilitaka kujua hilo, kwanini aendelee kuwa mtumwa wa mtu wakati ana uwezo wa kutosha kufanya yake na kuajiri zaidi na zaidi...?
 
One of the richest bloggers in Africa Forbes ilinukuu.

Ukimuona simple tu wa kawaida lakini ana hela ndeefuuu na nyingi sana.

Utajiri wake unakadiriwa 3-5 Millions US dollars. Vyanzo vingine vya uhakika na kuaminika vinadai anaweza kuwa na utajiri hata zaidi ya iyo dollar million 5.

Ni kwa kujituma kwa Millard na weledi alionao umemfikisha hapa alipo. Ana mchango mkubwa kwenye taifa kwa kutoa ajira hasa kwa vijana na kulipa kodi.

Ubunifu wake na kujituma kwake imepelekea makampuni mengi kung'ang'ania kwenye blog yake kwa ajili ya matangazo.

Pia amewainspire mablogger wengine ambao wana chipuka kwa kasi ya hatarii kama role models models wao.

Tunamtakia heri na azidi kuendelea kuwa na mafanikio zaidi.
Mungu amuongezee utajiri. Ni furaha na jambo la heri Sana nchi ikiwa na mabilionea vijana
 
Back
Top Bottom